Nawasalimu kwa JMT
Katika mizunguko ya duniani nikichomwa n jua maeneo ya magomeni mwembechai, nikiwa dukani alikuja rafiki yangu niliyesoma nae O'level akiwa na mwanamke wa umri kidogo kuliko yeye, niliwahudumia vitu vya jumla kama 100k+.
Basi tukabadilisha mawasiliano, akaniambia yeye...
Timu ikiwa inapata matokeo kamwe kwa mashabiki mandazi hawawezi kuona mapungufu yao ndivyo ilivyokuwa kwa Simba ya Mo na yanga ya Manji, tofauti ya Mo na Manji ni kuwa Manji alikuwa na love na football na pia na yanga aliweka pesa yeyote muda wowote bila kupepesa macho.
Hakuikopesha club Kama...
Naomba kutoa pongezi zangu za dhati kabisa kwa viongozi wote walioratibu zoezi hili la kuondoa machinga katika maeneo yasiyofaa!
Ni nadra sana kuona zoezi linafanyika kwa hekima kubwa kama hili! Pasipo unafiki busara kama hii imekua adimu kwa mda mrefu sana!
Hakuna asiyejua kwamba tatizo la...
Ujumbe wa DC Njombe kissagwakisakasongwa kuhusu VanillaNjombe
📍Serikali bado inafanyia kazi maswali mengi yaliyopo katika jamii kutokana na matangazo kwamba Vanilla inalipa na bei ya manunuzi ya Vanilla kwa kilo zinazotajwa kuwa ni kubwa sana. Naomba wananchi tuwe watulivu wakati Serikali...
Kutokana na watu wengi kuniandikia kuniuliza kama ni salama kuwekeza pesa JATU company PLC. Nimeamua kufanya utafiti na maswali kwenye utafiti wangu yalikuwa kama ifuatavyo;-
1. Nani anaongoza JATU?
2. Je, ni biashara gani wanafanya? Pia hii biashara ni hatarishi kwa pesa yangu?
3. Je, nini...
Shughuli za uwakili nchini Tanzania hufanywa kwa mujibu wa Sheria ya Mawakili (The Advocates Act) ambayo kimsingi, inatoa masharti, ikiwemo kuhudhuria shule ya sheria (Law School) na kisha kuapishwa na Jaji Mkuu baada ya kufaulu.
Huyu Robert Amsterdam hana leseni ya kufanya shughuli za sheria...
Nimeona na kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo Club ya Yanga wakitangaza viingilio vya mechi yao ya Jumapili ili khali wakijua wazi kuna zuio kutoka CAF kwa vilabu vyoote vinavyoshiriki michuano ya CAF kutoingiza watazamaji..
Jambo la kushangaza pamoja na maagizo hayo bado...
Na uthibitisho nmeweka. Huwa JF kuna baadhi ya watu sijui kwa nini wanalindwa. Uzi wangu nmeweka na uthibitisho lakini naona kama kuna mambo yamefanyika umeondolewa.
Ila uzi zikiwa zinawasema watu flani huwa zinadumu sana humu ndani. Tujue basi list ya watu ambao hawatakiwi kuguswa
Baadhi ya mambo ukiyatafakali yanadhihilisha wazi baina yetu bado tuna imani za kikoloni kichwani!
Elimu haijatukomboa kabisa, hatuna ubunifu kichwani kabisa! Ni bure kabisa!
Hivi kazi ya VAT ni nini? Na matumizi ya fedha hiyo ni yepi?
Hivi kuna sababu gani ya mimi kukatwa 18%ya VAT, Halafu...
Habari zenu wanajukwaa.
Naomba kuuliza swali kwenu.
Je, naweza kumshitaki aliekua mpenzi wangu kwa kosa la kunitapeli kipindi cha mahusiano yetu kwa kitumia uongo kwa lengo la kufanya utapeli huo?
Kwa ambao wanaweza kuchangia naomba ufafanuzi?
Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu.
Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
Nimetoka kumsoma mdau mmoja maarufu akihoji juu ya undumilakuwili wa Chadema katika misimamo. Anahoji kuwa Chadema wanahamasisha watanzania tugomee tozo za miamala ya simu kwa kutofanya miamala, may be tutumie njia mbadala. Hili ni wazo zuri kama mgomo. Lakini kiutekelezaji kwa wao ni kinyume...
Kipindi cha nyuma kidogo nilijiunga huduma yao ya halo quiz mtandao wa halotel bila kuijui vizuri baada ya muda mrefu jan nikaweka salio ili nijiunge kifurushi natumiwa sms salio limekatwa basi nikaona hii huduma ngoj nijitoe
Sasa kilichonileta hapa mpaka naandika uzi huu jana niliingia menu ya...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala...
Siku ya tarehe 17.7.2021 nilitoa pesa kimakosa kwa kukosea namba ya wakala.
Nikapiga simu wakasema wanashughulikia irudi. Nisubri masaa 72. Baada ya masaa hayo message ikaingia kwamba pesa imerudishwa kwa wakala.
Sasa baada ya hapo nimeendelea kupiga simu majibu yanayotoka ni
1. Kusubiri...
Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa.
Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa...
Habari za wakati huu Great thinkers!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni kawaida kwa Wanafunzi wa vyuo vikuu kutoa pesa kutoka katika account zao za benki kidogo kidogo.
Huo ndio mwanya wanaotumia CRDB kuwatapeli fedha zao, kivipi?
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo...
Salaam Wakuu.
Kwanza kabisa kila mmoja anafahamu
Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku.
NAMNA WANAVYOFANYA KAZI
Mara nyingi kazi za madali hawa hazina formula maalum...
Wabunge wetu wa TZ wamejadili na kujinasibu niya yao ya kuinua mapato ya Taifa kupitia kodi. Hali inayojionesha kwa miaka mingi, ni tabia yao ya kutozungumzia ulipajhi wao wa kodi, usioendana na kipato halisia walichonacho. Kwa ujumla hili ni Bunge la watu wa misheni touni.
Ktk kuhakikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.