Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,982
Leo nimepata wasaa wa kuangalia local channel clouds tv kwakuwa mimi si mshabiki wa local channel ni nadra kwangu kuangalia hizi channel.
Wakati naangalia porojo za kipindi cha 360 ndipo nikagunduwa hawa clouds kupitia kipindi hiki cha 360 nimebaini kuna utapeli unaendeshwa wameupa jina la pata mchongo.
Ni kwamba wanawaaminisha watu wajinga na wavivu wa kufikiri kwamba clouds kila siku itakuwa inatowa shilling million moja kwa mtu mmoja mwenye bahati atakayeshiriki huo utapeli wa pata mchongo kwa kutuma sms ambayo itakugharimu shilling 1000/=
Sasa twende kwenye fact na evidence, kama watu 10,000 tu wakishiriki utapeli huu, clouds wanaingiza million 10 na kutowa millioni moja kumpa mmoja ya hawa kina Abunuwasi na kumuonesha kwenye media ili mazuzu mzidi kuvutika huku wao wanabaki na million 9 za wajinga.
Hii ni sample ya hesabu ndogo tu lakini ikifanyika research ya kweli unaweza kukuta utapeli huu unashirikisha maelfu ya wajinga kwa sababu Watanzania wengi wapo frasturated.
Sasa hivi tujiulize huu ni mchongo au ni utapeli?
Joseph Kusaga you're better than this, kukusanya bukubuku hizi za watu wasiojielewa kwa maslahi ya Clouds Media siyo sawa hata kidogo.