utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali (NBS), nitafungua kesi kushitaki, kuna utapeli katika kuomba Ajira za Sensa

    Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Takwimu, S. L. P. 2683, DODOMA. Ndugu, YAH: UTAPELI KATIKA MFUMO WENU WA TEHAMA WA KUOMBA AJIRA ZA MUDA ZA SENSA YA WATU NA MAKAZI Napenda kufikisha malalamiko ambayo pia nitafungua kesi Mahakamani kuishitaki NBS kwa kutozingatia vigezo vya Human...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakemee watendaji wa Kata, Mitaa na Vijiji kujihusisha na utapeli kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu

    Habari! Yaani bila aibu Mtanzania, mtendaji wa kata, mtaa na wilaya anaomba rushwa kwa vijana walioomba nafasi za kuhesabu watu. Hii ni aibu na ukatili mkubwa. Kijana ambaye hana ajira unathubutu vipi kumwomba rushwa ili apate ajira? Naamini sio wote wanaofanya huu uhuni ila nimefanya...
  3. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania NBS hawajazingatia vigezo vya human machine interaction katika mfumo wa uombaji wa kazi za muda mfupi za Sensa

    NBS wanawachezea akili Watanzania kwa kutumia uelewa wao mdogo katika mambo ya Technology na Haki za Watumiaji wa Mifumo mbali mbali ya huduma. NBS wamefanya uhuni kwa kutozingatia vigezo vya Human Machine Interaction (Usability and User Experience (UX)) katika mfumo wao wa kuomba ajira za muda...
  4. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

    Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha. Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili...
  5. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CCM inadaiwa mabilioni ya shilingi na hailipi madeni

    Hii sasa ndio CCM ya mafisadi na matapeli. Raia mwema yazidi kuibua maovu.
  6. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Walimu na Wanafunzi Serengeti Watapeliwa

    Walimu na Wanafunzi Serengeti Sekondari Walizwa kizembe!! Wahenga walisema ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao’ Kuna mtu anayesadikika alifika kwenye ofisi ya Mkuu wa shule mapema juma hili tarehe 28/03/2022 na kujitambulisha kwa jina la Ditric, mwenyeji wa Mbeya na amekuwa akifadhiliwa na...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Matapeli wanavyotumia jina la Rais Samia, Ikulu kufanya utapeli wa kupiga hela

    Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea. Source: East Africa Radio
  8. Barakoa

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na utapeli wa aina gani?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Mara nyingi katika maisha yetu tumekuwa tukikutana na mambo kadha wa kadha, ikiwamo fursa, ajira, changamoto, connections na hata Utapeli. Katika maisha yetu haya yaliyojaa harakati, utapeli umekuwa ni mkubwa sana. Takribani miezi miwili iyopita nilikutana na...
  9. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Utapeli Makanisa ya kisasa: Mamlaka ya Kutoa pepo sio ya Mchungaji/mtume/nabii ni kila muumini

    Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo. Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa. Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utapeli uliofumbiwa macho na Serikali

    UTAPELI ULIOFUMBIWA MACHO NA SERIKALI. Anaandika Robert Heriel Kuhani katika Hekalu jeusi. Angalizo; Andiko hili laweza kuwa na Lugha Kali hasa Kwa waumini wa madhehebu ya utandawazi. Hivyo Kama ni mwepesi WA hasira, mwoga wa ukweli, na unayeongozwa na mihemko, tafadhali achia hapahapa kusoma...
  11. BUMIJA

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kutoa taarifa ya utapeli

    Hii namba kapiga huyu jamaa akijifanya ni Airtel Customer Care na kuniambia amekosea kutuma hela laki moja. Huku akaunti yangu haina hiyo hela. Naomba mnisaidie kumripoti TCRA mnaojua, kanitukana sana nlipomgundua.Namba za Tapeli ni 0683595613
  12. pascal luoga

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

    Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku. Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania EWURA Makao Makuu Dodoma wajifunza utapeli wa ajira hewa

    EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA. Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Je, BRAC ni taasisi "genuine" ya utoaji mikopo?

    Hawa wanatoa mikopo, je hawana utapeli maana mtu unataka kuchukua mkopo, nashangaa Wànasema ulete 250,000 eti ni Akiba yako na 61,000 kama bima ya mkopo at the same time wanashikilia Mali zako kama dhamana. Sasa bima ya Nini? Nistue mnaowajua hawana utapeli kweli? Are they genuine? Au Ni sawa na...
  15. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kufanyiwa utapeli gani na mpenzi wako?

    Kila mmoja kwa namna moja ama nyingine ametapeliwa kwenye mapenzi:- Kuna aliyelazimisha kuzaa na mtu akitegemea apate ndoa, mambo yakawa tofauti Kuna aliyetuma nauli akitegemea mwenzake afike, mambo yakawa tofauti Kuna aliyesomesha akitegemea waje waoane waishi pamoja, mambo yakawa tofauti Kuna...
  16. tpaul

    JamiiForums Tanzania Ushahidi kuntu kuhusu utapeli uliojificha ndani ya biashara ya dada wa kazi (house girls)

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Dada wa kazi wa kizazi hiki ni zaidi ya majanga. Ndugu zangu, wasichana wa kazi za ndani (house girls/maids) ni hitaji muhimu sana kwa familia nyingi za mijini, hasa wale wanafamilia wanaofanya kazi zinazowalazimu kuamka asubuhi na kurejea jioni. Ni kwa sababu...
  17. J33

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inamkalia kimya Mr Kuku anavyoanzisha utapeli mpya kwa Watanzania?

    Suala la Mr Kuku na utapeli aliyowafanyoa Watanzania unajulikana wazi na imejadiliwa sana hapa JamiiForums. Huyu jamaa alikamatwa na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na baadae akakiri na kuipa Serikali bilioni tano ajabu ni kwamba baada ya kutoka mahabusu aliendelea na biashara ile ile na...
  18. Wanama

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laini yangu imefungiwa kwa kufanya hivi

    Habarini wana JamiiForums, Niende moja kwa moja kwenye mada yangu. Mnamo wiki uliyopita hii nilipokea meseji kutoka kwa namba ngeni nisiyoitambua(tapeli),sms yenyewe ilikuwa ikinieleza kumtafta mganga Sanga ambaye ni mtaalamu wa dawa za jadi na ikaweka namba za mganga Sanga. Baada ya sms iyo...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania D.light ni kampuni ya utapeli na bado Serikali inafumbua macho

    Hii kampuni ya D.light ilikuja na mfumo wa solar ambayo ina kifaa maalumu cha kulipa ili kuweza kupata huduma ya umeme. Baadae wakaja na simu ambazo unalipa kwa siku,wiki,mwezi ikiambatana na kianzio kulingana na simu ilivo au kifaa chochote. Hii kampuni sikuweza kuifahamu vizuri ila nimekuja...
  20. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Clouds media na utapeli wa mchongo wa clouds kupitia kipindi cha 360

    Leo nimepata wasaa wa kuangalia local channel clouds tv kwakuwa mimi si mshabiki wa local channel ni nadra kwangu kuangalia hizi channel. Wakati naangalia porojo za kipindi cha 360 ndipo nikagunduwa hawa clouds kupitia kipindi hiki cha 360 nimebaini kuna utapeli unaendeshwa wameupa jina la pata...
Back
Top Bottom