Nimeona na kusikia kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii leo Club ya Yanga wakitangaza viingilio vya mechi yao ya Jumapili ili khali wakijua wazi kuna zuio kutoka CAF kwa vilabu vyoote vinavyoshiriki michuano ya CAF kutoingiza watazamaji..
Jambo la kushangaza pamoja na maagizo hayo bado Club ya Yanga wamejifanya kuziba masikio kwa kigezo kuwa wameandika barua ya kuomba waruhusiwe waingize watazamaji (sijui wanatumia vigezo gani kwani pamoja na zuio hilo la CAF pengine Yanga alimaarufu Utopolo hawafahamu kuwa nchi yetu ipo kwenye list ya nchi ambazo zimewekewa mstari mwekundu kwa kushindwa kukabiliana vyema na janga la Corona hivyo hata kama CAF wangeruhusu baadhi ya Club kuingiza watazamaji sio za kwetu Tanzania kutokana na uzembe wetu katika kukabiliana na gonjwa la Corona.
Agalizo: tunajua mamlaka za serikali wanaona haya yanataka kufanywa na Yanga, wasikae kimya na kusubiri wawapige ela wananchi na baadae kuwadanganya kuwa ticketi zilizokatwa zitatumika mechi ya watani wa jadi December manake najua ndio akili yao kwani wanajua wazi wanigeria watawatoa na wameshakula ela ya wananchi wanafanyaje.. pia kelele zinazoendelea sasa za kuwaadaa wananchi lengo ni kuendelea kuuza jezi.