utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Somo zuri sana kwa Wanamuziki wenzangu"Factor Affecting Music" utafiti uliofanyika Uganda na kuletwa na Don Nalimison

    Pitia Reseach hii ili kuboresha muziki wako, imeletwa kwenu na Don Nalimison kwa maslahi ya Wanamuziki wa Tanzania.(PDF) ya chini. I real Congrats CATHERINE KUTEESA from UGANDA for her Dissertation which is Salvation and Revolution in East Africa Musicians. "FACTORS AFFECTING MUSIC PUBLISHING...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwenye mitandao ya kijamii na mtaani, Membe hakubaliki

    Napenda kuwajulisha wapinzani wa kweli kuwa nimefanya utafiti wangu usio rasmi. Nimejaribu kupita Facebook, tweeter, Instagram na humu JF na kwenye vyombo vya usafiri nakugundua kwamba wananchi wengi walio upande wa upinzani hawakubaliani na ujio wa Membe. Hoja yao ya msingi ni kwamba Membe...
  3. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Utafiti katika Lugha ya Kiswahili, Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Kiswahili kuna neno moja tu linaloundwa na irabu pekee

    Nimegundua kati ya maelfu ya maneno ya Lugha ya Kiswahili kuna neno moja tu la ilabu tupu nalo ni UA, kwa kumbushia tu, ilabu ni a, e, I, o, u. Na herufi zote zilizobaki ni konsonati, na ili neno liwe neno lazima uwepo mchanganyiko wa konsonati na ilabu mfano Uzi, hapo tunaona z ni konsonati...
  4. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Mwezi una umri mdogo kuliko tulivyodhani! Je, unaamini?

    Habari! Mara nyingi tumekuwa tukijiuliza maswali mengi kuhusiana na masuala mbalimbali yahusuyo Mwezi. Sio ule wa kwenye kalenda bali huu tuuonao angani karibu kila iitwapo leo hasa nyakati za usiku. Yeah, huohuo kama duara fulani linalong'aa. Kwa muda mrefu sasa tafiti mbalimbali zimekuwa...
  5. Nancyjoa13

    JamiiForums Tanzania Maziwa yanayotokana na korosho kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara, Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na...
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wafanyakazi wanaolipwa maslahi duni ndio wanaoihujumu kampuni au serikali iliyowaajiri

    Habari wakuu! Uzi huu nimeuleta kwenye jukwaa la siasa ili ikiwezekana viongozi angalau wawili watatu wauone huenda wataamka. Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikuwa mgodini Bulyanhulu as security officer 2014-15. Kisha nikaacha kazi kwasababu zangu binafsi then nikaajiriwa na four Seasons...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wananchi zaidi ya milioni 2 wanatumia Tumbaku huku wanaume wakiongoza

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo amezindua ripoti ya utafiti wa kiwango cha matumizi ya Tumbaku kwa watu wazima. Taarifa hiyo inahusisha tathmini ya matumizi, watu waliojaribu kuacha, gharama za matumizi, ufikiwaji wa taarifa za madhara Amesema Taarifa inaonesha kuwa watu 4 kati ya 10 (32.9%)...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha Mask na Social distance inasaidia kupunguza usambaaji wa Corona

    Utafiti uliofanywa umeonyesha kuwa uvaaji wa Maski na social distancing vinasaidia sana kupunguza ueneaji wa virusi vya Corona. Kwetu hapa Tanzania, wananchi walikuwa wameanza kuwa na mwamko wa kuvaa barakoa. Ilikuwa ukienda kwenye madaladala au magari ya mwendokasi unakuta wananchi wamevaa...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kama nilivyowaona katika utafiti wa historia ya Tanganyika

    KAMA NILIVYOWAONA KATIKA UTAFITI WA HISTORIA YA TANGANYIKA BARAZA LA MAWAZIRI WA TANGANYIKA 1963 Julius K. Nyerere, 41 years old, President Rashidi Mfaume Kawawa, 34 years old, Vice-President Sheikh Amri Karuta Abedi, 39 years old, Minister of Justice Derek Noel Maclean Bryceson, 40 years...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

    Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19 Rais #Magufuli: Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha. Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mada za Corona viz a vis mada nyingine kwenye forums mbalimbali

    Kwa muda sasa tangia ugonjwa wa Corona umeingia miye kama mdau katika maisha ya kawaida nimekuwa nikifuatilia mwelekeo wa ugonjwa na wa mada katika forums mbali mbali. Kote mada trending zimeendelea (kama si zote) kuwa ni za kuhusiana na Corona. Nadhani ni kwa sababu kama hizo ndiyo maana hata...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi. Ndege maalum ya ujumbe...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kumbe dawa ya corona tunayotaka kununu kutoka Madagascar haijafanyiwa clinical trials? Ndio wanataka waanze kuifanyia utafiti.

    Wakati tukiagiza dawa inayosemekana kutibu corona, habari ni kwamba rais wa nchi hiyo ndio kwanza ameagiza watafiti waifanyie uchunguzi (clinical trial) mtishamba huu. Nilisikia rais akisema anatuma ndege kwenda kuchukua mtishambahuu kumbe haujathibitishwa kitaalamu? Tuwe makini na afya za watu...
  14. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Rais wa wataalamu wa maabara Yahya Mnung'a yupo mubashara Clouds 360 anazungumzia utafiti wa Rais Magufuli

    Anaitwa Yahya Mnung'a yuko clauds tv kwa sasa. Kaulizwa papai linaweza kuwa na corona Majibu: papai haliwezi kuwa na corona ila linaweza kuwa aliyelipeleka alilitoa wapi na limepitia katika mikono ya watu gani. Swali: je maabara yetu inaweza kuwa na hujuma na wataalamu hewa? Majibu: maabara...
  15. Omusolopogasi

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Chroline inaua virusi vya Corona kwa haraka

    Utafiti nchini Marekani unaonyesha kuwa bleach (ambayo ina chlorine), inaua virusi vya corona kwa haraka. Chlorine ndio iliyo kwenye dawa inayotumika kunyunyuzia huko mitaani na kwenye mabasi. Virusi hivyo pia ni dhaifu sana kwenye jua kali: ".....William Bryan, acting head of the Department of...
  16. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti: Ukitaka mwanamke asikuangalie sana fanya haya...

    Wanawake ni viumbe vinavyopenda Sana kuchunguza Mambo madogomadogo ya watu ikiwemo muonekano. Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi... Rangi Urefu Umbile Kipato Nini unamzidi Kipi anakuzidi Anakudefine pia who u might be Sasa tafiti zinaonyesha kwamba mwanamke akikuangalia...
  17. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni Yoweri Kaguta: Wanasayansi wa Uganda wako Maabara kufanya utafiti wa kutengeneza chanjo ya CORONA

    Wanasayansi wa Uganda wafanya utafiti wa kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema wanasayansi nchini humo wanajitahidi kufanya utafiti utakaosaidia kutengeneza chanjo dhidi ya virusi vya Corona. Rais Museveni amesema, wanasayansi kutoka Taasisi ya...
  18. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania University of Nairobi imependekeza 2.5 % ya mfuko (funds) wa Covid ugharamia utafiti wa Corona

    The University of Nairobi has proposed that 2.5 per cent of funds mobilised to fight Covid-19 be channelled towards the development of diagnostics, therapeutics and vaccines. The university, in a memo to the Senate’s ad hoc Committee on the Covid-19 Situation, further called for tax exemptions...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Yawezekana maambukizi ya corona ni mengi kuliko inavyoripotiwa duniani kote

     BERLIN, UJERUMANI WATAFITI katika Chuo Kikuu cha Göttingen nchini Ujerumani wametahadharisha kuwa huenda visa vya maambukizi ya virusi vya Corona duniani vimepindukia mamilioni kwa mamilioni. Watafiti wanasema kufikia sasa ni asilimia 6% tu ya mambukizi hayo ambayo yamegundugulika...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

    Waziri wa afya Mh. Ummy muda huu anazungumza na viongozi mbalimbali wa dini juu ya mikakati ya kudhibiti Corona. -- ALIYOZUNGUMZA WAZIRI UMMY MWALIMU (KWA UFUPI) Viongozi wa dini mnayo nafasi ya kipekee kutoa taarifa sahihi, kwa weledi na uwazi, hivyo kupunguza uwepo wa taarifa zisizo za kweli...
Back
Top Bottom