utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu binafsi

    Utafiti wangu binafsi katika swala hili Nikwanini katika group au magroup na hata katika mitandao mingine ya kijamii wanaume huwa wanakuwa kipaumbele🚶🏼‍♂️ kumfata mtu ibox📩 kwa mawasiliano📞 ya kimauhusiano ya kimapenzi?? Hasa hasa wanaume!! Unafikri ni kwasababu gani?
  2. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Ile taasisi ya kimataifa inayofanya utafiti kuhusu furaha za wananchi wa mataifa mbalimbali ije baada ya miezi sita

    Wapendwa Heri ya Mapumziko ya Pasaka. Poleni Watanzania wenzangu kwa kumpoteza kipenzi chetu, Wanawake hongereni kwa kutuongoza, napendekeza kuanzia Leo na nyinyi fanyeni mageuzi,anzeni kututongoza sisi wanaume,tupeni of mbalimbali na Mambo Kama hayo. Nauliza hivi ile taasisi ya Kimataifa...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Utafiti rasmi: Ndoa nyingi na mahusiano mengi yamevunjika baada ya Wanawake kuamini sana ndumba

    Wananwake wengi wa kibongo wanaamini sana ndumba ili kuimalisha mapenzi yao. Na wanapopata ndumba kali huwafanya mabwana zao kuwa mabwege na hapo huanza kuchepuka nje, kuwa dharau na kujiona wao ni kila kitu. Matokeo yake baada ya ndumba kuishiwa nguvu huwa wanamwagwa kama vile lori linamwaga...
  4. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Pata muda wa kutosha kulala kujikinga na corona

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, watafiti wameonesha kuwapo uhusiano baina ya maambukizi ya corona na usingizi. Utafiti uliofanyika awali ulionesha kuwa asilimia 40 ya watu waliopata maambukizi ya virusi vya corona walikuwa na matatizo ya kupata usingizi. Utafiti mpya unaonesha kuwa watu...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania UTAFITI:- Wanawake ni watiifu zaidi kwa mabosi wao, kuliko kwa waume zao

    Salaam wakuu, Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao. Area of study...
  6. Jokajeusi

    JamiiForums Tanzania Utafiti Usio rasmi: Watanzania wenye kipato cha Tsh. 20,000 kwa siku hawazidi milioni tano

    Wakuu Kwema! Kwa watembezi wa mikoa ya Tanzania na wachunguzi huru mtakubaliana na mimi katika utafiti huu usio rasmi. Utafiti huu nimeufanya kwa miaka minne tangu 2016 mpaka 2020 nikiwa natembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania. Mikoa niliyoifanyia utafiti ni mikoa ifuatayo; Dar es salaam...
  7. J

    JamiiForums Tanzania NIMR: Tunafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania kama zinatibu Covid 19, chanjo za Magharibi bado hazijathibitika kukinga

    Mkurugenzi mtendaji wa NIMR Prof Yunus Mgaya amesema taasisi yake inafanyia utafiti dawa 7 za Kitanzania zikiwemo 4 za kufukiza kama zinatibu Covid 19. Utafiti wa dawa hizo za asili ambazo zimetumika toka enzi za mababu zetu zinafanyiwa utafiti na wanasayansi wetu kupitia baadhi ya hospitali...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ni nani anawajibika endapo vijidudu vya maradhi vinavyofanyiwa utafiti kwenye maabara vikiambukiza binadamu kwa makusudi au kwa bahati mbaya

    Ndugu wana JF, salaam. Naomba nitoe ushuhuda hapa kwamba wakati nafanya masomo yangu ng'ambo, nilihudhuria semina moja ambayo mtafiti alikuwa anawasilisha mada kuhusu namna anavyoweza kufufua (resurrect) virusi ambavyo vilileta milipuko na kuua mamilioni ya watu miaka mingi huko nyuma na...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Utafiti Uingereza: Chanjo inasaidia kupunguza kuenea kwa virusi vya corona kwa asilimia 85

    Takwimu kutoka nchini Uingereza zinaonesha kuwa chanjo dhidi ya virusi vya corona inasaidia kupunguza uwezekano wa kuenea kwa maambukizi kwa hadi asilimia 85. Utafiti uliochapishwa na taasisi ya Public Health England (PHE) unaonesha kuwa chanjo ya Pfizer-BioNTech inapunguza uwezekano wa kupata...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Akizungumza katika kipindi cha Clouds 360, Waziri Dkt. Mwigulu Nchemba amesema watanzania wanapaswa kujiuliza chanjo za watu wa nchi zenye baridi zinawezaje kuwasaidia watu wa Dar es Salaam kwenye joto. Mwigulu amesema ndio maana watu waliotoroka wakaenda kuchanja kimya kimya zinawaletea...
  11. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Chombo cha NASA chafanikiwa kutua Sayari ya Mirihi (Mars), kitakusanya na kurudisha sampuli za mawe duniani

    Shirika la Marekani la Utafiti wa Anga (NASA) limesema ndege yake ya utafiti imefanikiwa kutua katika Sayari ya Mirihi (Mars) imefanikiwa kutua salama na kushusha kifaa cha utafiti kilichopewa jina Perseverance katika sayari hiyo nyekundu. Hii ni hatua mpya katika utafiti wa anga za juu...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Utafiti waonyesha Watanzania wengi wachafu huwa wanaenda kulala usiku bila kuoga

    Watu huamka asubuhi kwenda kwenye shughuli mbalimbali ambazo husabibisha mwili kuchafuka iwe kwa jasho au vumbi au chochote hivyo kufanya mtu awe mchafu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na taasisi ya usafi imegundulika kuwa Watanzania wengi huenda kulala usiku bila kuoga wanaenda na uchafu...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Nusu ya wanaume duniani wangependa kuwa mademu

    Gazeti moja la marekani la mjini San Francisco limeripoti utafiti wake kuwa kuanzia Karne ya 20 nusu ya wanaume wote duniani wangependelea kuwa wanawake wakati chini ya robo ya wanawake duniani wangependelea kuwa wanaume.
  14. chrome

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Corona imeathiri uwezo wa wanaume kuzalisha

    TAFITI mpya umeonyesha kuwa Covid-19 inaweza kufanya wanaume kukosa uwezo wa kuzalisha.Wanasayansi wanasema kwamba wanaume wanaoambukizwa virusi hivyo wanaweza kukosa kuzalisha kwa muda. Kwenye utafiti wao wanasayansi walilinganisha ubora wa shahawa za wanaume walioambukizwa na wasioambukizwa...
  15. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa kina nilioufanya kuhusiana na thread nyingi zinazoanzishwa humu JF

    Thread nyingi zinazoanzishwa humu JF kawaida huwa zinachukua muundo wa aina hii: Kuanzia page ya kwanza mpaka ya tano, watu wanakuwa wanajadili mada husika kwa umakini unaotakiwa na wnakuwa wako ndani ya mada muda Kuanzia page ya sita mpaka ya kumi linaanza kujitokeza kundi dogo la watoto na...
  16. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum: Makala za Utafiti wa Visa Maarufu Vilotokea Tanzania toka 1961 mpaka 2010

    Habari Wakuu. Kwa Wahenga na wale kizazi kipya kuna matukio yalitokea, kama si kumbukumbu za vyombo vya habari, basi anayekusimulia,utamuhisi amekopi sinema fulani na si uhalisia ulotokea Tanzania. Baadhi ya Matukio hayo ni pamoja na 1.Toleo la kwanza: Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza...
  17. Dr. Wansegamila

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya utafiti kuhusu madai ya wanawake wa Kitanzania kujiuza katika mitandao ya kijamii

    Wakuu salama? Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe. Maswali ya utafiti (Research questions): 1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo...
  18. Andie

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya utafiti binafsi: Wanawake huwaheshimu na kuwatii maboss kuliko waume zao

    Salaam wakuu, Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao. Area of study...
  19. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam hawakufanya utafiti kabla ya kumfukuza kocha

    Kocha aliyefukuzwa ndiye huyohuyo ambae aliiwezesha Azam kuongoza ligi kabla ya mechi na Yanga. Yanga walifukuza kocha lakini matokeo yamebaki yaleyale ya ushindi mwembamba kila mechi. Mtibwa, Ihefu, Namungo, KMC, Mbeya City wamebadilisha mabenchi ya ufundi lakini matokeo kwenye club yamebakia...
  20. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Tanzania should account for COVID-19 funds and stop hiding behind the facade of sovereignty

    Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu yalifutilia mbali novel coronavirus, sasa Bunge la Umoja wa Ulaya linahoji pesa zimetumikaje au...
Back
Top Bottom