Wakuu salama?
Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe.
Maswali ya utafiti (Research questions):
1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo...
Salaam wakuu,
Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao.
Area of study...
Kocha aliyefukuzwa ndiye huyohuyo ambae aliiwezesha Azam kuongoza ligi kabla ya mechi na Yanga.
Yanga walifukuza kocha lakini matokeo yamebaki yaleyale ya ushindi mwembamba kila mechi. Mtibwa, Ihefu, Namungo, KMC, Mbeya City wamebadilisha mabenchi ya ufundi lakini matokeo kwenye club yamebakia...
Taasisi moja ya utafiti ya nchini Denmark imechambua hoja za Prof. Kabudi na serikali ya Dr Magufuli juu ya matumizi ya fedha za msaada kupigana na COVID-19. Tanzania inadai maombi ya siku tatu yalifutilia mbali novel coronavirus, sasa Bunge la Umoja wa Ulaya linahoji pesa zimetumikaje au...
Badala ya kulalamika na kutukana na vilevile waandishi wetu kuogopa na kukaa chini sisi...Tumefanya utafiti mdogo kwanini ghafla Bunge na mfumo mzima wa uongozi wa serkali ya Tanzania ghafla wanawahitaji hao wabunge wa CHADEMA.
MASHARTI YA PESA TOKA NJE (DONORS)
Kama mnaelewa bunge letu hakuna...
Inasikitisha hakuna jitihada za kufanya utafiti kwenye Afya hasa chanjo na mambo mengine ya technologia. Nchi nyingi za Kiafrica zinawaachia kila kitu nchi za hao tunaowaita mabeberu kuanzia utafiti wa chanjo za malaria mpaka Corona. Yaani imefikiwa wakati hakuna hata utamaduni wa utafiti sasa...
Virusi vya Corona vilikuwa vikizunguka nchini Italia mapema mwezi Septemba 2019, kulingana na utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa dhidi ya Saratani (INT) huko Milan, kikibaini kwamba virusi vya SARS-CoV-2 viliweza kuenea nje ya China mapema kuliko watu wanavyofikiria.
Shirika la Afya...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania, hivi mnajua ya kwamba;
Utakachokuwa unamsimulia sweetheart wako siku za mwanzoni penzi lenu linapokuwa jipya na moto moto ndio maneno hayo hayo atakayokurushia kama silaha siku ya kwanza mtakapogombana...
Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020.
Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia kwenye uchaguzi wa rais na wabunge siku ya pili yake itakuwa ni ubakaji wa hali ya juu ya tasnia ya...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania kulingana na utafiti wangu;
Kwanini katika familia nyingi watoto wengi hupenda zaidi ndugu wa upande wa mama kuliko wale wa upande wa baba zao?
Ni mara chache sana utaona mtoto wa baba mdogo na mkubwa wanasaidiana...
Wanasayansi na Wabobezi wa 'Kungonoka' wamedai ya kwamba katika ufanyaji wa 'Ngono' Mwanamke huwa anasikia 'Utamu Kunoga' kwa 65% na Mwanaume kwa 35% tu. Na ili kuonyesha kuwa hawa 'Wataalam' wamedhamiria katika kutuelezea ukweli wao hii 65% ya 'Utamu Kunoga' wanaopata Wanawake wameigawanya...
Utafiti mpya kabisa wa kisayansi uliochapishwa jana kwenye Jarida la Sayansi la BMJ (BMJ 2020;371:m3588 ) umethibitisha kuwa JPM alikuwa sahihi kutowafungia watu kwa sababu ya corona.
Utafiti huo unaonyesha kuwa kuwafungia watu kunaongeza madhara zaidi ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya...
Mimi ni mmojawapo wa watu waliosoma kwa undani taarifa ya Utafiti (si uchunguzi) ya Rushwa ya Ngono katika vyuo vikuu vya Dar es Salaam na Dodoma iliyotolewa na TAKUKURU.
Ni jambo la kufurahisha kuona taasisi za serikali zinajua umuhimu wa kufanya tafiti ili kufikia malengo yake. Hivyo huu ni...
Imethibitika Kahawa huwaongezea wanawake ashki ya kujamiiana..!
Watafiti hivi sasa wanasema huenda wanaume wanaowategemea wanawake wanywe pombe kwanza ili iwe rahisi kwao kuwakubali, hawana haja ya kufanya hivyo. Hawana haja ya kufanya hivyo kwa sababu, imebainika kwamba, kahawa inafanya kazi...
Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu.
Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia sana na Rais Magufuli ameletwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania.
Gamanywa alikuwa katika majadiliano...
Ndugu zangu,
Hii inatokana na uzoefu wa kura za Wazanzibar hususani wapemba ambao hupiga kura kutegemea chama anachotoka Maalim Seif. Kama hali itakuwa hivyo ACT wana uhakika wa wabunge angalau 20 kutoka Zanzibar kitu ambacho CHADEMA au chama kingine hakiwezi kupata wabunge kumi (10) nchi...
MAANA YA UTAFITI
Utafiti ni njia ya kupata utatuzi wa suala fulani katika jamii na mazingira ya binadamu kwa njia ya uchunguzi unaotumia nadharia za kitaaluma na kisayansi.
Aidha utafiti ni njia maalum inayofuatwa ili kufikia ujuzi au taarifa muhimu inayokusudia kuchangia katika usomi wa kina...
Taarifa ya RAID, shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake nchini Uingereza ambalo linajishughulisha na kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu, limebaini kutendeka kwa vitendo vya kidhalimu katika Mgodi wa Petra Diamonds uliopo Shinyanga
Kwa mujibu wa taarifa yake, shirika hilo limefanya...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums.
Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi.
Ndugu zangu...
Nashangaa tunajiulize kwanini hasa Tanzania rushwa haikomi
Utafit mdogo niliofanya ni huu
1. POLISI TANZANIA
Hapa wanaongoza kwa kutengeneza mazingira ya Rushwa. Ukiwa na kesi inayohusisha madai au Jinai lazima wale pande zote mbili,
Pia kuna hawa askari wa Usalama Barabarani, nao kila ukipita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.