Utafiti waonyesha Mask na Social distance inasaidia kupunguza usambaaji wa Corona

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,092
Utafiti uliofanywa umeonyesha kuwa uvaaji wa Maski na social distancing vinasaidia sana kupunguza ueneaji wa virusi vya Corona.

Kwetu hapa Tanzania, wananchi walikuwa wameanza kuwa na mwamko wa kuvaa barakoa. Ilikuwa ukienda kwenye madaladala au magari ya mwendokasi unakuta wananchi wamevaa barakoa.

Unfortunately serikali imeamua kwa makusudi kabisa kusabotage juhudi hizi za umma. Kwa upande mmoja una viongozi wa serikali pindi wakiwa na wananchi wanahimiza kuvaa mask, lakini wao wakienda kwenya hadhara za Ikulu hawavai mask. Hii imekuwa ikituma mixed signal kwa wananchi na hivyo wengi wao kuamua kufuata kile wanachokiona mbele ya rais.

Kibaya zaidi Taasisi ya rais nayo imekuwa kila ikipata nafasi inapiga vijembe mask, kwa mfano kule kanisani chato raisi alionekana kuwapongeza waumini ambao hawajavaa mask, rais amesikika akisema tusitegemee mavitaambaa bali tumtegemee Mungu, Yaani kiufupi raisi kila alipokuwa anapata nafasi ua kuongea lazima apeleke kijembe kwa mask.

Sasa wananchi wameacha kuvaa hizo mask, ukienda mtaani ni mwananchi mmoja mmoja anavaa. Hata kwenye mikusanyiko mikubwa kama vile sokoni watu wameacha kuvaa.

Najua, Serikali iko dseperate kuonyesha hali ya ukawaida kwenye jamii (normalcy) ili watu wafanye kazi serikali ikusanye mapato, na pia kujaribu kuwahakikishia wageni, watalii kuwa hali ni shwari waje, lakini kwa bahati mbaya hii ni bahati nasibu kubwa sana serikali inaicheza. Huwezi kuwaambia watu kuwa Korona ipo wachukue tahadhari halafu wakati huohuo unatumia platform ya mamlaka ya rais kudiscourage Mask.

Nilishangaa pia majuzi kuona Ikulu inaandaa tukio huko Dodoma na kuwaleta wazee wetu wastaafu katika eneo la hadhara ya watu wengi vile. Imagine unamuwekaje mzee Mwinyi, Mkapa, Malechela, watu wenye umri wa miaka zaidi ta 75 katika hadhara ile bila barakoa, je unakuwa unafikiria nini?. Corona ni hatari zaidi kwa wazee. Nimeona hata Zitto Kabwe ameshangazwa mno na hstua hiyo ya Ikulu ambapo alitweet na kusema kuwa HIYO SIYO SAWA.

Wakati huo yanafanyika, madereva wetu wameendelea kuonekana wana virusi vya korona pindi wakipimwa mipakani, Sasa sijui Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anaposema Koronatumeishinda anakuwa anamaanisha tumeishinda kwa muktadha upi. Kukataa kwao kupima wananchi ili kunuastatus za kiafya kuhusiana na Corona ndo kuishinda Korona au ni njia tu kulikataa tatizo kuwa lipo?

Anyway Link juu ya umuhimu wa barakoa kwenye kupambana na Korona hii hapa

Masks and social distancing work, new analysis finds
 
Siyo kwa Tanzania mkuu , huku kwetu msaada ni nyungu , malimao na Tangawizi
 
Za kuambiwa changanya na zako siye wengine tunaendelea kuvaa. Hao wanoshindwa kuvaa kwa kuogopa kushindwa kupumua we waache tu
 
Tuelewe barakoa haivaliwi kila sehemu na kila mara. Huo mkusanyiko wa Rais unaosema walikuwa wamepigwa sanitaizer za kufa mtu.... lile eneo lilikuwa na limepulizwa vya kutosha. mkiwa ofisini au shule kama wote mmejikinga kwa kujisafisha na kusafisha eneo hakuna sababu ya kushinda mmevaa barakoa. Usishikane mikono, msikaribiane, zuia chafya, nawa kwa maji tiririka.... inatosha.... Unapoingia vitani unahitaji uangalifu na sio uoga!
 
Hahah Barakoa kwangu ni kama kondomu tu siwezi kuvaa hata niwe kwenye mkusanyiko wa vipi, hio sentence ya mfano wa pili malizieni tu
 
Tuelewe barakoa haivaliwi kila sehemu na kila mara. Huo mkusanyiko wa Rais unaosema walikuwa wamepigwa sanitaizer za kufa mtu.... lile eneo lilikuwa na limepulizwa vya kutosha. mkiwa ofisini au shule kama wote mmejikinga kwa kujisafisha na kusafisha eneo hakuna sababu ya kushinda mmevaa barakoa. Usishikane mikono, msikaribiane, zuia chafya, nawa kwa maji tiririka.... inatosha.... Unapoingia vitani unahitaji uangalifu na sio uoga!

Sanitizer haiondoi virusi vitokavyo kwa mtu aliye jirani yako akapiga chafya
 
Utafiti uliofanywa umeonyesha kuwa uvaaji wa Maski na social distancing vinasaidia sana kupunguza ueneaji wa virusi vya Corona.

Kwetu hapa Tanzania, wananchi walikuwa wameanza kuwa na mwamko wa kuvaa barakoa. Ilikuwa ukienda kwenye madaladala au magari ya mwendokasi unakuta wananchi wamevaa barakoa.

Unfortunately serikali imeamua kwa makusudi kabisa kusabotage juhudi hizi za umma. Kwa upande mmoja una viongozi wa serikali pindi wakiwa na wananchi wanahimiza kuvaa mask, lakini wao wakienda kwenya hadhara za Ikulu hawavai mask. Hii imekuwa ikituma mixed signal kwa wananchi na hivyo wengi wao kuamua kufuata kile wanachokiona mbele ya rais.

Kibaya zaidi Taasisi ya rais nayo imekuwa kila ikipata nafasi inapiga vijembe mask, kwa mfano kule kanisani chato raisi alionekana kuwapongeza waumini ambao hawajavaa mask, rais amesikika akisema tusitegemee mavitaambaa bali tumtegemee Mungu, Yaani kiufupi raisi kila alipokuwa anapata nafasi ua kuongea lazima apeleke kijembe kwa mask.

Sasa wananchi wameacha kuvaa hizo mask, ukienda mtaani ni mwananchi mmoja mmoja anavaa. Hata kwenye mikusanyiko mikubwa kama vile sokoni watu wameacha kuvaa.

Najua, Serikali iko dseperate kuonyesha hali ya ukawaida kwenye jamii (normalcy) ili watu wafanye kazi serikali ikusanye mapato, na pia kujaribu kuwahakikishia wageni, watalii kuwa hali ni shwari waje, lakini kwa bahati mbaya hii ni bahati nasibu kubwa sana serikali inaicheza. Huwezi kuwaambia watu kuwa Korona ipo wachukue tahadhari halafu wakati huohuo unatumia platform ya mamlaka ya rais kudiscourage Mask.

Nilishangaa pia majuzi kuona Ikulu inaandaa tukio huko Dodoma na kuwaleta wazee wetu wastaafu katika eneo la hadhara ya watu wengi vile. Imagine unamuwekaje mzee Mwinyi, Mkapa, Malechela, watu wenye umri wa miaka zaidi ta 75 katika hadhara ile bila barakoa, je unakuwa unafikiria nini?. Corona ni hatari zaidi kwa wazee. Nimeona hata Zitto Kabwe ameshangazwa mno na hstua hiyo ya Ikulu ambapo alitweet na kusema kuwa HIYO SIYO SAWA.

Wakati huo yanafanyika, madereva wetu wameendelea kuonekana wana virusi vya korona pindi wakipimwa mipakani, Sasa sijui Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anaposema Koronatumeishinda anakuwa anamaanisha tumeishinda kwa muktadha upi. Kukataa kwao kupima wananchi ili kunuastatus za kiafya kuhusiana na Corona ndo kuishinda Korona au ni njia tu kulikataa tatizo kuwa lipo?

Anyway Link juu ya umuhimu wa barakoa kwenye kupambana na Korona hii hapa

Masks and social distancing work, new analysis finds
Mkuu ebu nipe takwimu za madereva wangapi wanakorona?mana ummy anasema wapo 4 nchi nzima au ndyo hao madere broo ?mi sielew unajua hii hali inavyokuwa unajua
 
Tuelewe barakoa haivaliwi kila sehemu na kila mara. Huo mkusanyiko wa Rais unaosema walikuwa wamepigwa sanitaizer za kufa mtu.... lile eneo lilikuwa na limepulizwa vya kutosha. mkiwa ofisini au shule kama wote mmejikinga kwa kujisafisha na kusafisha eneo hakuna sababu ya kushinda mmevaa barakoa. Usishikane mikono, msikaribiane, zuia chafya, nawa kwa maji tiririka.... inatosha.... Unapoingia vitani unahitaji uangalifu na sio uoga!
Kwa dawa ipi mkuu walipulizia wakati wanasema dawa zinaongeza maambukizi za kupulizia? Kama kusanitizer sawa nakubali
 
Kweli kabisa,,tujitahidi kuzuia chafya kwenye mikusanyiko
 
Kwa dawa ipi mkuu walipulizia wakati wanasema dawa zinaongeza maambukizi za kupulizia? Kama kusanitizer sawa nakubali

Ndugu yangu, tumeshasikia dawa nyingi sana toka huyu Covid afike kwetu. Wanadai Maji safi na sabuni na spiriti yanatosha kumyeyusha mafuta huyu kovid. Kuna sehemu utakuta wametengeneza kama kijumba unaingia unazunguka na kibomba kinakurushia huo mchanganyiko wa maji yenye sabuni na spirit au dawa nyingine au sanitaizer yoyote.
 
Back
Top Bottom