Utafiti: Ukitaka mwanamke asikuangalie sana fanya haya...

superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
6,326
2,000
Wanawake ni viumbe vinavyopenda Sana kuchunguza Mambo madogomadogo ya watu ikiwemo muonekano.

Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi...

Rangi
Urefu
Umbile
Kipato
Nini unamzidi
Kipi anakuzidi
Anakudefine pia who u might be

Sasa tafiti zinaonyesha kwamba mwanamke akikuangalia saaaaana ujue anatafuta thamani yako na udhaifu wako. Vs. Ubora wake na udhaifu wako.

Sasa wataalamu wanasema ukitaka mwanamke akuonee aibu asikuangalie kabisa fwata pattern hii...

1.Mtazame machoni kwanza

2.Kisha mwangalie tako lake.

Ukishafanya hivyo mtazame Tena utaona hakuangali ng'ooooo maana umeshampa mtihani yeye hivyo umempunguzia confidence ya kujiamini atabaki anajiuliza yeye hivi tako langu kalionaje....? Cha ajabu hata Kama tako la mwanamke ni kubwa ukishaliangalia hawajiamini anaona aibu.

Utafiti huu umelenga kuwapa confidence mabaharia wenye muonekano mbaya kwa mademu ili wajiamini.

Superbug.
 
mbauba11

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
3,440
2,000
Mwanzo umeanza vizuri kweli! Mpaka umenivutia,kwa sababu hiyo tabia ipo

Ila mwisho umeharibu,ulipomalizia maneno hayo..nilijua utaleta strategies za maana kumbe holla!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mla Bata

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
5,211
2,000
Ila hii inaaply pia kwa wanawake!...ukiwa huna hela ke bar unakaa kwa woga woga jicho juu juu..safari za chooni kila mara! Upate attention....! Ukiwa na hela hata kuitwa hovyohovyo hakuna!!...hata ukiaga kwa crew unayokunywa nayo utaruhusiwa fresh tu usepe!
Hapo kwenye attention wengi hufanikiwa kutokana nature ya wanaume wengi wa bar kuwa wakware, hapo kinachofuata ni beer za bure na mgegedo, yani inakuwa WIN-WIN situation.
 
EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
8,569
2,000
Wanawake ni viumbe vinavyopenda Sana kuchunguza Mambo madogomadogo ya watu ikiwemo muonekano.

Mwanamke akikuangalia Sana jua anakuthaminisha kihivi...

Rangi
Urefu
Umbile
Kipato
Nini unamzidi
Kipi anakuzidi
Anakudefine pia who u might be

Sasa tafiti zinaonyesha kwamba mwanamke akikuangalia saaaaana ujue anatafuta thamani yako na udhaifu wako. Vs. Ubora wake na udhaifu wako.

Sasa wataalamu wanasema ukitaka mwanamke akuonee aibu asikuangalie kabisa fwata pattern hii...

1.Mtazame machoni kwanza

2.Kisha mwangalie tako lake.

Ukishafanya hivyo mtazame Tena utaona hakuangali ng'ooooo maana umeshampa mtihani yeye hivyo umempunguzia confidence ya kujiamini atabaki anajiuliza yeye hivi tako langu kalionaje....? Cha ajabu hata Kama tako la mwanamke ni kubwa ukishaliangalia hawajiamini anaona aibu.

Utafiti huu umelenga kuwapa confidence mabaharia wenye muonekano mbaya kwa mademu ili wajiamini.

Superbug.
Weeee! kuna mwanamke mmoja ana tako sio la nchi hii na analiringia balaa yaani ukimwangalia ndo anazidi kulitingisha hata kama mpo wanaume 10 vs yeye peke yake, anapenda sana attention ni mwanamke wa pwani. njoo jaribu mbinu hio uone kama hujamkimbia mwenyewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom