utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kilisababisha Magufuli kupiganiwa na makabila matatu ?

    nimekaa na wasukuma wanasema hayati alikuwa msukuma,nimekaa na waha wa Kakonko wanasema hayati alikuwa ni mtu wa kwao,nimezungumza na wazinza wa Butundwe(Lagos) wanasema hayati alikuwa mtu wao,ukizungumza na warongo,ukizungumza na wasubi wote wanasema hayati alikuwa mtu wao sasa najiuliza kisa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Maji yaliyoko chini ya ardhi ni mara 20 ya maji ya mito na maziwa

    Bara la Afrika lina maji ya chini ya ardhi ya kutosha na hivyo kupelekea kila mtu kupata maji ya kunywa ya kutosha ili kukabiliana na ukame kwa angalau miaka mitano, na hata katika baadhi ya maeneo, hadi miaka 50. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na shirika la utafiti wa Jiolojia la...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuhusu 'Sampling Design' nzuri kwa utafiti wako

    Kwa sasa Tume ya Vuo Vikuu Tanzania(TCU) imeweka vigezo kwa wanafunzi wa Maters kuwa na Publication katika reputable journal, hasa kwa wanaofanya by thesis na PhD students. Kuwa na publication ni jambo muhimu sana kwa ulimwengu wa watafiti as it shows vitu umeviandika na kuvidadisi kwa undani na...
  6. mama D

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaume wachepukaji ni wale wenye IQ ndogo

    Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa Msaikolojia Satoshi Kanazawa kutoka London School of Economics and Political Science. Mwanasaikolojia...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro azindua Utafiti wa kuongeza Utalii wa ndani Tanzania kipindi cha COVID-19

    Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria, leo tarehe 15 Januari 2022 Jijini Dar Es Salaam, imefanya Uzinduzi wa Utafiti wa Utalii wa ndani na Mchango wa Sekta ya Utalii katika Uchumi wa Nchi kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko-19...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa kitendo cha Mwijaku kuchukua fomu kugombea Uspika ni ishara ya ukuaji wa Demokrasia?

    Taratibu sasa GENTAMYCINE naanza Kuelewa ni kwanini Watanzania na Taifa letu la Tanzania tunadharaulika sana kama siyo mno na Mataifa mengine ( hasa hasa ya Jirani ukiiondoa tu Burundi inayojipendekeza Kutwa kwa Tanzania utadhani imeolewa na Tanzania ) yenye Raia makini, Werevu na wenye kujua...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Athari za Covid kwa uzazi wa wanaume - Utafiti wafichua

    Ni miaka miwili sasa tangu virusi vya Covid vigundulike duniani na baadaye kuwa janga, lakini ni sasa ambapo uwezekano wa athari za ugonjwa huu kwa uwezo wa kuzaa wa wanaume zimefichuliwa. Ingawa kuna baadhi ambao hawajapata chanjo kutokana na hofu kwamba chanjo dhidi ya Covid-19 itapunguza au...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Usitumie maneno haya unapozungumza na mwanao

    PSYCHOLOGIST WARN: NEVER USE THESE 5 PHRASES WHEN TALKING TO YOUR CHILD It is a fact that no one is perfect and all people make mistakes. But, parents should be aware of the fact that in the eyes of their children, they are not only humans, but they also are guardians, creators and caretakers...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania katunı ya leo Tujikumbushe ya Zamani

    Tujikumbushe ya Zamani
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania TRILION NUKTA FIVE

    TRILION NUKTA FIVE!!!!!!!
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno picha hii

    Ipe neno picha hii...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume.

    Utafiti uliofanyika huko Marekani na Netherlands kuanzia miaka ya 80 unaonyesha kwamba wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume. Sababu inaonyesha kwamba ni rahisi kulea watoto wadogo wa kiume kuliko wa kike. Utafiti unaenda mbali zaidi na kusema talaka inakua...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Putin says insulting Prophet Muhammad 'violation of freedom of religion'Putin asema kumtusi Mtume Muhammad 'Ni kukiuka uhuru wa dini'

    Putin says insulting Prophet Muhammad 'violation of freedom of religion' Russian president says any freedom should have in its basis respect to other people's feelings Russian President Vladimir Putin speaks during his annual press conference at the Moscow Manege on December 23, 2021 in Moscow...
  16. T

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mkoa gani mwezi huu wa December watu wake hurudi sana kwao.?

    Ni kile kipindi cha mwaka ambacho watu hupotea jijini, nafanya kautafiti kadogo kujua mkoa gani watu wake hurudi kwa wingi kushinda mkoa mwingine. Karibuni
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya leo

    VIONGOZI WA SERIKALI YA AWAMU YA KWANZA MPAKA AWAMU YA NNE
  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Sirikali yangu haina ajira kwa hiyo mjiajiri wenyewe

    SERIKALI INAYOSEMA UKWELI MTUPU
  19. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Utafiti 1990: Watanzania ni wavivu

    Posted on January 1, 1990 by editor Tanzanian workers are lazy and unproductive says Tanzania’s National Productivity Council (NPC) quoted in ‘Business News’ on September 29th 1989. The NPC Executive Secretary, Mr Nikubuka Shimwela attributes the trend to a lack of a productive culture in the...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Msifunge ndoa kabla ya kufanya utafiti

    Imeelezwa kuwa wanandoa wengi wamekuwa wanaharakati zaidi kuliko kuwa walezi wa ndoa zao, jambo ambalo linasababisha migogoro kwenye familia na kuzifanya zivunjike. Hayo yalisemwa jana jijini hapa na Mkurugenzi wa Asasi ya TaMCare, Dk Enock Miyuka alipokuwa anazindua kliniki ya ndoa na...
Back
Top Bottom