Jifunze kuhusu 'Sampling Design' nzuri kwa utafiti wako

OLS

JF-Expert Member
Oct 12, 2019
419
670
Kwa sasa Tume ya Vuo Vikuu Tanzania(TCU) imeweka vigezo kwa wanafunzi wa Maters kuwa na Publication katika reputable journal, hasa kwa wanaofanya by thesis na PhD students. Kuwa na publication ni jambo muhimu sana kwa ulimwengu wa watafiti as it shows vitu umeviandika na kuvidadisi kwa undani na kuonesha specialization yako. Hata hivyo Journal nzuri huwa zinaangalia vitu vingi kabla ya kukubali kuchapisha andiko lako

Kwa sababu hiyo, nimeandika Article kwenye sehemu moja inayofanya Peer-review ili kuonesha ubaya wa kutumia Online Surveys kwa nchi zetu zinazoendelea kutokana na nature ya watu hao ambapo inaweza kukupa matokeo yasiyoreflect uhalisia, ambapo kwa baadhi ya journals wanaweza kukataa kazi yako kwa kukosoa methodologies zako

Hivyo kwa wanafunzi na watafiti wanaojikita kwenye kufanya studies za kitaifa, kama ukosefu wa ajira, umasikini na studies nyingine kama hizo, ni muhimu kujua kuwa Online surveys ambazo huwa mnatuma kwa google surveys, CTO, au Survey Monkey inaweza kukupa sample kubwa lakini sample hiyo itakuwa biased. Biased design haiwezi kutibika kwa kutumia sample kubwa.

Kuna suala lingine la mahusiano ambalo hufanya mtu ajaze tu questionnaire yako ili amalize na kutumia wengine, pia tafiti zimeonesha shida nyingine nyingi za online survey

Yote ya yote kujifunza zaidi kuhusu ubaya wa Online Surveys, tafadhali tembelea Article hii AuthorAID - Limitations of online survey tools for developing countries

Signed OEDIPUS
 
Hivi hata wale wa coursework nao lazima wachapishe andiko?
 
Back
Top Bottom