utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utafiti na Maendeleo Tanzania

    Utafiti na Maendeleo Tanzania Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua hatua dhidi ya changamoto hizo. Utafiti ni moja ya kichocheo kilichochangia maendeleo ya dunia. Hii ni...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kutolia kunadhoofisha Nguvu za Kiume

    Wakati jamii ikitafsiri mwanaume kulia anapopatwa na matatizo ni udhaifu, wataalamu wa saikolojia na viongozi wa dini wanasema ni afya na humpa mhusika faraja ya maumivu anayopitia. Wameonya kuwa kukaa muda mrefu bila kuonyesha maumivu uliyoyapata kunasababisha kupoteza hamu ya vitu muhimu...
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyegundua kwamba pakiti ya condom zikae tatu nani? Nafanya utafiti wangu hapa kuona kama moja inaweza tumika bao zote

    Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu. Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu. Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha: Wananchi Asilimia 68 "Hawana Furaha", Serikali yaonya

    Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Utafiti TWAWEZA: Asilimia 53 ya watanzania wameridhika na maboresho ya huduma ya afya

    Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita. Ukweli juu ya tafiti hiyo unathibitishwa kupitia ujenzi na ukarabati wa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Kwanini Madaktari wanaingia kazini wakiwa wamelewa

    Shinikizo na uchovu unaokuja na kazi ya Udaktari umesababisha wengi wao kuripoti kazini wakiwa wamelewa, ripoti mpya imefichua. Kulingana na utafiti wa All Points North (APN), kampuni ya afya ya akili, wafanyakazi wengi wa afya wanakabiliwa na matumizi mabaya ya dawa za kulevya. Takriban...
  7. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania TWAWEZA: Asilimia 67 ya watanzania wanakubali kwamba tozo ni njia muhimu ya serikali kupata mapato

    Kwa mujibu wa utafiti wa TWAWEZA asilimia 67% ya watanzania wako tayari Kulipa tozo kwa sababu wanatambua ni muhimu kwa maendeleo ya nchi. Kwa matokeo haya ni wazi Waziri Mwigulu na serikali inazidi kuwaumbua CHADEMA ambao kila siku ni kudandia hoja na kupotosha 😂😂. CHADEMA kazi mnayo...
  8. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI TWAWEZA yaahirisha uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, leo Agosti 25, 2022

    Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

    Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi. Utafiti huo mpya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Mvurugiko wa homoni chanzo cha kukosa nguvu za kiume, hamu ya tendo

    Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakikimbilia kutumia dawa badala ya kuwaona wataalamu hali inayochangia kukuza tatizo na...
  11. Antonia lujabuka

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utafiti wa kisayansi na vitendo

    UTAFITI WA KISAYANSI KWA VITENDO Mama: Selvina nenda kalale kesho shule Selvina: mama bado kidogo ndio inaishia Mama: kalale haraka kabla sijafika apo kupiga Selvina alizima TV na kwenda kulala. Ni binti wa miaka kumi na tatu alipenda Sana kuangalia video za sayansi ya anga. Kila siku alikuwa...
  12. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa GSMA ulionesha athari kubwa ya tozo za miamala ya simu

    Taarifa ya utafiti ndani ya miezi sita ya uanzishaji wa tozo kwenye miamala ya simu umeleta athari kubwa kwenye mifumo ya fedha ambapo miamala ilipungua kwa zaidi ya 53% lakini pia kulikuwa na upotevu wa ajira kutokana na kufungwa kwa vibanda vya kutolea huduma. Kibaya zaidi mapato ya Serikali...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania TARURA wilaya ya Ubungo fanyeni utafiti

    Jana tarehe 14/8/2022 Mhe. Rais amewaonya watendaji wa TARURA kutokutoa zabuni kwa wakandarasi wababaishaji. Wananchi wa Wialaya ya Ubungo kata ya Kibamba eneo la Kikuvya gogoni/kituo cha polisi, tunaomba viongozi wa TARUARA wachunguze ujenzi wa barabara inayo anzia Kikuvya GOGONI kituo cha...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Utafiti: 57% Watoto wachanga ndio wanaonyonyeshwa inavyotakiwa chini ya umri wa miezi 6

    Asilimia 97 ya watoto wanaozaliwa hunyonyeshwa maziwa ya mama na kwamba asilimia 92 ya watoto hunyonyeshwa kwa kipindi cha mwaka mmoja na kuendelea. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jami, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Mhe. Mwanaidi Khamis wakati akimwakilisha Waziri wa Afya, Mhe Ummy Mwalimu...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kukosa usingizi wa kutosha hupelekea kupungua kwa Nguvu za Kiume

    KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume. Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Utafiti mwanaume unatakiwa uwe na angalao na kitu kimojawapo kati ya Fedha, Utanashati na Urefu

    Wadau hamjamboni nyote Hi ni kwa mujibu wa Utafiti na maoni ya wataalami wa masuala ya Kijamii Kwamba kuna vitu vifatu muhimu kwa Mwanamume yeyote duniani ili kuongeza thamani yake na mvuto Fedha - za kumudu mahitaji yote ya msingi na ziada Utanashati - Uhandsome Urefu kuanzia futi 6 kwenda...
  17. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Utafiti wetu na ugunduzi uendane na wakati....

    Nimekuwa nikisikia mwanafunzi wa Chuo kikuu anafanya utafiti au umefanya ugunduzi wa gari, au pengine ndege au hata helcopter bila kusema ni nini cha ziada kilichopo au kitakachokuwepo na kunipa wasiwasi kama vijana wetu wanajua tofauti ya kugundua na kujifunza. Kwa ufahamu wangu, kutengeneza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Ukitegesha alarm usiku lazima uamke muda mfupi kabla ya alarm kulia

    Hili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuongeza chumvi kwenye chakula kilichopikwa tayari hupunguza miaka ya kuishi

    Utafiti uliohusisha Waingereza wapatao 500,000 umebaini kuongeza chumvi kwenye chakula kilicho mezani (Chakula kilichopikwa tayari) kunahusishwa na kifo cha mapema. Watafiti wamegundua kuwa kuongeza chumvi kila wakati kwenye chakula hupunguza zaidi ya miaka miwili ya kuishi kwa Wanaume na mwaka...
  20. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Nyumba za kupanga zinavyoharibu akili

    Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona. Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
Back
Top Bottom