utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya. Nina Shahada ya Biotechnology and Laboratory Science

    Habari zenu ndugu, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Ndugu zangu ninatafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya na taasisi zinazohusu utafiti. Nina bachelor degree ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika kufanya kazi maabara especially kwenye...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asiyechanja hatarini kufa kwa COVID-19 mara 11 zaidi ya aliyechanjwa

    Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana na Covid-19. Aidha, inaelezwa utafiti huo ulichunguza visa 600,000 kutoka katika Majimbo 13...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

    Utafiti wa kutosha ufanyike kuhusiana na mwenendo wa haya Malori jamii ya FUSO. Magari haya yamekuwa ni chanzo kikubwa sana cha ajali zinazo poteza maisha ya Watanzania wengi!! Yaani kama utasafiri usiku ndio utaona namaanusha nini. Mwendo wa haya magari sio mchezo ni hatari sana kwa...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu 330 wamefariki kwa kupiga picha maeneo hatarishi

    Utafiti wa AIIMS wa Nchini India umeeleza kuwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita Watu 330 wamefariki wakati wakiwa wanapiga picha kwenye maeneo hatari kama kwenye majengo marefu, Barabarani n.k kwa lengo la kupost kwenye mitandao yao ya kijamii.
  5. B

    JamiiForums Tanzania LHRC: Ripoti ya utafiti wa Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai na Uhujumu Uchumi

    06 September 2021 Morogoro, Tanzania LHRC YAWASILISHA RIPOTI YA UTAFITI WA SHERIA YA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI NA UHUJUMU UCHUMI, YALIA WASHIRIKI kutoka taasisi za Serikali, viongozi, wahadhiri vyuo vikuu UDSM na UDOM, Asasi za Kiraia, walimu wa vyuo vikuu pamoja na waandishi wa habari...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Vita ya Abushiri kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889

    Vita ya Abushiri ilikuwa jaribio la wenyeji wa pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa na jeshi la Wajerumani. Wajerumani waliita "Uasi wa Waarabu". Viongozi Viongozi wake waliojulikana zaidi walikuwa Abushiri ibn Salim...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Afrika ya Mashariki ya Kijerumani

    Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo Mwaka1888) Sarafu ya rupia 1 iliyotolewa kwa jina la "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" (Kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya Mashariki); tangu 1904 zilitolewa kwa jina la koloni yenyewe bila kutaja kampuni tena Afrika ya Mashariki ya...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maneno haya yani ukweli ndani yake

  9. beth

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Zanzibar ina changamoto kutatua matatizo ya Ukatili wa Kijinsia

    Utafiti uliofanywa na Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) Juni 2011 hadi Machi 2012; Kuna changamoto kubwa katika Jamii za Zanzibar kwenye kutatua matatizo ya ukatili wa kijinsia. Jamii zinagubikwa na usiri wa kueleza au kuyafikisha masahibu hayo mbele ya sheria na vyombo vya usalama...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Bodaboda zinachangia kumomonyoka kwa maadili

    Wakuu, Biashara ya bodaboda imekuwa mkombozi kwa kurahisisha usafiri katika maeneo mengi nchi hii, mijini na hata nje ya miji. Lakini pia imekuja na mambo mengi maovu, kama vile kutumika katika ujambazi na unyang'anyi ukiachilia mbali ajali nyingi zinazosababisha ulemavu wa kudumu hata vifo...
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Binadamu huzungumza wastani wa maneno 16,000 kwa siku

    Binadamu mtu mzima angalau kwa siku anazungumza maneno 16,000 kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na mwanazuoni (Neuman, 2012) The human adult utter at least 16,000 words a day, mostly through verbal exchange (Neuman, 2012). Sasa sijui huu utafiti unawahusu na wale wasutaji wa mitaa yetu pendwa...
  12. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nasubiri wataalamu wa ndani wa chanjo ya COVID-19 waongee kisha nitawapiga kwa risasi moja tu watawanyike

    Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19 Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

    Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
  14. MEXICANA

    JamiiForums Tanzania CDC: Waliochoma chanjo ya Corona wavae barakoa katika mikusanyiko ya ndani

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi ya...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania LHRC, Amnesty International wataka Mbowe aachiwe na uhuru wa kisiasa uheshimiwe Tanzania

    Mbowe pamoja na wenzake 11 kutoka chama cha Chadema walikamatwa na polisi usiku wa kuamkia Jumatano jijini Mwanza. Mashirika yanayotetea haki za binadamu yameikosoa vikali hatua ya Jeshi la Polisini nchini Tanzania ya kuwakamata baadha ya viongozi wa chama cha upinzani nchini humo Chadema...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu kuhusu "profile pictures" za watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Nilifanya kautafiti kadogo juu ya Profile picture na picha wanazoweka watu kwenye Account zao za mitandao ya kijamii. Nikabaini mambo yafuatayo: 1. 90% ya walioweka picha Nusu/Passport size (kuanzia kiunoni mpaka kichwani) ni Wafupi. Pia hawana maumbo ya kuvutia. Hii ipo kwa pande zote...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Haya Ndiyo Makazi Ya 60% Ya Walipa Miamala Ya Simu

  18. platozoom

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Makazi ya Wana-JF

    Huu ni utafiti rasmi uliofanywa na Shirika la Chitlliysous Consulting Inc. kwa kuanzia Mwezi January to May 2021 juu ya ukaazi wa members wa Jamiiforums. Sample size na vigezo vilizingatiwa, infact, utafiti huu unatambulika Kimataifa. Utafiti unaelezea makazi ya WanaJf; 1. 32% wanaishi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Utafiti mdogo nilio ufanya juu ya chaguzi za viongozi na uelewa wa wanainchi juu ya haki zao za kikatiba zinavo takiwa kutekelezwa

    Ndugu zangu habalini za wakati huu, poleni na majukum ya kulijenga taifa. Niende moja kwa moja ktk mada tajwa hapo juu Watanzania wengi hususani wa vijijini hawana uelewa wa haki ya kuwawajibisha viongozi wao ktk maswara ya haki zao za kikatiba zinapo shindwa kutekelezwa na viongozi walio...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Msongo wa mawazo huweza kusababisha Mtu kuota mvi mapema

    Kulingana na utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha Columbia uliochapishwa katika jarida la eLife: wakati chanzo cha mafadhaiko kinapoondolewa, nywele zinaweza kurudi kwenye rangi yake ya kawaida. Kwa miongo kadhaa tumejaribu kuelewa husiano uliopo kati ya msongo wa mawazo na kuota kwa mvi, na huu ndio...
Back
Top Bottom