bafetimbi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 1,085
- 1,735
Wasalaam ndugu zangu. Baada ya kuingia chimbo la takriban miezi kadhaa nikifanya tafiti mbalimbali, ghafla nikajikuta navutiwa sana na utafiti juu ya hili jambo.
Ni jambo moja nyeti sana ambalo watu wengi hawajalitilia maanani, si wanaume wala wanawake. Kwa kifupi wote hawajagundua juu ya jambo hili nyeti na lenye mvuto wa aina yake.
Utafiti wangu ulianza mnamo mwaka 5/7/2021. Katika mkoa wa Kagera, hakika kagera inavutia, inapendeza na ina kila kitu ambacho kilihitajika hasa katika utafiti wangu, ndugu zangu ama kwa hakika hili ni jambo litakaloishangaza dunia. Lazima dunia itastaajabu upekee na unyeti wa utafiti huu toka kwa mtanzania mwenzenu. Hebu jiulize ni wanasayansi wangapi mpaka leo hii bado hawajagundua hili?
Je ni watu wangapi duniani hawajagundua hili swala japo wanaliona na kulifanya kila siku?.
Hitimisho la utafiti wangu nikagundua kwamba KUPIMA OIL kwa kidole gumba cha mguu wa kushoto kuna msisimko wa aina yake. Yaani usio na kifani tena ikifanywa kwa ustadi mzuri inaweza kupelekea mmoja wenu akapoteza maisha kwa msisimko wa "Dole Gumba Oil Measure" kwa pande zote mbili yaani "ke" na "me".
Na baada ya kutoka Kagera nikarudi kumalizia utafiti wangu jijini Mbeya bado utamu ni ule ule ndugu zangu.
Nategemea kuhamishia tafiti zangu jijini Dar es salaam ifikapo desemba mwaka huu.
Mwaka huu wapima Oil tuna jambo letu.
Ahsante na tafiti ziendelee.