Kwa muelekeo ninaouna
✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi...
✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo...
✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri.
Huu ni utabiri wangu wa kimaono. Mwenye Presidential Image ndani ya CCM kwa sasa sioni zaidi ya BCM a.k.a kachero mbobezi.
Pamoja na uzoefu wake ktk siasa, wenyeji ktk chama, na weledi wa mambo ya kimataifa BCM ana ziada ya mvuto wa nafasi ya urais.
Ni wazi...
Kwa kutambua umuhimu wa mechi ya leo na aina ya wachezaji walioitwa Taifa stars, ungekuwa nafasi ya kocha Poulsen ungekuja na kikosi gani? Mimi ningeanza na hawa hapa
Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo.
Taifa stars anashinda 3.1DRC
Wafungaji
1 Fei toto wa yanga
2 Saimon msuva
3 Fei toto anafunga tena
CONCLUSION ; DRC anakufa goli tatu...
Wanabodi I declare my option sishangilii matokeo ya matukio yaliyotokea kwenye utabiri wa God bless Lema. Lema aliota ndoto nayo kweli ikaja kutokea JPM akafariki kweli. Mwaka haujaisha alimpigia Sabaya simu akamuonya aache ubabe.....Sabaya akaendeleza leo hii amebakiza miaka 29 na siku 263...
Nauliza tu kwa wataalamu wa Hydro power je tuendelee kutumaini umeme mpya kutoka Bwawa la Nyerere katikati ya mwaka ujao kama tulivyoahidiwa?
TMA wametabiri mvua chache sana mwishoni mwa mwaka.
Mimi siyo mganga kama MziziMkavu au Mshana Jr , mimi sina kinyongo kama Kitimoto pia mimi nipo timamu kabisa sina mizengwe kama Dj DON NALIMISON wala mimi siyo intelijensia kama Infantry Soldier
Natabiri yafuatayo;
Kwenye hii miezi mitatu yaani watisa, kumi na kumi na moja yafuatayo yatatokea...
Mh Mbowe ata achiwa ila moto wa siasa utapamba moto mara saba sabini ya sasa ikumbukwe ana achiwa kwa mashinikizo yanaendelea na hali inayo endelea kwa sasa hasa ule mgomo unao taka gawanya watanzania kwa udini na vyama.
Nashukuru watu waidara za serikali walio shauri na wanao zidi shauri...
Mwaka 2017 niliandika mada hii Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi baada ya kuona kinachoendelea nchini.
Ujio wa Mama uliamsha matumaini makubwa sana ndani ya mioyo ya watanzania, na matamanio makubwa yalikuwa si kuona uchumi unakuwa kwa asilimia 7 wala si...
Licha ya kuwa na wafuasi chungu nzima kutoka mataifa tofauti duniani, pia alikuwa na wakosoaji wengi vilevile kutokana na mafunzo ya kanisa lake.
Hii leo tunakuangazia kuhusu utabiri aliotoa na utata uliomzunguka.
Maji ya Upako
Mwaka 2013 hamu ya maji ya upako {Maji matakatifu} ya TB Joshua...
Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule
Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni...
Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno.
Tupia utabiri wako hapa.
Utabiri wangu.
Chelsea 0 vs Man City 3
Either Players to Score.
1. Riyad Mahrez
2. Reuben Diaz
Hapo vipi?
Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
Wana JF
Nawasalimu wote
Nianze kwa kusema mimi sio Mganga wala Nabii ila ninenayo ndiyo ukweli unaotokana na uhalali wa hatimiliki kwa mujibu wa maagano.
Hizo namba tajwa hapo juu yaani 2 na 3 zina wenyewe ila bahati mbaya tu kipindi hiki kifupi wenyewe wamezikosa bila kutarajia na...
IJUE NYOTA YAKO
Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12 zimechomoza wakati anazaliwa.
Pia elewa ya kwamba ndugu yangu nyota yako moja imegawanyika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.