utabiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Area 56

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

    Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0. Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini... Tupia na wako...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Simba bingwa wa CAF 2023

    Natoa utabiri huu nikiwa na akili zangu timamu na upeo wa kutosha kuhusu mpira wa miguu. Mwaka huu 2023 ndiyo mwaka historia mpya inaenda kuandikwa kwa Simba kuchukua kombe la CAF Champions League. Najua kuna wapenzi wa Simba bado wanalilia kuona usajili mpya ili kuboresha timu ila ngoja...
  3. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Tumia Akili uliishia wapi?

    Huyu alijiita member wa Deep State na alileta uzi hapa akidai kuna rais ataibuka Tanzania na kutawala kuanzia 2022 Hadi 2032. Utabiri huo uligonga mwamba. Happy New Year. https://www.jamiiforums.com/threads/franklin-d-roosevelt-fdr-na-uongozi-wa-miaka-12-kujirudia-tanzania.1950132/
  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Utabiri, 2023 utakuwa mwaka mgumu sana kwa CCM

    Ndio hivyo, 2023 Itakua ngumu sana kwa wanazi wa CCM! Kuna ambao watakubali kubadilika Ili waendelee kula, Kuna kundi litaibuka kimya kimya likijiandaa kuweka mizizi, Kuna Viongozi wa CCM watapandishwa Kwa Pilato. Utakua mwaka wenye machungu sana kwa CCM na mara nyingi watajitokeza hadharani...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa yale yatatokea 2023 fungua macho naombea taifa

    "Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa na kwa kuwa umeyakataa maarifa na mimi nimekukataa." Hili ndio neno lakutiongoza kama Taifa kuelekea mwaka 2023. Nikwanini Mungu analiambia Taifa juu ya maarifa majibu mnayo kwakuhisi au kwakuwa kile Manisha. Mwaka 2023 ni mwaka wa maarifa ni mwaka...
  6. ChizzoDrama

    JamiiForums Tanzania Utabiri game ya Kesho Argentina Vs France

    Team Messi Kesho tunanyanyua makwapa kwa mara ya Kwanza kabisa tukisherekea kombe la Dunia. Hapo Ufaransa kashaleta ufala wake, tumepita naye 3:1, dakika 6 za nyongeza zinaisha Mbappe haamini anachokiona anapiga goti anatubu. Ebwanaa eh Messi kama staring wa picha , anamaliza operation yake na...
  7. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Je, utabiri wa Pep Guadiola kuhusu mshindi wa Kombe la Dunia utaenda kutimia hapo Jumapili?

    Mnamo Oktoba Julian Alvarez alipohojiwa na waandishi wa habari, alisema: "Wachezaji wa Ureno na Rodri walikuwa wakizungumza kuhusu nani angeweza kushinda Kombe la Dunia. Walikuwa wakisema Ureno, Ufaransa, na mataifa mengine ya Ulaya. Kisha Pep [Guardiola] akasema, 'unajua nani ana nafasi nzuri...
  8. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Unabii: Kombe la dunia 2022 litachukuliwa na Morocco

    Habari wadau wa jukwaa kubwa la JF, Nikiwa katika harakati zangu za kujiandaa na krismasi hapa canada nimejikuta nikisisimka na mwenendo wa mechi za kombe la dunia na baada ya kujiridhisha na hesabu zangu za kimwili pamoja na kupima ulimwengu wa roho nimejiridhisha pasi na shaka kwamba hili...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Senegal 2, England 1

    Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao. Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza katika mashindano haya zinapocheza na timu kutoka mabara menginre.
  10. K

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Ufaransa anatetea ubingwa wa Kombe la dunia

    Historia ipo ili ivunjwe Mpaka sasa hivi hakuna nchi yenye kikosi kipana na bora kama Mabingwa watetezi
  11. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Argentina huenda ikatwaa Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea! Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa wajitafakari

    Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa. Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze...
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Putin atakufa au kuondolewa madarakani

    "Putin wa Urusi ameleta matatizo makubwa sana kwa nchi za Magharibi, Duniani na hata Urusi kwenyewe. Ulaya Kuna Hali ngumu sana na hata Urusi kwenyewe. Maisha wanayoishi ulaya Sasa hivi,ni maisha waliyowahi kuishi Karne ya 18. Hii yote ni sababu ya Putin wa Urusi. Kwa mateso haya Kuna watu...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

    Najuwa umelala lakini roho yako haijalala. Yes najuwa roho yako haijalala. Najuwa Kuna watu walifurahia kifo chako mpaka wakasimama nakusema alidhani yeye ni Mungu lakini sasa wote wapo ktk vyumba wanalia kila wanapo juwa ukweli na sio kuujuwa ukweli ila kupewa full secret mission which while ye...
  15. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu unaelekea kwenye utimilifu

    Jana nilimwambia mke wangu Yanga atashinda 3- 1 dhidi ya Al hilal sasa ni 1-1 na mchezo bado unaendelea. Japo mimi Simba lakini kwnye michezo ya kimataifa navaa uzalendo haijalishi nini!
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine aidharau Urusi kupita kiasi

    Baada ya kuona majeshi yake yamefanikiwa kuwarudisha wanajeshi wa Urusi kwenye baadhi ya maeneo yaliyotekwa, sasa Rais wa Ukraine, Zelensky ameanza kuidharau Urusi pakubwa na kutoa utabiri wa kushinda moja kwa moja kama kwamba anapigana na mtoto mdogo. Kwenye hotuba yake hapo jana alisema kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

    Hata kama Mama anampenda au bado ana imani na Mwigulu, ni vigumu sana kuendelea kumbakiza katika nafasi yake kutokana na reaction ya umma kwani anaonekana kuwa ni waziri anaengoza kwa kulaumiwa na kutuhumia na hivyo anakosa sifa ya kisiasa ya kuendelea kuwa waziri. Kwa maneno mengine, yeye...
  18. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu mechi ya ngao ya jamii kati ya Yanga na Simba

    Yanga 🐸 2 - Simba 🐏 1 🐸 dakika ya 19 🐏 dakika ya 52 🐸 dakika ya 81 (Majina ya wafungaji nitaweka siku ya mechi baada line up kutoka)
  19. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Manara kuwa huru kabla ya Siku ya Mwananchi

    Kwa elimu yangu ndogo niliyoipata nchini Cuba, kabla ya siku ya mwananchi tarehe 06/08/2022 Haji Sunday Manara atakuwa yuko huru kutoka katika kifungo cha TFF. Hiyo miaka miwili aliyopigwa ni kama geresha tu maana itakuja kufutwa. Tuendelee kusubiri...
  20. KijanaHuru

    JamiiForums Tanzania Simba,Yanga Na Azam, Kuukosa Ubingwa Msimu Ujao: Sakho Na Mayele Kuukosa Msimu Ujao

    Hii yaweza Kuwa habari mbaya kwa mashabiki wa simba na yanga lakini pia yaweza kuwa habari njema kwa timu pinzani kwa hawa watu. hatihati ya Mayele kwenda Kwa Madima naona iko ukingoni kabisa ikiwa kabakia mwenyewe mhusika kuangusha wino, kwa dau lililopo hata mchezaji kubakia Yanga itakuwa...
Back
Top Bottom