Godbless Lema ana utabiri wa Mungu au ni Mpiga Ramli?

NewPage

JF-Expert Member
Mar 22, 2021
1,281
2,020
Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule

Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni so detailed.

Kwa namna hiyo nimekuwa nikijiuliza je huyu Bwana anatumia maono ya KiMungu kuyaona hayo au ni Mpiga Ramli tu wa kawaida? Na je namna alivyojaribu kumshauri Spika na kumtaka abadilike na iwapo Spika hatabadilika kwa viwango vyake Lema huko baadaye itakuwaje?

Ninawaza kwa sauti tu!

N.B Halafu Moderator why unahamishia uzi wangu kwenye habari Mchanganyiko wakati inaongelea mambo ya siasa? Acha hizo basi bro hebu irudishe kule Jukwa la Siasa Mkubwa! Sometimes mambo yenu sio poa kabisa yaaaaani (kwa lafudhi ya Mchungaji Magembe)
 
Hii tabia ya kuchanganya mambo ya dini na siasa ni ya hovyo sana. Tuachane na utabiri pamoja na ramli katika siasa zetu.Tutafute mabadiliko kwa njia secular.
 
Lema ni kilaza yeye hawezi kujenga hoja bila kutumia vifungu vya biblia. Na ikitokea hakubaliani na mtu yeye anajifanya kumtabiria kifo.

Bora hata Peter Msigwa yeye hoja zake huwa anasoma "quotes" za wanafalsafa.
 
Pamoja na kwamba alipozungumzia suala la Mwendazake aliambulia kwenda jela. Sasa suala la Kwamba anayafanya haya kwa uwezo gani kati ya hizo mbili ulizosema ni bora ukamtufuta Lema mwenyewe akufafanulie
 
Ila hapa umenishauri kweli asee! Nitamtafuta!
 
Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule

Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni so detailed.

Kwa namna hiyo nimekuwa nikijiuliza je huyu Bwana anatumia maono ya KiMungu kuyaona hayo au ni Mpiga Ramli tu wa kawaida? Na je namna alivyojaribu kumshauri Spika na kumtaka abadilike na iwapo Spika hatabadilika kwa viwango vyake Lema huko baadaye itakuwaje?

Ninawaza kwa sauti tu!

N.B Halafu Moderator why unahamishia uzi wangu kwenye habari Mchanganyiko wakati inaongelea mambo ya siasa? Acha hizo basi bro hebu irudishe kule Jukwa la Siasa Mkubwa! Sometimes mambo yenu sio poa kabisa yaaaaani (kwa lafudhi ya Mchungaji Magembe)
Hana lolote mjinga tu Lema...kila binadamu hapa Duniani kupatwa na masaibu kadhaa,unavyokua kiongozi utaenda na mwisho utafika,haijalishi mwisho mwema au mwisho mbaya,anapoongea si anakua anajua hilo kwamba mambo yana mwisho!! hana cha unabii wala uganga,autoe wapi?
 
Huyu bwana anayoyaongea ni kama vile yanatokea kuwa kweli. Aliongea kuhusu Mwendazake na kweli ikawa hivyo ingawa muda aliousema haukuwa ule

Kuna recorded audio call kati yake na Ole Sabaya na akamuonya kwamba Mwendazake sio Sir God na kweli ikawa na tayari Sabaya yupo kwenye uchunguzi ambao ni so detailed.

Kwa namna hiyo nimekuwa nikijiuliza je huyu Bwana anatumia maono ya KiMungu kuyaona hayo au ni Mpiga Ramli tu wa kawaida? Na je namna alivyojaribu kumshauri Spika na kumtaka abadilike na iwapo Spika hatabadilika kwa viwango vyake Lema huko baadaye itakuwaje?

Ninawaza kwa sauti tu!

N.B Halafu Moderator why unahamishia uzi wangu kwenye habari Mchanganyiko wakati inaongelea mambo ya siasa? Acha hizo basi bro hebu irudishe kule Jukwa la Siasa Mkubwa! Sometimes mambo yenu sio poa kabisa yaaaaani (kwa lafudhi ya Mchungaji Magembe)
Ila mara nyingi Uzi unaonekana potepote, yaani katika Jukwaa la Siasa na pia Jukwaa la Habari Mchanganyiko.
 
Lema ni kilaza yeye hawezi kujenga hoja bila kutumia vifungu vya biblia. Na ikitokea hakubaliani na mtu yeye anajifanya kumtabiria kifo.

Bora hata Peter Msigwa yeye hoja zake huwa anasoma "quotes" za wanafalsafa.
Lema alipewa unabii akatabiri jiwe hakusikia akawa mbishi Akafa ,bisha basi
 
Hana lolote mjinga tu Lema...kila binadamu hapa Duniani kupatwa na masaibu kadhaa,unayokua kiongozi utaenda na mwisho utafika,haijalishi mwisho mwema au mwisho mbaya,anapoongea si anakua anajua hilo kwamba mambo yana mwisho!! hana cha unabii wala uganga,autoe wapi?
Hutaki lakini aliyiyasema yametimia hutaki basii!!! Hata jiwe alikua mbishi kama wewe
 
Back
Top Bottom