Utabiri wako kwa mechi ya Taifa Stars dhidi ya Democratic Republic of Congo

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,770
24,197
Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo.

Taifa stars anashinda 3.1DRC

Wafungaji
1 Fei toto wa yanga
2 Saimon msuva
3 Fei toto anafunga tena

CONCLUSION ; DRC anakufa goli tatu kwa bila:D:D:D:D

Leteni utabiri wenu

TUKUTANE QATAR 2022
 
Magwiji wa footbal tukutane hapa leta utabiri wako dhidi ya mechi la kimataifa baina ya Taifa stars vs DRC nikianza mm utabiri wangu ni kama ifuatavyo
Taifa stars anashinda 3....
Mimi nasema hivi HATUTOBOIII!!!mpira ni sayansi na sio hamasa!!kweli leo tunatiana moyo kuwa DRC, ilikuwa zamani kwa sasa hatuwezi!!eti wao wanacheza ki star, sisi ki timu!!hahaaa!

Tuseme ukweli kumfunga congo ni ngumu sana, lazima tuambizane ukweli, na ninafahamu baada ya mechi kesho, wachambuzi wote watabadirisha maneno, kuwa Congo wanawachezaji wa kimataifa wengi!

Miaka yote tunaenda kwa kubahatisha bahatisha tu, ila bahati huwa ina kikomo chake!!leo kuna mchambuzi wa soka kwenye radio moja amesema ukweli, kuwa tuache kujazana upepo, kuifunga congo ni ngumu sana, ameambulia kuambiwa kuwa eti yeye sio mzalendo anatumika!

HATUTOBIIII!
 
mkuu kwani wew haujaona maombi yaliyopigwa na wa TZ
Sasa maombi mkuu!!mtakuwa mnamchosha Mungu, viwango hakuna, utegemee kudra?!!kwa wachezaji gani mlionao?!!nasema hivi kwa umuhimu wa mechi hii kwa wacongo hawawaachi!

Sasa nyie kaeni na history tu mala kwao tumetoka nao draw!!jana wamekuja na msafara wa watu 60!!wakiwemo ma legendary kina NONDA SHABANI!!
 
Sasa maombi mkuu!!mtakuwa mnamchosha Mungu, viwango hakuna, utegemee kudra?!!kwa wachezaji gani mlionao?!!nasema hivi kwa umuhimu wa mechi hii kwa wacongo hawawaachi!!!sasa nyie kaeni na history tu mala kwao tumetoka nao draw!!jana wamekuja na msafara wa watu 60!!wakiwemo ma legendary kina NONDA SHABANI!!
kweli kitaumana
 
Kwa timu yetu ilivyo inafikirisha sana, but kwa hamasa tunaweza pata ushindi ila sio kwa kuizidi Congo uwezo na tactics.

By the way ukiniuliza natamani nini, nitakwambia ni bora tungeanza kujipanga kushiriki afcon mara nyingi kuliko kukimbilia WC.

ALL THE BEST TO TANZANIA.
#THEBETTERTEAMWILLWIN.
 
Back
Top Bottom