Utabiri wa kikosi Tanzania vs Congo DR

Dp800

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,755
3,608
Kwa kutambua umuhimu wa mechi ya leo na aina ya wachezaji walioitwa Taifa stars, ungekuwa nafasi ya kocha Poulsen ungekuja na kikosi gani? Mimi ningeanza na hawa hapa
Screenshot_20211111-053105.png
 
ila hawa makocha yani unamuacha Ulimwengu Thomas unamuita John Bocco ngoja tuone.
Nadhani ingeshangaza zaidi kumuacha John Boco na kumchukua ulimwengu.
Kumbuka Bocco ndio MVP wa Tanzania msimu uliopita
 
Back
Top Bottom