Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,103
Dodoma inakuwa kwa kasi nzuri lakini kumekuwa na changamoto ya washamba wengi.
Kutokana na kuwa Makao Makuu kuna watu wengi wanahamishwa kutoka vimiji vidogo wanakuja na ushamba mwingi sana.
Mtu anapaki gari katikati ya Barabara bila kujali watu wengine wanapata taabu kiasi gani.
Kama huyu jana na Kaduals kake kafunga barabara ya Hospital na Soko la Jamuhuri na hajali lolote.