usumbufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Leo nimeona mwenyewe usumbufu wa polisi wa usalama barabarani dhidi ya magari ya mizigo

    Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa. Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka...
  2. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania Appodeal kumaliza usumbufu wa Admob ads na facebook ads

    Wadau. Kama wewe ni developer au unamiliki application nafikiri utakuwa unasumbuka sana na tatizo la ama kupata matangazo ya facebook au admob. hata kama yakipatikan ni nadra sana kudumu kwa muda mrefu. mengi yanakuwa blocked . sasa hapa Appodeal wamekuja na suruhu ambapo wao ukijiunga nao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtalii wa Kiingereza afurahia kutokuwepo "usumbufu sumbufu" wa kujikinga na Corona Tanzania

    Mtalii mmoja raia wa Uingereza, amejirekodi video akifurahia utalii huko Zanzibar. Katika video hiyo ameonyesha kufurahia uhuru mkubwa alioupata huku Tanzania baada ya kuondoka Uingereza mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu na Kuja Tanzania. Mtalii huyo anasema huku Tanzania hakuna cha social...
  4. minyoo

    JamiiForums Tanzania BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

    Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa. Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo...
  5. dattani

    JamiiForums Tanzania Sikuelewa nia ya Koplo Laurent Trafiki wa Kiluvya

    Siku ya Jumatano tarehe 26 August 2020 majira ya saa moja na nusu asubuhi eneo la Kiluvya nilisimamishwa na Trafiki na akaniambia niweke gari kando. Akaniambia nimekwenda kinyume na sheria za barabarani hivyo nastahili kuchapwa viboko! Nilivyoona anaongea lugha za mzaha na mimi kiukweli...
Back
Top Bottom