usumbufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Usumbufu wa malori Kariakoo unazidi wa wamachinga

    Malori yanekuwa msaada mkubwa kwa usafirishaji wa bidhaa mbalimbali kutoka Dar kwenda sehemu mbali mbali za Tanzani na nje ya Tanzania. Tatizo ni jinsi yanavyohudumu hapo katikati ya mji yaani kariakoo, ni shida kiasi mitaa mingine huwa inafungwa tena kuanzia asubuhi hadi usikua kulia lori...
  2. MK254

    Noma sana! KCB net profit doubles as balance sheet hits Sh1.12trn

    KCB Group doubled its net profit for the half-year to June on increased income from a balance sheet that crossed the Sh1 trillion mark for the first time. The Nairobi Securities Exchange-listed firm reported net earnings of Sh15.3 billion for the six months, up 102 percent from Sh7.58 billion...
  3. Pdidy

    Muda muafaka kuandika urithi mapema kupunguza usumbufu

    Tumekuwa na kampeni nzuri kuelimisha watu Covid-19 na kujilinda Nichukue mda huu kuomba serikali kutoa elimu ya Urithi; nini kiandikwe, nani anatakiwa kuwepo kama shahidi. Bado tuko wimbi la tatu ushauri. Tukielekea la nne watu wajitahidi kuandika urithi mapema. Kupunguza usumbufu vikao vya...
  4. Samia atosha tukutane2030

    Benki ya Posta mna mambo ya kizamani. Mnataka viambata vingi kutoka kwa Watumishi ili muwakopeshe. Ambao hatutaki usumbufu tutaendelea kuwakimbia

    Wiki iliyopita nilienda Benki ya Posta kuomba mkopo ili nifanye miradi yangu. Dhamana kuu ni mshahara wangu. Sasa cha ajabu naambiwa nilete Picha zangu Barua yangu ya mkono Nakala ya kitambulisho cha NIDA NAKALA YA KITAMBULISHO CHA KAZI. Barua ya mwajiri Barua ya kuajiriwa Barua ya...
  5. KAYAMASKINI

    TRA Katavi acheni kujiona miungu watu

    Kwa tabia zilizopo TRA Katavi kwa wafanyabiashara si rafiki na kuridhisha unapokwenda TRA Katavi utadhani umekwenda kituo cha polisi, mikwara umekuwa mingi baada ya kuelimishwa na umekwenda kuwalipa kodi, hiki ndicho kinachofanya kuona kama usumbufu namna huduma zao. Wahusika angalieni mkoa huu...
  6. S

    Mfumo wa majina katika Passport na ID za Tanzania unasababisha usumbufu sana nje ya Tanzania

    Wanajamii, Unapoomba passport au ya ID, ni kawaida kuulizwa kwenye form Jina lako la Kwanza, la katikati na la Ukoo. Sasa Tatizo ni kwamba Passport au ID vikitolewa, kunakuwa hakuna utenganisho huu, bali Mambo ya Ndani na NIDA wanaamua kuunganisha jina lako la kwanza na la katikati kama jina...
  7. TheDreamer Thebeliever

    Tunaomba kila Wilaya iwe na stendi ya magari ya mikoani ili kuepuka usumbufu na msongamano

    Habari wadau! Kiukweli stand ya mkoa Mbezi Luis ni kero kwa wasafiri tuliopo nje ya wilaya ya Ubungo. Jana jioni nilienda kumpokea wife pale stand ya mkoa Mbezi, wakati nipo Gerezani stand ya mwendokasi nikampgia simu akasema yupo Chalinze fasta nikakaa foleni kusubiri gari za Mbezi ila...
  8. PureView zeiss

    Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani. Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
  9. Singasinga

    Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

    Habari wakuu Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh. Sasa cha ajabu zinaweza zikapita ata wiki3 atanitxt na kunilaumu kwa nini namtenga sijui simtafuti na lawama...
  10. D

    Mashirika na taasisi mmejipangaje na tahadhari ya kimbunga ili kuondoa usumbufu na hatari kwa wateja wenu?

    Matamko na Tahadhari zinapotolewa na wataalam; Serikali za kiafrika hasa Tanzania kumekuwa na kasumba ya baaadhi ya mamlaka/mashirika kujitoa kuwajibika ipasavyo kwa watu wake! Je, tahadhari hii ya kimbunga awamu hii Taasisi na mashirika mmejipangaje kupunguza hatari ya kimbunga kiafya na...
  11. YEHODAYA

    Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo

    Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo. Kuna wengine hadi walikaribia kufirisika wengine ushindani ulikuwa mkali nk. Tupe uzoefu wako
  12. EvilSpirit

    Umewahi kukutana na usumbufu unaosababishwa na huu mmea

    Ni mmea ambao unaweza kukusababishia usumbufu mpaka ukajuta kuzaliwa. Watoto ambao wamekulia ndani ya mageti watakuwa hawajui. Unaweza kuwaadhibu watu na huu mmea
  13. G

    Leo nimeona mwenyewe usumbufu wa polisi wa usalama barabarani dhidi ya magari ya mizigo

    Nilichukua gari kwenda kupokea mzigo wangu kutoka mkoani pale Mbezi Kibada cha mkaa. Wakati tunaenda tulipiti njia ya wazo hili na kutokea barabara ya Goba. Njiani nilisimamishwa na maaskari mara tatu, kila mala wakimwambia dereva wanataka kukagua lesseni yake. Kumbe hiyo ni lugha ya kutaka...
  14. Mathias Byabato

    Appodeal kumaliza usumbufu wa Admob ads na facebook ads

    Wadau. Kama wewe ni developer au unamiliki application nafikiri utakuwa unasumbuka sana na tatizo la ama kupata matangazo ya facebook au admob. hata kama yakipatikan ni nadra sana kudumu kwa muda mrefu. mengi yanakuwa blocked . sasa hapa Appodeal wamekuja na suruhu ambapo wao ukijiunga nao...
  15. M

    Mtalii wa Kiingereza afurahia kutokuwepo "usumbufu sumbufu" wa kujikinga na Corona Tanzania

    Mtalii mmoja raia wa Uingereza, amejirekodi video akifurahia utalii huko Zanzibar. Katika video hiyo ameonyesha kufurahia uhuru mkubwa alioupata huku Tanzania baada ya kuondoka Uingereza mwanzoni mwa mwezi January mwaka huu na Kuja Tanzania. Mtalii huyo anasema huku Tanzania hakuna cha social...
  16. minyoo

    BoT acheni Usumbufu juu ya pesa za watu

    Kutumiwa pesa toka nje ya Nchi sasa ni dhahama kubwa maofisa wa BOT wanaleta usumbufu mkubwa na baadhi wamegeuza kama kitengo cha kupigia pesa kwa kuwatisha waliotumiwa pesa kuwa watapewa kesi za utakatishaji pesa. Utawala huu imepelekea wajanja wachache kutumia fursa hizo kujinufaisha na hapo...
  17. dattani

    Sikuelewa nia ya Koplo Laurent Trafiki wa Kiluvya

    Siku ya Jumatano tarehe 26 August 2020 majira ya saa moja na nusu asubuhi eneo la Kiluvya nilisimamishwa na Trafiki na akaniambia niweke gari kando. Akaniambia nimekwenda kinyume na sheria za barabarani hivyo nastahili kuchapwa viboko! Nilivyoona anaongea lugha za mzaha na mimi kiukweli...
Back
Top Bottom