ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,812
- 39,581
Japo naheshimu usalama wa viongozi kuwa kipaumbe ilinwahakikishiwe usalama maana wanapatikana Kwa gharama na Kuna ugumu kuwapata wengine
Leo nipo Mwanza Kuna foleni na usumbufu mkubwa barabara ya Buswelu kupitia Saba Saba,
Magari yamesimama masaa 3
Sijui Kuna kiongozi gani yupo Mwanza? Askari wametanda magari yamezuiliwa muda mrefu
Hawa Askari wangefanya shughuli zingine za kuzuia uhalifu kuliko kumlinda kiongozi mmoja
Hili linasababisha usumbufu Kwa wananchi wanawahi kupiganisha ili kupata ugali wa watoto
Kiongozi hawezi Kulala njaa wala familia yake, kwanini mlete usumbufu Kwa raia wengine
Nashauri viongozi watumie helicopter ili watue kwenye destination zao bila huu usumbufu
Au mnataka kulazimisha wananchi wajue kuwa kiongozi Fulani yupo