Bolt fundisheni madereva kufata ramani kuepusha usumbufu

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,133
Reaction score
11,392
1784825230578.jpg

Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .

Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na kuanza kuelekezana yalishapitwa na wakati
 
Kweli mkuu hii ni fact! Bado kuna shortcomings kwenye BOLT, hasa kwenye ramani. Ni mara kibao mtu anatoka sehemu alipo anamfuata/anasogea alipo dereva. Na uliona ramani inaonyesha exactly ulipo.
 
Huwa wanazingua sana , mtu ana accept anakuja halafu anakuuliza unaenda wapi? Unamwambia naelekea kama ramani invyoonyesha ,anasema huko ndani ndani siendi Cancel ,ukizingatia umemsubiri karibu dakika 5.

Kitu kingine kwa Bolt waongeze option ya maoni kwamba Dereva amekataa kunipeleka kwasababu nimechoose option ya kulipia kwa Kadi....Madereva wengine wakiona unalipia kwa kadi wanakataa ,katika ulimwengu huu wa digitali siyo salama kutembea na Cash ,muda mwingine unajaza kadi hela kwa ajili ya trip za hapa na pale.
 
Simu zenu mnakuwa mmeweka location on vizuri na pia hakuna VPN? Au una zima VPN chap na kuwasha location muda huo huo unao request? Hapo lazima dereva ataona chenga chengaa..

Kingine, Bolt ni kwa dereva yoyote aliepo karibu, Ina pick kumbe dereva ni mgeni mitaa hiyo... Ametoka kumshusha mtu. Hapo lazima ajichanganye kwenye kukutafuta.
 
View attachment 3635564
Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .

Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na kuanza kuelekezana yalishapitwa na wakati
Mbona huwa inaonesha location ya gari lilipo na alop mteja shida iko kwenye nini

Nisichokipenda ni janja ya madereva kusingizia foleni kwenye njia fulani ili warefushe safari for more payment
 
Simu zenu mnakuwa mmeweka location on vizuri na pia hakuna VPN? Au una zima VPN chap na kuwasha location muda huo huo unao request? Hapo lazima dereva ataona chenga chengaa..

Kingine, Bolt ni kwa dereva yoyote aliepo karibu, Ina pick kumbe dereva ni mgeni mitaa hiyo... Ametoka kumshusha mtu. Hapo lazima ajichanganye kwenye kukutafuta.
Watu wanaenda hadi mikoa ambayo hawajawahi fika kwa ramani
 
Simu zenu mnakuwa mmeweka location on vizuri na pia hakuna VPN? Au una zima VPN chap na kuwasha location muda huo huo unao request? Hapo lazima dereva ataona chenga chengaa..

Kingine, Bolt ni kwa dereva yoyote aliepo karibu, Ina pick kumbe dereva ni mgeni mitaa hiyo... Ametoka kumshusha mtu. Hapo lazima ajichanganye kwenye kukutafuta.
Sidhani kama vpn inabadili location kwenye gps..
 
Bolt VPN ikiwa On, halafu uone namna dereva anahangaika kukutafuta... Ukigusa tu update location ujue dereva anapotea. Ndio maana ni vizuri kama simu unatumia VPN muda mwingi, zima VPN restart simu.. then Bolt. Hapo mambo yanakwenda vizuri.
 
Huwa wanazingua sana , mtu ana accept anakuja halafu anakuuliza unaenda wapi? Unamwambia naelekea kama ramani invyoonyesha ,anasema huko ndani ndani siendi Cancel ,ukizingatia umemsubiri karibu dakika 5.

Kitu kingine kwa Bolt waongeze option ya maoni kwamba Dereva amekataa kunipeleka kwasababu nimechoose option ya kulipia kwa Kadi....Madereva wengine wakiona unalipia kwa kadi wanakataa ,katika ulimwengu huu wa digitali siyo salama kutembea na Cash ,muda mwingine unajaza kadi hela kwa ajili ya trip za hapa na pale.
Kuna hii una'request unampigia hadi simu....anakuuliza imesoma kwako shilingi ngapi unamjibu...anakuambia mimi siendi kwa hiyo hela🤔

Hapo kwenye maoni...Kuna kile kipengele cha Others....andika hiyo kero.
 
Huduma hii inachangamoto za kiteknolojia kwa pande zote, dereva kwa abiria.

Abiria anaona kabisa dereva yupo umbali fulani, anacomfirm order ,ukipiga simu anauliza uko wapi, ukijibu anasema ah upo mbali sana Cancel.

Unajiona kabisa upo studio, ramani inampa dereva location ya Argentina, au mwembe chai.

Na mtu yeyote ambaye ameshawahi kutegemea ramani (hasa google mape) imfikishe sehemu, lazma ameshawahi kupotezwa na ramani. Angalau Waze, sio google map.
 
View attachment 3635564
Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .

Bolt andeni semina fundisheni watu wenu jinsi ya kutumia ramani na jinsi ya kumfata mteja kuepusha usumbufu. Mambo ya kupigiana simu na kuanza kuelekezana yalishapitwa na wakati

Uzi wa maana kabisa huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom