Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
783
1,918
#Sasa basi
IMG_20200814_074300.jpg

A9FC3EF2-E04B-40C6-8E9C-4ABC2EFD870F.jpeg


===
Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya

Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza

ZAIDI:

Ofisi za kanda ya Kaskazini zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petroli, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga kelele kuwa amevamiwa akiomba msaada akiwa anakimbia - anafukuzwa, hajapatikana hadi sasa.

Yote hayo yanatokea wakati mgombea urais wa CHADEMA ndg. Tundu Lissu akiingia Arusha leo kutafuta saini za wadhamini akitokea Katesh, Hanang
 
Ofisi za kanda ya Kaskazini (@Chademakaskazni) zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petrol, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajukikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga kelele kuwa amevamiwa akiomba msaada akiwa anakimbia - anafukuzwa, hajapatikana hadi sasa.

Yote hayo yanatokea (ofisi za @Chademakaskazni kuchomwa moto) wakati mgombea urais wa @ChademaTz ndg. @TunduALissu akiingia Arusha leo kutafuta saini za wadhamini akitokea Katesh, Hanang
 
Ofisi za kanda ya Kaskazini zilizopo Arusha, zimechomwa moto. Jengo lote limepigwa petrol, madirisha yakavunjwa, moto ukawashwa mlango wa mapokezi. Moto ulizimwa na "fire". Mlinzi hajulikani alipo, silaha zake zimeokotwa, jirani anasema alimsikia Mlinzi akipiga kelele kuwa amevamiwa akiomba msaada akiwa anakimbia - anafukuzwa, hajapatikana hadi sasa.

Yote hayo yanatokea (ofisi za CHADEMA Kaskazini kuchomwa moto) wakati mgombea urais wawa CHADEMA Tundu Antipas Lissu akiingia Arusha leo kutafuta saini za wadhamini akitokea Katesh, Hanang.

UVCCM acheni huu uhuni nchi hii ni yetu sote amani ya nchi ikikosekana mtajuta sana.

IMG_20200814_072642.jpg
IMG_20200814_072642.jpg
 
Back
Top Bottom