Je, dirisha la pili kwa vyuo vikuu litafunguliwa usiku huu(Saa 6 usiku..?)

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,525
Naomba kufahamu jamani kwa hivi vyuo vikuu amabvyo vitadahili wanafunzi vyuo vikuu, vitafungua dirisha USIKU huu(SAA 6 USIKU..?)
 
Sizani Kama watafungua leo coz Kuna vyuo vungine bado avijakamilisha taarifa na bado watu awajacofirm
 
Hivi inawezekana pia kwa waombaji wapya au hii ni kwa wale wali omba round ya kwanza tuu na wakakosa..

Kwa lugha nyingine jee, unaweza ukaomba chuo kingine upyaa tofauti na ulivyoomba mwanzo?
 
SUA walifungua dirisha leo SAA 6 usiku.. Wako vizur sana nilikuwa nawafuatilia
 
Hivi inawezekana pia kwa waombaji wapya au hii ni kwa wale wali omba round ya kwanza tuu na wakakosa..

Kwa lugha nyingine jee, unaweza ukaomba chuo kingine upyaa tofauti na ulivyoomba mwanzo?
Ndio hata wapya ndowana apply.
 
Back
Top Bottom