Foleni kubwa Morogoro road

Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
11,045
15,379
Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi.

Sijui shida ipo wapi
 
Foleni ya Ubungo serikali imeihamishia Mbezi, yaan ni mwendo wa kuhamisha tatizo kutoka zehemu moja kwenda sehem nyingi.Nchi ya uchumi wa kati
 
Nimechomoka hapo muda si mrefu. Toka saa 2 usiku.

Nimeikuta maeneo ya luguruni.
 
Ebwanaaa kuna folen balaaaaa. Nimekaa kwenye folen kwa masaa 4. nipo maeneo ya mbezi mwisho. Nilikua na safari ya Arusha usiku huu sasa inabidi nilale tuu Nikimbizane na tochi asubuhi.

Sijui shida ipo wapi

Ni kweli mimi nilikua napokea mgeni hapo Mbezi yaani nimekaa kama masaa 3 ndo naingia home saa hizi, tatizo liko hapo Mbezi ile barabara inayotoka Goba imefungwa naona wakandarasi wamechimba bonge la mtaro naona ujenzi unaendelea sijui ni kwa muda gani magari yanayotoka goba kwenda kinyerezi & virce versa ndio yanaleta shida kwa magari yanayotumia Morogoro rd hivyo nawashauri muepuke uelekeo huo
 
Hii ya leo ni nyoko...leo njia ya kimara imetunyoosha haswa...foleni tangu saa tatu usiku mpaka saizi saa saba bado hatuelekei kutoboa...leo nalala njiani kama naenda kigoma bora hata ningekua na manzi mkali pembeni...malori kama buku...nahisi foleni ishafika manzese saizi... Dar bhana...nalala njian leo na home napaona paleeee....
 
Hii foleni si mchezo, nipo pia kutokea kibamba tangu saa nne na nusu.
 
Hauna sabuni hapo au Mafuta uendelee na selfie mkuu?
Ungekuwa navyo hivyo vitu hata foleni usingeiona, cheki hata vibanda vya hapo pembeni huwezi kosa
 
Back
Top Bottom