Mdomo huwa unaanza kunuka wakati gani?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.

mouth.jpg
 
Kinachosababisha mdomo kutoa harufu ni mabaki ya vyakula na pombe kwenye ulimi. Sugua ulimi vizuri kabla ya kulala
Bacteria wanapokula mabaki uliyoacha kwenye meno na ulimu wanatoa uchafu ndio unaonuka(sulfur). Pia hiyo harufu inawasaida kupunguza ushindani wa chakula kutoka kwa strain nyingine za bacteria. Mfano rahisi kuna watu wakati wa kula kwa jumuia wanajamba iliwengine waondoke wabaki pekeyao wajilie ubwabwa wote.
 
Kinachosababisha mdomo kutoa harufu ni mabaki ya vyakula na pombe kwenye ulimi. Sugua ulimi vizuri kabla ya kulala

Kama hanywi POMBE??---- Nadhani harufu inasababishwa na Bacteria waliomo mdomoni wanapo mengenya mabaki ya chakula mdomoni katika mchakato huo (inaerobic respiration) ndipo hewa za Co2, Sio2, nk huzalishwa na ndizo hizo hewa zinazonuka.
 
Bacteria wanapokula mabaki uliyoacha kwenye meno na ulimu wanatoa uchafu ndio unaonuka(sulfur). Pia hiyo harufu inawasaida kupunguza ushindani wa chakula kutoka kwa strain nyingine za bacteria. Mfano rahisi kuna watu wakati wa kula kwa jumuia wanajamba iliwengine waondoke wabaki pekeyao wajilie ubwabwa wote.
nimecheka kwa sauti!

Basi hao bacteria wahuni sana!
 
Back
Top Bottom