usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Joto la dunia, Serikali iamuru mabasi yasafiri usiku

    Kwa hali ya joto inavyozidi kuwa mbaya kila uchapo huku mgao wa maji ukizidi makali yake na huenda Tanesco nayo iko mbioni wakati wowote kuanzia sasa kutangaza mgawo wa nishati ya umeme, hali ambayo itafanya watu wasiomudu majenereta kuyakimbia majumba yao usiku na mchana, nina maoni kwamba...
  2. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Bitcoin. Je, unaweza kutajirika kwa usiku mmoja?

    Bitcoin ni fedha ya kidigitali ambayo huondoa uhitaji wa waamuzi na wasimamizi wa fedha kama benki na serikali na badala yake kutumia mtandao wa kompyuta zenye uwezo wa kuthibisha manunuzi moja kwa moja kati ya watumiaji. Kwa kawaida fedha husimamiwa na Benki kuu pamoja na serikali lakini...
  3. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

    Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka nchi gani?
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Zile suti za kina Feisali ni za kuendeshea bajaji usiku

    Cheki midude Namuunga mkono ndugu mwandishi
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta aondoa mrufuku ya watu kutembea usiku

    President Uhuru Kenyatta on Wednesday lifted the nationwide curfew, which has been in place since March last year to curb the spread of the coronavirus. "I hereby order that the nationwide dusk to dawn curfew that has been in effect from March 27, 2020, be and is hereby vacated with immediate...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Balimi xtra lager la usiku huku unaangalia movie Mnet 4, linashuka kwa baridii

    Peppermit ipo hewani ni revenge ya nguvu baada ya wqzazi wa starring kuuwawa. Lakini kikubwa ni balimi kushuka kwenye koo huku usungizi ukijitafuta taratibu. Viva Balimi Extra lager.
  7. C

    JamiiForums Tanzania He kumbe airtel walitoaga ile bando ya usiku ya 10 gb?

    Hawa jamaa niliwakimbiaga sababu ya speed ya kobe baada ya kupewa kipigo cha mbwa koko na halotel leo nikasema nikachungulie kama lile bando pendwa la usiku la kudownload movies, vitabu, softwares bado lipo, ilikuwaga 10 gb kwa 1,500 lahaula nimekuta lipo la 500 unapata mb 375 Hkayamungu kwa...
  8. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Maulid kusomwa usiku wa tarehe 18/10/2021 hivyo tarehe 19/10/2021 ni mapumziko

    Wakuu salaam, Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mohamed Said: Hamza Kassongo on Sunday JK Nyerere na marafiki zake saa tatu usiku leo TVE

  11. R

    JamiiForums Tanzania Mtandao gani una bando nzuri kwa USIKU

    Habar wadau nimekwama hapa Kuna file lima 60 GB nataka kulidownload halotel 1500 unapata GB 5 Total 18000 Wapi nafuu niende
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Chuo Mwenge wamenikuta nakula hivi Usiku huu Wamenicheka je, Mimi na Wao waliokula Kiepe Mshikaki cha Kushea nani kala Afya?

    Nimepita Mwenge na Kununua Sahani yenye Mseto wa Matunda yote Muhimu kwa Tsh 1000/= tu na kuna Vijana wa Chuo nimekuta wamenunua Chips na Mishikaki kwa Tsh 2500/= na wanakula kwa Kushea ( Kupeana Assist ) Cha Kushangaza Wao wakawa wananicheka Mightier kwa Kula Sahani yangu ile ya Mseto wa...
  13. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Umeshtuka usiku umekutana na rafki yako wa karibu anakuroga na ukamuona usoni je kesho utamkumbusha !?

    Nimemuona mchawi namjua Ingekuwa ww ungemfata asubuhi !?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mugalu kapost picha instagram saa 8 usiku akiwa anatafuta goli vs Yanga, atukanwa vibaya

    Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana wa utopolo kina Aucho mbona wao ndiyo mara ya kwanza wamepambana wewe una mechi 3 na utopolo...
  15. Pamoja tunaweza

    JamiiForums Tanzania Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata ajali mliwezaje kurudi kwenye maisha yenu ya kawaida bila kuweweseka usiku?

    Miaka miwili iliyopita nilisababisha ajali ya barabarani maeneo ya Gairo iliyogharimu uhai wa mmasai mmoja na ng'ombe zake watatu.ila mpaka leo naweweseka sana usiku silali ndoto na reflection za ile ajali bado zinanitesa, mliowahi kukutana na changamoto kama hii mliwezaje kurudi sawa.
  17. Hardlife

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumfelisha kocha Nabi kuhusu kambi leo hitaji lake jingine linafeli usiku huu

    Mwarabu wa Tunisia anachonifurahisha kuna maagizo anayatoa wenye masikio na wasikie wenye macho na waone, sisi yetu macho na masikio Mwarabu ameagiza kipa wa Mali yule anayedaka mabomu, gololi na mishale pamoja na Aucho wapewe ndege faster waingie usiku huu baada ya mechi kati ya Uganda na mali...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Azam katika taarifa yao ya habari ya saa mbili usiku huu, wameonyesha uwepo wa wakilishi wa Mabalozi wa Nchi za nje?

    Naangalia Azam News hapa(UTV live) ambapo taarifa ya habari ndio inaendelea. Katika taarifa yao, wameripoti kesi ya Mbowe inayoondelea Mahakama Kuu ila katika picha za Mahakamani, sijaona uwepo wa Wawakilishi wa Mabalozi waliohudhuria hiyo kesi. Je, uwepo wao si muhimu, ni bahati mbaya tu au...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

    "Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara. === HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na...
Back
Top Bottom