Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
2,000
Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana.

Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana.

Hata hivyo nina Changamoto moja Kubwa ambayo Yeye na Mkewe Usiku wakiwa Wanafanya Mapenzi huwa wanapiga mno Kelele hadi Usingizi unakata kabisa.

Kweli najua Mapenzi ni Matamu na huwa yanapagawisha mno hasa pale Utamu wake ukinoga hivyo silaumu hilo ila Kelele za hawa zimezidi sana.

Kwa kumheshimu Jirani yangu huyu ( Mwanaume ) naona Aibu kumuambia moja kwa moja juu ya hii Kero ili basi waipunguze.

Hivyo naombeni Mbinu ya Kidiplomasia na Kisaikolojia ambayo itaniwezesha Kumfikishia Ujumbe na akauelewa na wala asikasirike na Ujirani wetu uendelee.

Kuna muda Makelele yao huwa yananifanya hata nihisi kuwa huenda Demu wangu akaona Mimi simngono vizuri na akanidharau na Kumtamani Jirani ili nae alizwe kama Mkewe.

Na si kwamba Mimi na Demu wangu nasi huwa hatulii la hasha nasi huwa tunalia ila ni kwa Mfumo tu wa Kuguguma guguma ila Viungo vyetu vya Kibaiolojia ndiyo huwa vinaumana kwa Kupiga Kelele ambazo najua Wao huwa hawazisikii.

Naombeni Maujuzi yenu ili leo hii hii nifikishe Ujumbe Kwake hata kwa njia ya Kimafumbo ( Kidiplomasia na Kisaikolojia ) tu kwani imekuwa bahati wote tupo Off kwa hii leo.
 
miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
574
1,000
Tafuta redio kubwa ili wakianza unawasha redio wakimaliza unazima ,. Hii ukifanya mara mbili tatu automatically utakua umewapelekea meseji kuwa kelele zao huzipendi Kama watakua waelewa watabadirika ....ukiona wanaendelea hapo dawa Ni kuhama tu
 
Kuna Watu mna Akili sana hapa JamiiForums hadi raha. Ndugu hii Mbinu yako nimeipenda na kuikubali pia nitaanza rasmi Kuitumia na naamini itasaidia.
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
41,694
2,000
Nunua Subwoofer, nenda kanunue CD ya "pilau" ya kibongo bongo then weka volume ya juu zaidi yao. Kesho sikilizia mziki wake.

Utajuaje ujumbe umefika? Shem akikusalimia kwa bashasha asubuhi ujue amekuelewa, mshkaji akionyesha makasiriko kama mwanaccm aliyeachwa akapewa uwaziri mhamiaji wa Chadema basi ujue message sent,delivered and read!
 
LIKE

JF-Expert Member
Dec 17, 2013
4,726
2,000
Hiyo kadhia niliikuta Site...jamaa analala na demu chini chumba jirani ila usiku shughuli ikianza ni 'fochofochofocho' na usingizi unakata...asubuhi bila haya nikamchana live jamaa mbona 'inapiga' kelele sana.!?

Kuanzia hapo nikawa nimekomesha;japo nilimis uhondo wa bure bileshi
 
ngunde11

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
467
500
Na wewe tafuta msichana na hakikisha jamaa yupo na mke wake na hawajalala piga mashine na umwambie huyo demu wako apige kelele kuzidi za wapalestina, utakuwa umekomesho you mchezo
 
kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
3,061
2,000
Tafuta redio kubwa ili wakianza unawasha redio wakimaliza unazima ,. Hii ukifanya mara mbili tatu automatically utakua umewapelekea meseji kuwa kelele zao huzipendi Kama watakua waelewa watabadirika ....ukiona wanaendelea hapo dawa Ni kuhama tu

Viva jf
 
mkulungwa03

JF-Expert Member
Apr 1, 2021
309
250
Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana.

Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana.

Hata hivyo nina Changamoto moja Kubwa ambayo Yeye na Mkewe Usiku wakiwa Wanafanya Mapenzi huwa wanapiga mno Kelele hadi Usingizi unakata kabisa.

Kweli najua Mapenzi ni Matamu na huwa yanapagawisha mno hasa pale Utamu wake ukinoga hivyo silaumu hilo ila Kelele za hawa zimezidi sana.

Kwa kumheshimu Jirani yangu huyu ( Mwanaume ) naona Aibu kumuambia moja kwa moja juu ya hii Kero ili basi waipunguze.

Hivyo naombeni Mbinu ya Kidiplomasia na Kisaikolojia ambayo itaniwezesha Kumfikishia Ujumbe na akauelewa na wala asikasirike na Ujirani wetu uendelee.

Kuna muda Makelele yao huwa yananifanya hata nihisi kuwa huenda Demu wangu akaona Mimi simngono vizuri na akanidharau na Kumtamani Jirani ili nae alizwe kama Mkewe.

Na si kwamba Mimi na Demu wangu nasi huwa hatulii la hasha nasi huwa tunalia ila ni kwa Mfumo tu wa Kuguguma guguma ila Viungo vyetu vya Kibaiolojia ndiyo huwa vinaumana kwa Kupiga Kelele ambazo najua Wao huwa hawazisikii.

Naombeni Maujuzi yenu ili leo hii hii nifikishe Ujumbe Kwake hata kwa njia ya Kimafumbo ( Kidiplomasia na Kisaikolojia ) tu kwani imekuwa bahati wote tupo Off kwa hii leo.
Hivi Eid ni leo au kesho??
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom