ushirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kijana, Ushirikina na Uchawi hautakusaidia kupata nafasi ya Uongozi wa Kisiasa

    Zaidi sana utapoteza muda na fedha zako, tena kwa fedheha sana, ukiwa na elimu ya madigrii kadhaa ya kitaaluma wakati mganga hata darasa la saba hajamaliza. Mganga hawezi na wala hana uwezo wa kukupatia uongozi wa wananchi, bali atakutisha tu kwa kukuhimiza kufanya bidii kutafuta kura kwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Ushirikina au uchawi upo maeneo yote nchini kwanini wengine wamepiga hatua kimaendeleo kuliko wengineo?

    Wadau hamjamboni nyote? Naambiwa kuwa mikoa/ Wilaya/ kata/ vijiji vyote tanzania vina Imani za Ushirikina/uchawi Ndugu kama huo ndiyo ukweli kuwa Imani hizo za Ushirikina ziko maeneo yote nchini, Swali langu kwanini baadhi ya Mikoa imepiga hatua kubwa kimaendeleo na watu wake wamestawi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa masikio kuwasha na ushirikina

    4
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania Chanzo ambacho hakisemwi cha ongezeko la ushoga ni ushirikina, wazazi wachungeni sana vijana wenu wa kiume

    Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.? Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia...
  5. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Uliishawahi kuusikia uchawi au ushirikina huu?

    Mwanzoni wakati nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa siamini kabisa haya mambo lakini kadiri nilivyokuwa nakuwa ndio nikaanza kufahamu kuwa kweli uchawi upo, Na mtu akiamua kukuharibia au kukuchafua ndio imeisha hiyoo..uliishawahi kukutana Na mtu ambae Kila janga lazima yumo tena kwa babati mbaya...
  6. Planett

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuamini ushirikina

    Bila shaka wana jukwaa mpo baraabaraa kabisa. Jamani nyinyi wnaawake najua kua kweli maisha ni magumu na sometimes mkipata chance mnatamani kutumia mbinu yoyote (ikiwemo shirk) ili kufanikisha jambo lenu. Stori ipo hivi:- Nimekua katika mahusiano na bint for quite some time. Sasa jana amekuja...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kutoboa Tanzania hakikisha uchawi na ushirikina

    Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani, michezo, sanaa, mziki, ajira, siasa, sokoni, madini, uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri. Naeleza ili nilikuwa halmashauri moja yani swala la chai hakuna mtu anayetaka kupewa chai...
  8. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Tumegundua ushirikina/nguvu za giza unaofanywa na kijana kwenye biashara

    Wasalaam Wiki hii mwanzoni baada ya kutoka kwenye mizunguko ya kusaka tonge, niliongea na ndugu yangu mfanyabiashara nikaomba wakati anafunga hesabu nifike kujifunza mambo mawili matatu. Ilikuwa mida ya saa 2 usiku Baada ya kufika ilipo biashara tulisalimiana vizuri tu na kijana anaepiga kazi...
  9. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ushirikina umeiponza Simba

    Juxi asbh nilikuwa airport kuchykua maokoto ya moja ya tax yangu Huwa napenda kukaa na madreva tukapiga story Mmoja a .madreva akaniambia unamjuaaaa......Ry wa Simba yes Nimemchukua tukaendaa kumchukua mganga wa Nampula ambae aliisaidia Yanga kushinda kwa waarabu 4_0. Mmmh nkamwambia...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushirikina Sio Kuabudia Mizimu na Kwenda kwa Waganga tu!!

    Watu wengi wanafikiri ushirikina ni kuabudia mizimu na kwenda kwa waganga kutambika tu. Lakini ukweli ni kwamba hata kumuhusisha mwanadamu na mambo yanayohusu kudura na uweza wa mwenyezimungu ni ushirikina vilevile. Tena huu ndio ushirikina mbaya maana unahusisha dhati na uwezo wa...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Watu hawa wanaongoza kutumia wataalam (ushirikina) kwa kuamini unafanya mambo yaende vizuri

    1. Wahalifu - Matapeli, wezi, mapusha, magendo, n.k. 2. wafanyabiashara kwenye masoko 3. Wadangaji
  12. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kilikufanya uamini uchawi upo?

    Ni kitu ganikilikufanya uamini uchawi upo? Ebu tujuzane hapa 👇👇👇👇👇
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

    Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga. Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
  14. Labani og

    JamiiForums Tanzania Kisa uchawi, Simba yaadhibiwa tena na TFF

    Klabu ya Simba imetozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa kosa la mashabiki wake pamoja na walinzi wake wa uwanjani (stewards)kupanga njama na kufanikisha azma ya kuingia uwanjani na kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina wakati mchezo dhidi ya Mashujaa Fc ukiendelea kwenye...
  15. Labani og

    JamiiForums Tanzania Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

    Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya El Geish ya ligi kuu ya Misri Himid Mao, akemea vikali vitendo vya shabiki au mchezaji kwenda kutoa mataulo ya makipa golini katika ligi kuu ya Tanzania. Himid amesema vitendo hivyo si sawa katika dunia ya sasa tena kwa ligi inayoonekana...
  16. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kucheza na akili ya mswahili kutokana na kuamini sana ushirikina

    Mswahili ukitaka umvuruge akili zake rahisi sana maana waswahili wanaamini sana katika ushirikina. Chukua kichwa cha kuku tafuta karatasi buni maneno ya kiarabu kwa wino mwekundu halafu andika na jina lake mtupie katika biashara yake, ofisini au nyumbani kwake 😃 Akija kuona atachanganyikiwa...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni tatizo la Kisaikolojia au ushirikina?

    Sidhani kama ni hali ya kawaida. Haijazoeleka. Sijasema pia ni mshirikina au ana tatizo la kiakili. Inaweza ikawa hivyo au kinyume chake. Kwa kifupi, ni tukio la kushangaza sana kwa wengi. Au anautafuta umaarufu?
  18. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Kanuni za TFF kuhusu ushirikina viwanjani.

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Wakuu nina swali kwa mwenye ufahamu atusaidie wana jukwaa. Tff wanatumia vigezo gani kugundua kwamba kitendo flani kilichofanyika ni cha kishirikina na kutoa adhabu kwa mujibu wa kanuni zao? Mfano hii issue ya Simba Sc kuukataa uwanja wa Azam Complex sio imani...
  19. CONTRARIAN

    JamiiForums Tanzania 20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

    Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama. Ichukulie kama ni wewe. Unauhakika wa kupata 20M cash, Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu. Una vyombo na kitanda tuu, Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale... Risk ni kwamba ukichukua umechukua...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM Singida wapanga kuuana kwa ushirikina; mpambano wamuhusisha Mhe. Kingu na wenzake

    Chama cha mapinduzi kilipuuza tukio la imani za kishirikina na ukatili lililofanywa na Mbunge Gekul kwa kuvikataza vyombo vya dola kuchunguza wala kuchukua hatua. Leo tena wana CCM wamerekodiwa huko Singida wakipanga njama za mauaji kwa njia ya ajali au radi. Haya yanafanywa na viongozi wakubwa...
Back
Top Bottom