Kutoboa Tanzania hakikisha uchawi na ushirikina

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
4,142
9,954
Hizi sehemu zenye kugombania gori kuanzia madukani, michezo, sanaa, mziki, ajira, siasa, sokoni, madini, uvuvi n.k bila uchawi na ushirikina kutoboa labda umeshika dini sana au kwenu ukoo uko vizuri.

Naeleza ili nilikuwa halmashauri moja yani swala la chai hakuna mtu anayetaka kupewa chai ofisini wakiogopana.

Tuje kwenye biashara hapa ndio umefika kabisa yani baada ya kushindana uwezo wao wanashinda kurogana ili biashara zao ziwe na nguvu.

Kwenye mapenzi yani siku hizi wadada wakipata mtu unaenda kuwekewa face Id au finger print kabisa na kama ndio unapesa umekwisha.

Madini ndio balaa yani mtu anawekeza pesa nyingi kwa mganga kuliko mtaalamu wa uchimbaji.

Mengine mnaweza kueleza
 
Back
Top Bottom