Himid Mao achukizwa na kitendo Cha ushirikina wa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,783
24,215
Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya El Geish ya ligi kuu ya Misri Himid Mao, akemea vikali vitendo vya shabiki au mchezaji kwenda kutoa mataulo ya makipa golini katika ligi kuu ya Tanzania.

Himid amesema vitendo hivyo si sawa katika dunia ya sasa tena kwa ligi inayoonekana kwenye televisheni
 
Attachments

  • 1710598038343.jpg
    1710598038343.jpg
    309.9 KB · Views: 2
Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya El Geish ya ligi kuu ya Misri Himid Mao, akemea vikali vitendo vya shabiki au mchezaji kwenda kutoa mataulo ya makipa golini katika ligi kuu ya Tanzania.

Himid amesema vitendo hivyo si sawa katika dunia ya sasa tena kwa ligi inayoonekana kwenye televisheni
Huyu mende anaongea akiwa wapi
 
Mechi ya Singida na Namungo nayo mambo ni yale yale, Baadhi ya wachezji wa Namungo wana pekua golini kwa Singida kama wamepoteza pesa.
Simba wameleta michezo ya ajabu mbaya zaidi inafanyika mbele ya Camera.
Vitendo vya hovyo vinazidi kushika kasi.
 
Yaani ukikosea hata herufi moja tu kwenye Title ya thread unaonekana Wewe ni Mkurupukaji, jitahidi sana kutuliza kichwa pale unapoandika tittle ya Uzi wako. 😂😂😂
 
Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga klabu ya El Geish ya ligi kuu ya Misri Himid Mao, akemea vikali vitendo vya shabiki au mchezaji kwenda kutoa mataulo ya makipa golini katika ligi kuu ya Tanzania.

Himid amesema vitendo hivyo si sawa katika dunia ya sasa tena kwa ligi inayoonekana kwenye televisheni
Makolo wanamambo ya ajabu.
 
Mechi ya Singida na Namungo nayo mambo ni yale yale, Baadhi ya wachezji wa Namungo wana pekua golini kwa Singida kama wamepoteza pesa.
Simba wameleta michezo ya ajabu mbaya zaidi inafanyika mbele ya Camera.
Vitendo vya hovyo vinazidi kushika kasi.
Simba ilaumiwe Kwa suala hili
 
Mkuu acha unafiki alifukia au alifukua? Au hukuwa unatazama mechi wakati kipa wa Mashujaa akifukia uku akizungukwa na wachezaji wake

Kama kukemea tukemee ila tusipotoshe Taarifa
Kunakitu alitoa mfukoni mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom