ushirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa 'ngende' (ushirikina) una masharti magumu kuliko utajiri wowote ule duniani

    Mambo vipi wazee! Aisee duniani kuna mambo sana. Ukienda gende yenyewe original kutafuta utajiri hakika utaupata endapo tu utazingatia masharti yao. Sharti lao kuu uwe na biashara, hili sharti halihitaji biashara kubwa. Hata biashara ya kuuza nyanya chungu poa tu, hata kuuza mishikaki ya mia...
  2. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Wasanii wa Congo wapo juu kwa ushirikina?

    Wakuu Kwa muda mrefu nimeskia haya juu ya wasanii wa hao ndugu zetu Congo. Madai na Story zimekuwa nyingi sana. Kwamba jamaa huwa wanaamini bila uchawi muziki hauwezi kutusua. Na wanauamini sana. Niliwahi sikia Story kwa vijana wa kizamani walinisimulia kuwa, pepe kale alikuwa ana jeneza lake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimemuota jirani yangu akiwa chumbani kwangu usiku

    Ni tukio la kushangaza kidogo. Majuzi nikiwa usingizini nilimuona jirani yangu akiwa chumbani kwangu ananiangalia akitabasamu! Nilipoamka alitoweka! Ni binti mmoja ameshika Dini yake kwa mwonekano wa kibinadamu. Nimejaribu kulipuuza tukio hili nichukulie kuwa ilikuwa ni ndoto tu, lakini moyo...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nimekuta vitu kama dawa za kishirikina jikoni kwa mchepuko wangu

    Umeamua kwa hiyari yako kuwa na mtu, unajua na yeye ana mzazi mwenzie na watoto, umekubali kabisaa Ya nini haya sasa jamani? Siamini kama huyu mchepuko misosi yake yoteee anayonipikia, mpaka namwambia hata mama yangu hajawahi kupika namna hii kumbe ni Dawa. Leo nililala kwake, yeye kaamuka...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushirikina ni kitu kinachochangia sana watu kuogopa kurudi vijijini kwao kipindi cha likizo

    Muhimu: kufanya mila za tamaduni mfano kuchinja mbuzi na kutumia damu katika shughuli za kienzi tamaduni haya ni mambo ambayo yapo karibu kila kabila, huu sio ushirikina bali ni tamaduni. Hapa tunazungumzia ushirikina kama kupigana vipapai (kurogana), kuamka mwili umepigwa chale, kusumbuliwa...
  6. mediaman

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nimelala chali, "tembo" akanigandamiza sana kifuani

    Wakuu, hii ni habari ya kweli kabisa. Hivi majuzi niienda mji fulani nikakutana na kisa cha ajabu sana. Baada ya kufika katika mji huo mwenyeji wangu alinipokea na kunikaribisha kwake. Baada ya kufika kwake nikatambua kuwa anaishi katika vyumba viwili katika nyumba ya kupanga. Tulipokuwa...
  7. demarine

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ili mtu uendelee kibiashara ni lazima ufanye ushirikina?

    Watu wengi ambao ni wafanyabiashara/wajasiriamali wamekua wakiusishwa/wakiamini kuwa ili kufanikiwa katika biashara itabidi ufanye ndumba kidogo ili mambo yaende sawa. Leo naomba tupeane uzi juu ya ili kwamba ni je kuna ukweli wowote kwamba ili mtu afanikiwe yampasa kufanya ndumba au la...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kumalizika kwa tembo wetu ni vita kamili kati ya askari wa wanyamapori na majangili, nguvu ya ushirikina

    Huko porini wanapokutana katika makabiliano ya silaha kati ya askari wa wanyama pori na majangili wa nyara za serikali hua hakuna mateka. Ama afe/wafe askari au afe/wafe majangili. Hua ni vita kamili, kubwa, kali na yakikatili sana. Nimefanya mazungumzo na watu mbalimbali ikiwemo wazee wenye...
Back
Top Bottom