Endeleeni tu kutufanya Watanzania wote ni hamnazo ( tuna Akili za Kipa Katoka ) hivyo mtatuzuga kwa kila namna wakati tuliobobea kwa Mambo hayo ( japo Juzi tulizidiwa na wa Yanga SC ) tumeshajua nini Kinaendelea.
Naona kabla hajaiacha Ardhi ya Tanzania kwenda kwa Joe Biden Wasukuma kupitia Zuga...
Dunia inavyozidi kuendelea kuna dhambi ambazo kila kona zinaongoza kwenye billboard za mbinguni.
Hizi dhambi huwezi kukosa kusikia kwenye habari hata siku moja.
1-uzinzi
2-mauaji
3-dhulma
4-ushirikina
miaka nenda rudi lazima ukutane nazo
Huyu mama Mdigo, several times weekly, anaamka usiku saa 10 anaanza kufagia uwanja, tena kwenye giza totoro bila taa, Je tafsiri yake ni nini? Nadhani ana imani na ushirikina fulani. Ebu wadigo please tufafanulie kufagia usiku, tena kwenye giza kuna maana gani? Mnaamini nini katika hilo?
Pili...
Niliachana kabisa na mambo yote ya kishirikina miezi kadhaa iliyopita, na kuthibitisha hilo niliweka uzi rasmi hapa JF na kumrudia Mola wangu mazima. Na kuna hili ambao sikuwahi kulisema hapa lakini wale ambao niliwaumiza na roho ikaniongoza tusawazishe nilifanya hivyo. Na nikapata amani kubwa...
Niliwahi kuja na andiko humu nikionesha huzuni yangu juu ya Kiongozi mmoja wa juu tena mwenye hadhi ya Udaktari aliyekuwa anaithibitishia Jamii kwamba kuna Mama kutoka eneo moja la nchi aliyekuwa na uwezo wa kushambulia Maadui zake akiwatumia Nyuki kwa njia ya nguvu za giza.
Kama haitoshi...
Kigoma Visa vya Uchawi na Ushirikina.
Kigoma ni moja ya Mikoa ambayo inasifika kwa Uchawi nchini Tanzania. Huu mkoa kiasili una watu wachapa kazi sana. Si wazembe ukilinganisha na mikoa mingine yenye ushirikina kama Tanga,Pwani au Zanzibar.
Kigoma maeneo ambayo yanasifika sana kwa Uchawi ni...
1. Matambiko ya Kimila
2. Uchawi / Ushirikina
3. Utani wa Makabila
MATAMBIKO YA KIMILA
Kuna Makabila mengine yakiamua kufanya Tamaduni zao Jamii huwaona kama vile hamnazo ( Kipa Katoka )
Kwa mfano Kabila langu ukiona uko Mjini na Maisha hayaendi yakupasa kurejea kwa Wazee kisha unakogeshwa...
Changamoto za maisha zinazidi kuikumba dunia. Kisiki cha ajira ni mfupa uliowashinda hata mataifa yaliyoendelea sana kiuchumi
Shortcut nyingi za madawa, silaha, vikundi vya kigaidi na umafia wa namna zote vimedhibitiwa kwa kiwango kikubwa. Ni kama sasa dili zile kubwa kubwa zimetoweka na hata...
Habari wana jamvi.
Kuna matukio mengi yanatokea hapa nchini mengiyo yanaacha maswali mengi kuliko majibu.
Nizungumze kidogo ubakaji.
Kuna matukio mengi tunayasikia yanayohusu ubakaji tena wa watoto wadogo na watoto wachanga.
Maswali hapa je huyu mbakaji anatafuta kile kinachopatikana kwa...
Habari zenu wakuu natumahi mu wazima wa afya.
Leo nimekuja na hili baada ya kuona matukio yakufanana yahusishayo Nguo.
TUKIO LA KWANZA (1):
Kuna jamaa yangu tulifahamiana nae yeye ni ndugu yake na binamu yangu. Yeye ni Upanga Boy (Mzaliwa wa kata ya Upanga wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es...
Nilimsikiliza Msemaji wa Polisi, Mwanamama akiwa anazungumzia tukio hili kana kwamba kulikuwa na miujiza na si uzembe wa Wahusika.
Ni aibu sana kwa karne hii kama bado tuna ujinga wa kuabudu vitu ambavyo havipo halafu hapohapo tunataka tupate Vijana wa kuleta mapinduzi ya sayansi na teknolojia...
Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC.
Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
Do you believe In Witchcraft? Share you Experiences
Wasalaam,
Years ago in life movements, huko Songea katika harakati za msaka tonge, kama ilivyo silka ya Mwanaume kula kwa kutafuta Japo hata Tunda huliwa kimasihara lakini hutafutwa.
Binafsi yangu sijawahi kukumbana na Kioja chochote wala...
Lengo la makala haya ni kuonesha kwamba kuendekeza ushirikina au uchawi na waganga wa kienyeji (wapiga ramli) kunaathiri maendeleo ya jamii. Tuachane na hiyo imani maana badala ya kutusaidia kusonga mbele, tunajenga chuki, uadui na moyo wa kulipiza kisasi kwa kuwadhania wengine ndio vyanzo vya...
Na Joshua Deus
Miongoni mwa watanzania walio wengi wame athiriwa na Mila za makabila yao,imani za dini au madhehebu wanayo amini Hadi Mambo ya kiafya wanayahusianisha na Mila zao.
Ugonjwa wa Akili (mental disorder) umekua ni ugonjwa unao aminika kuwa hupatikana kwa kurogwa kwa Imani za jamii...
Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new!
Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama...
Habarini wanajamvi!
Kama mada husika hapo juu ilivyoandikwa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi nimetokea katika familia yenye watoto wa4 wawili wa kiume na wawili wakike baba yangu alikua mfanyabiashara na mama yangu ni mwalimu(mstaafu kwa sasa) sababu ya shule na baadhi ya...
Mambo vipi wazee!
Aisee duniani kuna mambo sana.
Ukienda gende yenyewe original kutafuta utajiri hakika utaupata endapo tu utazingatia masharti yao.
Sharti lao kuu uwe na biashara, hili sharti halihitaji biashara kubwa. Hata biashara ya kuuza nyanya chungu poa tu, hata kuuza mishikaki ya mia...
Wakuu
Kwa muda mrefu nimeskia haya juu ya wasanii wa hao ndugu zetu Congo. Madai na Story zimekuwa nyingi sana. Kwamba jamaa huwa wanaamini bila uchawi muziki hauwezi kutusua. Na wanauamini sana.
Niliwahi sikia Story kwa vijana wa kizamani walinisimulia kuwa, pepe kale alikuwa ana jeneza lake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.