20M inatosha kuhamia Dar kuanza Maisha na Biashara?

CONTRARIAN

JF-Expert Member
Jun 21, 2023
922
2,795
Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama.

Ichukulie kama ni wewe.
Unauhakika wa kupata 20M cash,
Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu.

Una vyombo na kitanda tuu,
Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale...

Risk ni kwamba ukichukua umechukua hakuna cha kukubakiza hapo tena maana hio ndio inakuweka hapo.

Kwahio ni either ubaki uendelee kwa kutengemea uwekezaji wa hio 20M Ukupe 600k kwa mwezi au uondoke ukaanze hata chini ya hapo ila unaona mwanga.

Kwa nini unawza kuondoka?
Mambo yamezidi kua magumu,
Hakuna option nyingine ya kujiongezea kipato zaidi ya hio.

Kwa nini Dar, Dar una uzoefu uliishi kwa mda mrefu ukapata fursa ndio ukaondoka, kutafta mtaji, sasa unataka urudi ila katika mfumo mpya.

20M unaazaje maisha na kutoboa kibiashara?
Kuhusu upambanaji ni mzoefu
Mishen town unauzoefu nazo.

Usiseme mbona kuna watu wanaenda Dar hata nauli ni ya kuunga na wanaishi, Huyo hana cha kupoteza last options kwake ni hio, ila huyu anachakupoteza kama atabugi maana tayari ana options, pili haendi kutafuta maisha, anaenda kuboost maisha, baada ya kuona anachelewa.

Nitashukuru sana ukitoa ushauri Wa kujenga.
 
Hiyo pesa inaweza hata mfikisha mtu Ulaya na akaanza nayo maisha nini Dar, ni mipango tu mkuu biashara nyingi tu zenye faida zina huo mtaji na hata chini ya hapo, mimi siyo motivational speaker lakini
 
Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama.

Ichukulie kama ni wewe.
Unauhakika wa kupata 20M cash,
Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu.

Una vyombo na kitanda tuu,
Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale...

Risk ni kwamba ukichukua umechukua hakuna cha kukubakiza hapo tena maana hio ndio inakuweka hapo.

Kwahio ni either ubaki uendelee kwa kutengemea uwekezaji wa hio 20M Ukupe 600k kwa mwezi au uondoke ukaanze hata chini ya hapo ila unaona mwanga.

Kwa nini unawza kuondoka?
Mambo yamezidi kua magumu,
Hakuna option nyingine ya kujiongezea kipato zaidi ya hio.

Kwa nini Dar, Dar una uzoefu uliishi kwa mda mrefu ukapata fursa ndio ukaondoka, kutafta mtaji, sasa unataka urudi ila katika mfumo mpya.

20M unaazaje maisha na kutoboa kibiashara?
Kuhusu upambanaji ni mzoefu
Mishen town unauzoefu nazo.

Usiseme mbona kuna watu wanaenda Dar hata nauli ni ya kuunga na wanaishi, Huyo hana cha kupoteza last options kwake ni hio, Huyu ana options, pili haendi kutafuta maisha, anaenda kuboost maisha, baada ya kuona anachelewa.

Nitashukuru sana ukitoa ushauri Wa kujenga.
Sijajua hasa thread yako unataka nini? Uambiwe tu inatosha njoo? Au uambiwe mbinu za kufanya itoshe? Au upewe aina za biashara utakazofanya itoshe? Au upewe ushauri: namna ya kupanga nyumba, wapi na ya gharama gani, ufanye biashara gani n.k. Umesema kuwa wewe ni mpambanaji na umeshaishi Dar! Una ndugu na marafiki Dar?
 
Naomba ushauri ulio serious, hili jambo ni serious, sio Drama.

Ichukulie kama ni wewe.
Unauhakika wa kupata 20M cash,
Kwa ufupi ni kufanya maamuzi tu ila unasubiriwa wewe tuu.

Una vyombo na kitanda tuu,
Kwa ufupi, ni vitu vya kukufanya upike na ulale...

Risk ni kwamba ukichukua umechukua hakuna cha kukubakiza hapo tena maana hio ndio inakuweka hapo.

Kwahio ni either ubaki uendelee kwa kutengemea uwekezaji wa hio 20M Ukupe 600k kwa mwezi au uondoke ukaanze hata chini ya hapo ila unaona mwanga.

Kwa nini unawza kuondoka?
Mambo yamezidi kua magumu,
Hakuna option nyingine ya kujiongezea kipato zaidi ya hio.

Kwa nini Dar, Dar una uzoefu uliishi kwa mda mrefu ukapata fursa ndio ukaondoka, kutafta mtaji, sasa unataka urudi ila katika mfumo mpya.

20M unaazaje maisha na kutoboa kibiashara?
Kuhusu upambanaji ni mzoefu
Mishen town unauzoefu nazo.

Usiseme mbona kuna watu wanaenda Dar hata nauli ni ya kuunga na wanaishi, Huyo hana cha kupoteza last options kwake ni hio, ila huyu anachakupoteza kama atabugi maana tayari ana options, pili haendi kutafuta maisha, anaenda kuboost maisha, baada ya kuona anachelewa.

Nitashukuru sana ukitoa ushauri Wa kujenga.
Pesa iyo mbona hata marekani unaenda kuanza maisha
 
such a lotta money so why nah?
just make your budget, and once you get here live a minimal life, do research on the business u would like to go with....get started!
be smart and disciplined...............The sky is limit!
BTW just more for motivation #karibu dar by Young lunya na nani sijui get it on audio mark.
 
Kwa dar sikushaur hiyo hela hapa dar ni ndogo sana kama utategemea kuendesha maisha hapo hapo mana biasgara hadi kuja kukaa sawa si jambo dogo ilaa kama unataka kweli kuishi nayo nenda mkoa jirani nunua bajaji zako mbili used kwa m6 sita moja zungusha mwenyewe moja mpe mtu every day ukilaza kima cha chini elfu30 kwa zote sio, au kama unawazo la kutengeza pesa ndefu kwa m10 tu njoo pm nikupe dili za ndani ndan za hapa dar we ndani ya miez sita una mark m300 kwahy hy m_teni yako ila ni dili zinazoitaji mtu ambae amepania kutafuta pesa za kutosha kama huwez ngoja washaur wengine wanakuja kukufundisha kuuza ndala, soksi vitu vya kike kike, chupichupi hizi mwisho tra wanadai hujakata lesen ya biashara, kinachofuata wanakufilis unarud kijijin kutafuta tena mtaji chezea biashara ila kwa mim hiyo m20 nipesa ya kula bia nimeikawiza sana siku 5 hapo nimekula kwa bajeti coz ninajua kutafuta pesa na kutumia nikiripoti kutoka gheto ni mim mr pipa nasubiri ajira
 
Godzilla had a stroke while reading this shit!

Milioni 300 kwa mieazi 6! Wau wau wau! Umeshatengeneza ngapi ndugu yangu unigawie!
 
Me nachekaga tu
 
Mr pipa 😂 mkuu wee miyeyusho sana
 
We ni pipa kwelikweli

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom