ushirikina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Eti madaktari wa humu na wajuvi wa mambo, Hii ni kawaida mwenye mtoto wa miezi sita amejifungua mtoto mwingine

    Wasalaaamu,. Tuko na wapangaji wetu hapa,. Ni mtu na mke wake lakini sio watu wazima ni vijana tu wa kawaida... Huyu Binti mwaka jana mwezi wa10 tarehe za mwanzoni alijifungua mtoto( sikumbuki exactly ile tarehe tumeenda kumwona hospitali ilikuwa tarehe ngapi),. Means mwanae mpaka mwezi huu...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya ushirikina kwa kutumia mshumaa na udi

    Mishumaa unawakilisha kipengele cha Moto (kitendo, shauku, kuangaza au kuangamiza vitu) wakati uvumba/udi kwa kawaida huwakilisha Hewa (wazo, mawazo, akili) au hewa + moto... Katika biashara mahususi, tuna jozi ya mishumaa kuwakilisha Mungu na Mungu wa kike, mishumaa 4 kuwakilisha kila...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mti ulioanguka na baadae kusimama wenyewe Geita ni sayansi wala siyo ushirikina kama wengi wanavyoripoti

    Iko hivi! Kuna taarifa ya mti uliokuwa umeanguka kuonekana umesimama tena baada ya kukatwa matawi huko geita. Tukio hili wengi wamelihusisha na imani mbalimbali za dini zao! Lakini kiuhalisia mambo kama haya hutokea na kwa sisi tulioishi porini tushashuhudia sana wala si mara moja! Sayansi...
  4. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Nahisi mzazi wangu anafanya ushirikina

    Wakuu habari. Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina . Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa -hapendi mafanikio yako -ukimwambia jambo lako halifanikiwi hata iweje -Ana chuki , anamchukia kila mtu -Hana Shukran Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba Hii hali...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Ushirikina na Rushwa kutumika kusaka madaraka ni hatari.

    Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi. Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo. Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini...
  6. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Kipi kilichokufanya ukashtuka kujua kumbe ulikuwa unafanyiwa ushirikina na hatua gani ulichukua?

    Karibuni wakuu, Watu wamefanyiwa ndumba sana hadi kufanya mambo yao yaharibike, wengine walishtuka ila wengine ndio hivyo mazima walipotea katika giza waliloletewa
  7. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Video: Inawezekana kuukamata Ushirikina kwa Video ikiwa kwa macho ya nyama huoni?

    Wataalamu watuambie hii ni artificial intelligence au ni kweli? Je cameras zinawezaka record wanga,misikule n.k ikiwa kwa macho ya nyama hawaonekani? Yaani mfano ukaamua uweke cctv camera nyumbani chumbani mwako. Inaweza mrecord mwanga? Je hii video ni halisi au AI?
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania "Ball Boys" ni chaka jipya la kuingiza ushirikina viwanjani

    Kuna jambo limenishangaza jana la kitendo cha ball boys kuiba begi la golikipa wa TP Mazembe na kukimbia nalo. Kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha Rais wa Yanga Hersi Said ambaye pia ni kiongozi anayetafuta heshima Afrika akiwa anashikilia cheo cha Mwenyekiti wa Taasisi ya Vilabu kuwapongeza...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kuna Wahindi wanazunguka mitaani na kutapeli fedha kwa njia ya ushirikina.

    Kuna kikundi Cha wahindi wanatembelea maeneo ya wafanyabiashara wa Pesa za mitandao (mobile money) na kuwaibia kwa njia ya viinimacho (chuma ulete). Wako kikundi la watu zaidi ya watatu kwenye gari ndogo. Wamefanya matukio Goba na Tegeta. Chukua tahadhari.
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini uchawi/ulozi/ ushirikina unapigwa marufuku na kuharamishwa katika mpira Tanzania?

    Tanzania ni nchi huru kidini na kiimani, kila mtu yuko huru kufanya mambo ya kiimani anayoona yanamfaa, Sasa kwa nini kwenye mpira wachezaji wakifanya matendo ya ibada ya dini mbili za Ukristo na Uislamu ni sawa lakini wakifanya vitendo vinavyoitwa vya ushirikina, ulozi, uganga, matambiko au...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kijana amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa. Matatizo ya afya ya akili ni mengi

    Kijana mmoja anayeitwa Kimario amekutwa na ndoo 6 za kinyesi, chupa sabini za mkojo ndani Arusha, ushirikina watajwa ===================================== Depression - hali hii humpata mtu yeyote yule kutokana na kuwa na huzuni / majuto muda mwingi kwajili ya matukio ya kijamiii, familia...
  12. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kariakoo Kuna ushirikina mwingi sana, huenda kafara limehusika

    Kwa ushirikina uliokithiri kariakoo huenda sadaka ya damu imehusika ukizingatia tunaelekea mwisho wa mwaka ,maagano au makubaliano ya kisheitwani lazima yatimie.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Swali la Kizushi; WanajamiiForums wa sasa mbona hatuchangii mada fikirishi/Mada ngumu na tu Wepesi Kuchangia Mapenzi, Mipira, Uchawi na ushirikina

    Moja kwa moja kwenye mada husika Mimi nilichogundua hii jamii forums ya sasa siyo ile niliyokuwa ninaijua kipindi ilipoanzishwa. Nina uhakika mada fikirishi, mada makini zingepata machangio/reactions lukuki na hoja mbadala za kupinga au kusupport hoja. Nakwambia kwenye mada fikirishi zilikua...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Umaskini ukikomaa huzaa ushirikina

    PENYE UMASKINI NDIPO UTASIKIA MITIZAMO MINGI YA KISHIRIKINA. Kuna sababu nyingi za watu kuwa washirikina na kati ya sababu hizo umaskini ni moja wapo. Umaskini wa mawazo na kifedha ni sababu kubwa sana nyuma ya washirikina. Kwenye umaskini ndio utasikia wengi wakianguka mapepo, kulalamika...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uhayawani wa binadamu: haya mauaji ni wivu, visasi au malipizi? Je, inaweza kuwa ushirikina?

    Huyu ndiye Dada Jonais (Mzaliwa wa Mwika Kilimanjaro) aliyekutwa ameuwawa msituni huko Korogwe, na pembeni ni mtoto wake ambaye pia alichomwa moto kwenye tukio hilo hilo. Kwenye kadhia hiyo pia binti wake wa kazi nae aliuwawa, naarifiwa anazikwa Tanga leo pia. Huku Kilimanjaro pia walikuwa na...
  16. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ushirikina hautakaa uishe..huyu mtoto alienda kufanya nn goli la waarabu??

    Hapoo anapewa maelekezoo na kamati ya ufundi
  17. The only

    JamiiForums Tanzania Bongo Fleva na ushirikina

    Salaam! Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti kwanza nikawapa nyumba ya kuishi tegeta ni ya kaka yangu yuko nje na huwa hataki ipangishwe ,nikawapiga...
  18. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Hili Tamasha la kufunga Kizimkazi Kuna Tambiko kubwa linafanyika muda huu? Kweli nchi haiendeshwi na katiba.

    Hili kundi la hawa wazee waliovaa nguo nyeusi na nyekundu sijawaelewa maana wamepiga Ngoma zao na mikia ya kiganga kwa zaidi ya dakika 40. Baada ya hapo wakaanza kuvunja nazi , mayai na kupiga vibuyu vyao mikia ya fisi. Ghafla mama akashuka stejini na kwenda kwenye lile eneo lenye vibuyu na...
  19. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na Ushirikina, umakini unahitajika

    Copy&paste👇umakini unahitajika sana. Nyie mwenzenu 😭😭😭😭😭😭natamani kulia mimi yamenikuta Mwenzenu nipo kwenye mahusiano na kaka mmoja mkoa fulani. Yeye ni mfanya biashara mkubwa tu wa mbao Malawi kuleta Tanzania Miaka mingi nipo nae sijawahi kuona maajabu Kama niliyoyaona jana. Nyie mwenzenu...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Ally Kamwe kwahusishwa na mambo ya ushirikina mkubwa sana ulioanza kutokea ndani ya idara hivi karibuni

    Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina
Back
Top Bottom