Ushauri wa bure: Never share your nude pictures or videos by the pretext of love at any cost

Maria Nyedetse

JF-Expert Member
Apr 24, 2021
657
1,485
Hello wanajamvi,

Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki na jamaa zangu waliogawanyika katika kambi hizo mbili na wote nawapenda.

Back to the topic;

Leo nimesimuliwa story kutoka kwa rafiki yetu moja ambayo imeniuma sana, kama jamii nikahisi nina jukumu la kuwaelimisha na wengine huenda wakajifunza. Hata kama hatajifunza hata moja angalau nimefikisha kama mwanajamii.

Nina rafiki zangu wawili ambao tunapendana sana na urafiki wetu umedumu toka O LEVEL mpaka sasa regardless kuwa A level tulisoma shule TOFAUTI lakini Chuo tukakutana different courses...

Moja ya Rafiki zangu [naomba kumuita LILIAN siyo jina lake halisi] alikuwa na boyfriend wake ambaye kulingana na maelezo take walipendana sana. Uhusiano wao ulianza akiwa advance na ukadumu kwa kipindi chote tulipokuwa Chuo ingawa walisoma chuo TOFAUTI.

Baada ya kumaliza chuo mahusiano yao yaliyumba na hatimaye yalivunjika na kila moja akaendelea na maisha yake...

Baada ya muda kupita LILIAN akapata mchumba, mahari yakatolewa na taratibu za ndoa zikaendelea...

Kumbe kipindi chote haya yanafanyika aliyekuwa Boyfriend wake Tumuite Innocent alikuwa anafuatilia na kumbe hakuwahi kuwa happy kumwona aliyekuwa girlfriend wake anaolewa...

Wakati mambo yakiwa ukingoni kufunga ndoa Innocent akamtafuta LILIAN na kumwomba wakutane waongee... unfortunately Lilian akakataa na kumweleza yaliyopita baina yao yamepita hivyo kila mmoja anapaswa kuendelea na maisha yake...

Zikapita kama siku mbili hivi akiwa hana hili wala lile my poor friend Lilian akashangaa anapokea meseji WHATSAPP kutoka kwa Innocent ikiwa na maelezo marefu lakini pia ikiwa na picha... Kufungua zile picha akajikuta akijiona Akiwa uchi wa Mnyama kila kitu kikiwa hadharani...

Moja ya masharti ya Innocent ni kuwa ikiwa anataka kuendelea na michakato yake ya harusi peaceful basi amkubalie na aandae mazingira WASEX vinginevyo kila kitu kitaenda public....

After a much panic, contemplation asijue nini cha kufanya na hofu ya kupoteza ampendaye, ndoa na aibu akajikuta akikubali MASIKINI [IMENIUMA SANA]...

Lilian AMESEX TENA BILA HATA KINGA roughly 8 days kabla ya ndoa yake.... asijue USALAMA wa afya yake kwani amekutana na mtu ambaye ameachana Naye miaka kadhaa na hajui hali yake....

Rafiki yangu ameingia kwenye ndoa akiwa na maumivu lakini akiwa hana uhakika kama Kweli Innocent amefuta picha na video zake zote kama walivyokubaliana au kuna siku tena atazitumia dhidi yake...

Anatamani angemiliki silaha au angekuwa na fedha atafute mafia akamalize kazi lakini YOTE hayo Yapo nje ya uwezo wake..

Ndugu zangu NEVER EVER SHARE YOUR NUDE PHOTOS AU VIDEOS KWA GHARAMA YOYOTE... HASA KWA MAHUSIANO HAYA YA NJE AU KABLA YA NDOA...

Huwezi jua ni kwa kiwango gani zitahifadhiwa na kesho kutumika dhidi yako, zikakufanya mtumwa na kukutia wasiwasi na mashaka!!!

Najiuliza siku Mume wake akiijua hii story ni vipi itakuwa ndoa ya rafiki yangu LILIAN!!!

POLE SANA LILIAN, kwa hakika uliifanya siri na hukutamani aijue yoyote lakini hakuna siri ya wawili na nisamehe nimeitoa hapa angalau kuwafunza na kuwanusuru wengine KWANI NINA HAKIKA KAMA UNGEPEWA NAFASI YA KUANZA UPYA USINGEFANYA YOTE ULIYOYAFANYA AWALI.

MUNGU AKUJAALIE NDOA YENYE HERI NA FANAKA, MPENDE SHEMEJI YANGU NA ISHI KWA FURAHA KWA MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA YUPO KAMOJA NA WEWE.

Kaka zangu nawashauri ziheshimuni nyoyo za wale waliojitoa kwa ajili yenu
 
Huyo alitakiwa amwambie ukweli mumewe kwamba fulan ananimanipulate.
..wafanye mchongo siku anaenda kumla wamkamate akatiwe ndani.

Bora aibu mara moja kuliko aibu mara 2.
Mume mtarajiwa kwan hakua na ex.
Km kweli anampenda angemsamehe sababu yalitokea kbl yake.

Sasa kinachoenda tokea atapata aibu mara 2 ya picha kutofutwa..na kusambazwa

Na kulalwa kbl ya ndoa...tena siku chache.
Mume akijua hili i swear atamuacha.

Hivi kwani hamnaga watu wa kuwashirikisha mambo wawashauri? Ht mmoja unayemwamini dada? Hana.
Sio kila jambo la kusolve peke yako au la kufa nalo rohonii, ndio hawa wanajiuaga.

Kutunza siri kutamcost soon, huyo inno ahajfuta picha.

Ni kosa kiaheria kumtisha mtu..the day kanitumia text ya vitisho naandaa polisi.
 
Never negotiate with terrorists. Mtu anapo kublackmail ukilipa demands zake usitegemee kuwa umemaliza. Huyo atamsumbua sana na huenda sasa kasave msgs walizokuwa wanachat kuwa anaenda kumla.

Yani hapo angetafuta mtaalamu wa mambo wakapanga tukio siku wanaenda kusex wakaja na polisi wakamdaka akafunguliwa kesi ya kumblackmail.
Sometimes sisi wanaume tunakuwaga na roho mbaya unataka ukiachana na mtu basi apigike.

Nimekumbuka kile kisa kilikuwa mashuhuri hadi kuruka redioni cha yule dada aliolewa mojawapo ya zawadi alizopewa mumewe siku ya harusi ni ya cd binti akipakuliwa nyuma na ex wake.
 
Sio rahisi kiasi hicho, aibu yake na depression itakumaliza. Huyo Lillian hakuwa na choice zaidi ya kulala na jamaa.

Lakini najiuliza, mwanaume uliyekamilika, unafanya hivyo ili upate nini hasa?
Elly Nina misimamo na nikikataa huwa siyumbi hata km Ni kichwa kikate,, sirudi kumpa ex k yangu tena ndo uwe ktk mazingira hayo ya kutishwa abadani
 
duh! inaumiza kwa kweli,ahsante natumai ujumbe umewafikia malimbukeni wa mahaba.
 
Nakunyoosha vizuri tu. Nazisambaza na kuniona hutoniona. Unadhani ntasambaza afu nikae nyumba ya pili?

All in all huyo dada fala tu angandaa polisi akamatwe kama kuku.
😂😂😂Chezea wengine usikutane na mwenye msimamo km wangu,, Njia za kuadhibu zipo nyingi mno
 
Huyo mtombuaji hakuwa serious. Hiyo si jinai kwa nini hakuripoti ili wamshike huyo mkunaji? Hivi siku hizi watu wanaohitimu chuo mmekosa akili kwa kiwango hicho?
 
Elly Nina misimamo na nikikataa huwa siyumbi hata km Ni kichwa kikate,, sirudi kumpa ex k yangu tena ndo uwe ktk mazingira hayo ya kutishwa abadani
Usiseme hivyo Noelia, kuna exceptions katika hizi mambo, yaani K ianikwe kila mtu duniani aione, itumwe huko xnxx na xvideos itakaa huko maisha yote ya mtandao, haitafutika...
Useme hutaweza kuruhusu akuchape nao hata mara moja...mmmh! Unampa tu, kwani ataenda nayo wapi
 
Alikuwa anapenda kutiwa huyo anatuchora tu siku 8 zote ana ukalia tu wee kuweza !? Why asi report police muhusika akamatwe siku waliyo kubaliana wapeane utamu tena!? Kama kufikiria jambo dogo tu kama Hilo kshindwa umuhimu wa degree yake uko wapi !? Period
Akiripoti polisi kumbuka hubby to be atazipata taarifa na ndoa itaota mabawa. Hizi tricks mkuu hawa bullies huwawezi hata ufanyeje.
 
Alikuwa anapenda kutiwa huyo anatuchora tu siku 8 zote ana ukalia tu 🤣🤣🤣😁 wee kuweza !? Why asi report police muhusika akamatwe siku waliyo kubaliana wapeane utamu tena!? Kama kufikiria jambo dogo tu kama Hilo kshindwa umuhimu wa degree yake uko wapi !? Period
Alipenda tu we ndo umenisanua siku 8 Yani wiki na siku 😂😂😂😂na usikute alikuwa anajojoa vizuri tu,,
 
Back
Top Bottom