ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania UTENGUZI/UTEUZI Maoni na ushauri

    Napokea maombi ya wafuasi wangu Inbox wakitaka maoni kuhusu utenguzi, na uteuzi wa IGP na DCI. Maoni yangu ni mafupi tu, Jeshi la Polisi lina siasa kali ambazo zinaliangamiza taifa, Ushauri nilishauweka katiks kitabu cha Ujasusi, Mh Rais vunja jeshi hili na unda Huduma ya Polisi. Kwa maoni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Mshahara ulipwe kwa awamu mbili

    Habari za majukumu wana JamiiForums. Andiko langu la leo ni juu ya namna ya mshahara wa mtumishi ulipwe, kuzingatia mabadiliko ya mifumo ya maisha kupanda na kushuka kwa gharama za maisha napendekeza watumishi wa umma walipwe kwa awamu mbili nikiwa na maana ya tarehe 15 na tarehe 30 ya mwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu GPA hii

    Habari wakuu, Naomba ushauri kwa mdogo wangu ana diploma ya electrical engineering GPA 2.9 anahitaji kuendelea na degree afanyaje kupata chuo kwa kozi hiyo?
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kodi

    Habari za leo waungwana Naombeni kufahamishwa kuhusu Utaratubu wa Leseni ya biashara mpya. Hasa kwa mimi ambaye tayari nina TIN ambayo ni nonbussiness. Pia makadirio ya kodi kwa biashara ya mtaji chini ya million 3. Pia nitafurahi kama mtaigusia concept ya EFD machine , inatumiwa na aina gani...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itafanyia kazi ushauri na miongozo ya Wabunge

    Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge. Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

    Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani General study E History E Geography E English D Ana dv 3 ya 14
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    Wasalaam Wana jf Kuna binamu yangu mkoa X ameniomba ushauri, kwamba amepata mchongo wa kwenda nchini UTURUKI kufanya kazi za ndani. Nami kwakua sina experience na mambo hayo nikaona ni Bora nilete kwenu mnaweza Kua na ABC's za kumuambia, ili nimfikishie na iwe hiari kwake kwenda ama...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania FAw Vs Shackman Truck

    Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work kiujumla.
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana

    Vijana wanahitaji ushauri. Vijana lazima wasali,watafakari,wamche Mungu. Watu wengi ambao hawajasoma Msahafu wanataka kuwapotosha vijana. Vijana wadogo hata hawajafikisha umri wa miaka ishirini, wanaadhibiwa vikali badala ya kupewa ushauri. Usiku ni wakati wa kupumzika. Sasa ukihangaika...
  11. JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu CBG

    Naombeni USHAURI KUHUSU CBG Ufaulu wangu Ni Gs D, Math F, Bios D, Geog C ,chem ,F . Kwa mnavyo ona naweza pata kozi gani na chuo gani. Ahsanteni
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

    Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa. Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani? Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Bati ya kuezeka ALAF

    Salaam kwa wanajukwaa.Naamini tuko poa kabisa. Kwenye mada hapo naombeni ushauri juu ya geji ya bati ya kupaua kutoka kampuni ya Alaf. Nimezunguka kwenye maduka nakutana na za geji 30 tu hizi ni zile migongo mipana ( Cover max). Kila nikiulizia geji 28 naambiwa ni kwa oda maalum na wanakiri hzo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TFF na Bodi ya Ligi kuhusu utoaji we Tuzo kwa Msimu ujao 2022 / 2023

    Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi. Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri tu kwa dada zangu, Seminary na madrasa boy ndio husband material

    Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  18. JamiiForums Tanzania Nimejikunja kumpa ushauri nasaha, kumbe ananilia 'timing'

    Huu ni mtihani mkubwa tunaopata sisi wafariji. Kwa week sasa huyu dada yangu wa hiari nimekuwa nikimpa ushauri nasaha baada ya kupigwa tukio na mmewe. Nimekuwa nikimtia moyo apuuze na amsamehe mumewe. Haiba yake anaonekana kunielewa, lakini ukisoma hisia zake za ndani kabisa unaona ni mtu...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Badala ya tozo kuelekezwa kusikojulikana, tozo hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa kila Mtanzania

    Tanzania Salaam, Nchi yetu sio masikini, Bali wananchi mmojammoja ndio masikini! Na umasikini huo unaweza kuchangiwa na vitu vingi, ni pamoja na kutokuwa na viongozi wenye maono! Viongozi waliodumaa kiakili, huduma mbovu wazipatazo wananchi licha kwamba kodi wanatozwa kila wakilala na kuamka...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu course za afya diploma

    Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…