ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itafanyia kazi ushauri na miongozo ya Wabunge

    Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na wadhifa wake mkubwa alionao kwa Taifa letu anaheshimu mawazo ya Wabunge na kusema atafanyia kazi miongozo na ushauri wa Wabunge. Hongera SSH kwa spirit hii ya kuwasikiliza viongozi wenzako
  2. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri je kwa kwa matokeo aya anaweza kusoma kozi gani nzuri

    Wadau naomba ushauri huyu mjukuu wangu he kwa matokeo aya anaweza kwenda kusoma kozi gani au chuo gani General study E History E Geography E English D Ana dv 3 ya 14
  3. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Anataka akafanye kazi za ndani (house girl) Uturuki

    Wasalaam Wana jf Kuna binamu yangu mkoa X ameniomba ushauri, kwamba amepata mchongo wa kwenda nchini UTURUKI kufanya kazi za ndani. Nami kwakua sina experience na mambo hayo nikaona ni Bora nilete kwenu mnaweza Kua na ABC's za kumuambia, ili nimfikishie na iwe hiari kwake kwenda ama...
  4. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vijana mliofanikiwa kupata ajira hasa za hivi karibuni

    Awali ya yote niwapongeze sana. Kama mjuavyo, hizo fursa kuna wengi walizitamani lakini hawakufanikiwa. Kwahiyo hongereni sana. Nimeamua kufungua uzi huu ili ku-share nanyi vitu angalau kwa uchache ambavyo vinaweza kuwasaidia. Hii ndio faida ya JF. 1) Kwanza kabisa, natambua vijana mlio wengi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania FAw Vs Shackman Truck

    Habari .nataka kuchukua mkopo wa truck naomba ushauri kati ya FAw na schackman hipi ni gari nzuri katika uimara au ubora na upatikanaji wa spare,biashara ya mchanga,kokoto,na construction work kiujumla.
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana

    Vijana wanahitaji ushauri. Vijana lazima wasali,watafakari,wamche Mungu. Watu wengi ambao hawajasoma Msahafu wanataka kuwapotosha vijana. Vijana wadogo hata hawajafikisha umri wa miaka ishirini, wanaadhibiwa vikali badala ya kupewa ushauri. Usiku ni wakati wa kupumzika. Sasa ukihangaika...
  7. Rwaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mothers nawaibia siri nyingine

    Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag. Sababu za wazi baadhi ni : 1. Single mothers wengi wamefikia...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu CBG

    Naombeni USHAURI KUHUSU CBG Ufaulu wangu Ni Gs D, Math F, Bios D, Geog C ,chem ,F . Kwa mnavyo ona naweza pata kozi gani na chuo gani. Ahsanteni
  9. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwenu wanaume: Acheni kuwadanganya wanawake, elezeni ukweli wenu

    Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa. Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani? Dunia hii sio ambayo ni yakumdanganya mtu itafikia siku asilimia kubwa ya wanaume ni matahira, mazuzu...
  10. FUTURE HUNTER

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Bati ya kuezeka ALAF

    Salaam kwa wanajukwaa.Naamini tuko poa kabisa. Kwenye mada hapo naombeni ushauri juu ya geji ya bati ya kupaua kutoka kampuni ya Alaf. Nimezunguka kwenye maduka nakutana na za geji 30 tu hizi ni zile migongo mipana ( Cover max). Kila nikiulizia geji 28 naambiwa ni kwa oda maalum na wanakiri hzo...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TFF na Bodi ya Ligi kuhusu utoaji we Tuzo kwa Msimu ujao 2022 / 2023

    Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi. Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri tu kwa dada zangu, Seminary na madrasa boy ndio husband material

    Ushauri kwa dada zangu, seminary na madrasa boys ndio husband material.Japokuwa hili kundi la wanaume waaminifu ndio linalo ongozwa kuumizwa na mapenzi mpaka kuchukua hatua ambazo sometimes zina wacost maisha yao.Ila wengi wao wanajua kupenda na wanajua majukumu yao kama wanaume na mara zote...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Ni antivirus ipi ni nzuri na inaweza kuweka ulinzi mzuri dhidi ya virus na harkers ikiwezekana?

    Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejikunja kumpa ushauri nasaha, kumbe ananilia 'timing'

    Huu ni mtihani mkubwa tunaopata sisi wafariji. Kwa week sasa huyu dada yangu wa hiari nimekuwa nikimpa ushauri nasaha baada ya kupigwa tukio na mmewe. Nimekuwa nikimtia moyo apuuze na amsamehe mumewe. Haiba yake anaonekana kunielewa, lakini ukisoma hisia zake za ndani kabisa unaona ni mtu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Badala ya tozo kuelekezwa kusikojulikana, tozo hizo zielekezwe kwenye matibabu bure kwa kila Mtanzania

    Tanzania Salaam, Nchi yetu sio masikini, Bali wananchi mmojammoja ndio masikini! Na umasikini huo unaweza kuchangiwa na vitu vingi, ni pamoja na kutokuwa na viongozi wenye maono! Viongozi waliodumaa kiakili, huduma mbovu wazipatazo wananchi licha kwamba kodi wanatozwa kila wakilala na kuamka...
  16. nemnunu

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu course za afya diploma

    Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
  17. Gama

    JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri, nikienda China nile nini?

    Nimeona katika mitandao 20 Chinese Food and Ingredients You Should Avoid, nikaona karibu vyakula vyote pendwa vimepigwa ,madongo ya kutosha, sasa najiuliza, nini watu wanakula huko? TAZAMA HII HAPA CHINI 20 Chinese Food and Ingredients You Should Avoid Written by Amy & Yanin Featured Posts You...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Bure kwa Dkt. Hussein Mwinyi: Mfute Kazi Haraka Othman Masoud Kabla Hajaendelea Kueneza Sumu

    Wanabodi, Politics is a game like any other games, that people plays, it has its rules and regulations, ukikiuka unaweka pembeni. Yaani mchezo wa siasa pia ni mchezo kama mchezo mwingine wowote, una sheria zake, taratibu na kanuni, ukikiuka, unapewa kadi nyekundu unawekwa pembeni. Serikali ya...
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Ushauri Msiba wa mkwe na mdogo wake na maziko siku moja je aende kumzika nani

    Wadau kuna ndugu yetu mmoja anapitia wakati mgumu sana mimi Jana kanipigia nimeongea nae nimeshindwa kwakweli kumpa ushauri hali iko hivi ana msiba wa mdogo wake anayemfuata uku akapata tena msiba wa mkwewe baba wa mkewe. Kwa bahati mbaya maziko ni siku moja maeneo tofauti baba mkwe anaenda...
  20. kagombe

    JamiiForums Tanzania Msaada au ushauri wa haraka kwa mtoto wa miaka 8 unaitajika kwa haraka

    Naenda moja kwa moja ktk hili jambo kuna mtoto wajirani yangu huyu mtoto ana miaka 8 sasa nahisi ana tatizo la kiafya au kimaumbile . Kuna matukio anayoyafanya hata wazazi wake wanashindwa kuelewa kadharika kwa majirani . 1 dogo ana tuhuma za kusimamisha uume pale anapoona hata paja la...
Back
Top Bottom