Naomba ushauri kuhusu CBG

Safam

Member
Jul 7, 2022
5
5
Naombeni USHAURI KUHUSU CBG

Ufaulu wangu Ni Gs D, Math F, Bios D, Geog C ,chem ,F .

Kwa mnavyo ona naweza pata kozi gani na chuo gani.

Ahsanteni
 
Aangalie SUA agriculture in general au horticulture
 
Naombeni USHAURI KUHUSU CBG

Ufaulu wangu Ni Gs D, Math F, Bios D, Geog C ,chem ,F .

Kwa mnavyo ona naweza pata kozi gani na chuo gani.

Ahsanteni
Ungesema una div ngapi ili upewe ushauri vizuri. Ila nenda pale SUA na ARU kuna kozi zitakufaa
 
Naombeni USHAURI KUHUSU CBG

Ufaulu wangu Ni Gs D, Math F, Bios D, Geog C ,chem ,F .

Kwa mnavyo ona naweza pata kozi gani na chuo gani.

Ahsanteni
www.tcu.go.tz download Undergraduate Admission Guidebook inaonyesha orodha ya vyuo na kozi na sifa za kujiunga kwa kila kozi
 
Back
Top Bottom