Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,356
1,864
Baada ya akili, mwili na roho kujikusanya, wanaume wengi tumekubaliana bila kutokukubaliana kuwa single mothers wengi wanapendwa na kuhitajiwa zaid kuliko mabinti. nitatumia neno "walio wengi nikiamini kinyume na mimi hawakosag.

Sababu za wazi baadhi ni :
1. Single mothers wengi wamefikia miaka 28 umri unaofaa kwa mwanamke kufikiri maisha zaid kuliko ngono na mapenz.

Kifup tu wana akili zinazowajibika.
umri chini ya hapo hasa dada wasio na wajib wana wenge sana na mambo mengi kama wapiga ramli na ndoto hewa zisizotekelezeka. mf binti wa kivule,ana akili timam lakin anajisemea kwa dhat kuwa ataolewa na justin bierber kisa wigi limemkubali. wanaamin katika uzuri.

Single mothers wameshajipa majukum na akili za kiuwajibikaji. ni asset. sio liability.
tusisahau wanaume kamili huamini katika akili za kujitambua linapokuja suala la kuoa/kudum katika mapenz.

Maana ni wanawake wachache mno ambao wako chini ya mstari wa uzuri unaofaa.

2. Single mothers wanajua upendo kupitia mtoto wake. hivyo ni rahis kutoa upendo kama uwekezaji wa kupata upendo.

TATIZO:
Hofu ya wanaume dhidi ya x wa mke ni kubwa mno. kwa sabab mwanaume anaweza kuvumilia kila kitu isipokuwa kushare mke isipokuwa yule tu aliyejaliwa tamaa nyingi na akili kidogo. sio ubinafs ni nature.

NINI KIFANYIKE:
a)Mama usiendekeze mahusiano na baba mtoto kupitiliza kisa mtoto. mf kukupigia sim ovyo ovyo had usiku wa manane kisa uko na mwanae.

Pia usikubali mialiko ya ex hata ya ibadani.
hata misiba tuma mtoto tu na ndugu yako kutimiza haja ya ukoo wa uzao wa ex.
b) Mume tunza sana mtoto wa mke mwenzio kwa upendo wa wazi, mpe uhakika wa leo na kesho. jana haimsumbui sana mkeo. anaweza kupotezea mazma ex wake. mf kama kuna wa kumpa zawad ndan anza na mtoto wa ex kabla ya mke. ikibid hata mali toa kabla. fanya uwekezaj wa TRUST!

Mme chunga sana kauli zako km .....dam ya wapi hii iko hivi. Mke chunga sana kauli zako kama ....baba yake mzazi angekuwepo .....

Nihitimishe kuwa single mothers mnapendwa sana na kila mwanaume mwenye tafakuri nzuri. ni juu yenu sasa kumjua mwanaume hata kama unammudu kivip. kuna mengine ni ya asili hata limbwata haiyapangui.

Hata mimi isingekuwa nimeshapitisha umri wa kuoa ningejikita kwa single mother. wengi wanajitambua na wana malengo.
 

lady in action

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
917
1,648
wangu kabla sijaolewa alikua anatoa 50 ya matumiz kila mwezi cm anapiga akijisikia unaweza mbep Mara kumi anakujibu unashida gani?

Nilipompata wangu huyu akaanza cm za kila Mara nikamuuliza ni hii elf 50 tu au unakingine??

Nikamwambia mtoto akikua atakutafuta kuku ww nikamblock kila mahali ninamiaka 2 Sasa sijui hata kafia wapi namshukuru Mungu namudu malezi ya mtoto wangu na huyu baba nikikwama hana tatizo kwa mtoto ananisapot...

Acha tu nimpende huyu baba pamoja na mapungufu yake kanitoa mbali ...
 

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
1,971
4,901
Kukutoa tu hofu mwanaume anae kunyandulia mkeo yupo hivi ....hachati nae Kama unavyo sema Simu zao Ni key point tu hakuna story , story Hadi siku ya kuzibuana......wanajifanya hawajuani hata mkikutana ....

Hao mnao fumania meseji zao mara nyingi huwa Ni chambo tu ...... Baba wa mtoto anae kulia mkeo hajichekeshi hovyo na huyo unae sema mkeo ....Ni appointment tu mfano "jumamos nakuhitaji namazungumzo na wewe" hapo imeisha hiyoo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

25 Reactions
Reply
Top Bottom