ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamekuwa walalamishi bila kutoa ushauri

    Wabunge wengi badala ya kutafuta suluhisho la mfumuko wa bei wanatafuta kiki tu. Tumemsikia Gambo na Bushiru wote wana lalamika na kuuliza maswali wakati waziri wa kilimo alishajibu tena kwa upana wake. Badala ya kulalama watoe suluhisho mfano 1. Je wanafikiri ruzuku iongezwe na pesa itoke...
  2. Step_Rocker

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa New Programmers

    Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao tunataka kuingia kwenye hii career. Share experience yako kwenye hii career kwenye mazingira yetu...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wizara ya Uwekezaji, Teknolojia na Ikulu andikeni barua kuwaalika hawa mapema

    Ubunifu ni muhimu sana kwa nchi. Ushauri wangu huu ni serious sana kuliko watu nwengi wanavyofikiria. Mimi ni diaspora hapa USA naona jinsi ambavyo kazi nyingi za technolojia zinafanywa kutokea India. Sasa najiuliza kuna ugumu gani ya vijana wetu wanaomaliza shule na kufanya kazi hizi kutokea...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nina kijana wangu kamaliza certificate of journalism na hataki kuendelea

    Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi kuzoeleka wala kuhishi kwa mazoe. Huu mwezi umekuwa na kanuni na taratibu zake ila Mungu ni mwema...
  5. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto. Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha? Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu. Shule ni amri kama ilivyo kwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wakuu wapya wa Wilaya

    Ndugu zangu watanzania, Kwanza niwapongeze Sana kwa dhati ya moyo wangu wakuu wote wa wilaya walioteuliwa na mh Rais wetu mpendwa mzalendo wa kweli Jasiri shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan,Ni heshima kubwa Sana na Imani kubwa Sana mliyopewa na mh Rais, mmepata heshima hiyo Kati ya...
  8. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kama umeteuliwa na Rais Samia au popote fanya haya. Utanishukuru na hautaishi tena kwa kuhami cheo

    Ukitaka udumu katika nafasi zozote za Uteuzi fanya haya Utanishukuru 1. Acha kufikiri Wewe ni bora kuliko wote waliochwa au unaowaongoza Kumbuka hata wewe Ulikuwa chini ya mtu in before na hicho cheo umeazimwa tu tena ni kwa muda mfupi 2. Acha kudharau watu utakaowakuta huko kwani ni hao ndio...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa bondia Shabani Kaoneka

    Naandika haya baada ya kuibukia huko Arusha kwa kiongozi mmoja wa dini mwenye utata mwingi akitafuta kuombewa kwakuwa anajihisi ana mikosi, mambo yake hayaendi na pengine kuna watu wamemsagia kunguni kiroho kiroho na kimwili. Kwenda kutafuta tiba (ya kiroho) kwa kiongozi wa kidini sio tatizo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Webmaster wekeni katiba mpya tuanze kuijadili

    Haya ni mawazo yangu wengi wetu hatuna nakala ya katiba ya sasa. Ili tupate katiba mpya wekeni hapa katiba ya sasa tuweze kujadili mazuri, mabaya na mapendekezo. Najua topic inasema katiba mpya lakini ni katiba ya sasa ili tuweze kujadili katiba mpya
  11. T

    JamiiForums Tanzania Thread Maalum ya kutiana moyo na ushauri wa Kisaikolojia

    Hii thread ni maalumu kwa ajili ya kutiana moyo kupeana ushauri mbalimbali wa kisaikolojia, sosholojia, falsafa nk. Una jambo lolote kutoka chanzo chochote la kutusaidia wana JF unakaribishwa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Tiles Nzuri za Tanzania/China/India

    Wakuu naomba msaada kwa wajuzi na watalaam wa tiles.. Ni tiles gani nzuri sana (imara na durable) zinatengenezwa Tanzania? Nahitaji zile bora hata za China na India. Kibanda changu kimefikia hatua ya kuweka tiles; nimepambana kwa 5yrs na imefikia hapa. Sijaingia bado ila umeme nishaweka, bado...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  14. mrengo wa kushoto

    JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kupatwa na bomoa bomoa ya makazi tupeni uzoefu

    Habari wa na JF, Swala la bomoabomoa ni moja ya jambo linaloweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mtu...Hizi bomoa bomoa zinaweza kuwa kwa makosa ya mtu binafsi labda kujenga ndani ya eneo lisilo sahihi au upanuzi wa project mbalimbali za serikali. Katika changamoto hii tupeane...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri Kwa Vijana kuhusu ujenzi

    Ujenzi ni mgumu sana na unahitaji kujitoa sana na uvumilivu mkubwa . Jenga nyumba ambayo unaweza Kwa kipato chako. Narudia kipato chako sio kiwango cha pesa ulizokopa au ulizosave kwenye bank account yako maana kwenye ujenzi sio kitu cha ajabu Kwa bajeti kuisha huku kazi bado sana sasa...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu jinsi ya kuishi kwa Tahadhali mwezi huu. Usije ukafa

    Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki. " Mambo my ! Nimekumiss sana" " Babe umenisusa upo kweli" " Mambo vipi? Unaendeleaje?" " Nina hamu na wewe babe?" " Siku hizi umenitenga sana" " Upo handsome?" " Hey love" " Hujambo?" Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa lishe kwa wazee

    Wazee hukabiliwa na tatizo la kupungua kwa kinga ya mwili, hali inayowafanywa wawe kwenye hatari kubwa ya kupatwa na magonjwa sugu hasa kisukari, shinikizo kubwa la damu pamoja na magonjwa mengine yanayohusisha maungio ya mwili na mifupa. Hivyo, mlo sahihi unaoweza kukidhi haya ya uhitaji huu...
  18. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa lishe kwa watu wenye Shinikizo kubwa la damu (Hypertension)

    Watu wenye changamoto ya shinikizo kubwa la damu hupaswa kufuata masharti sahihi ya mlo ili kupunguza athari za ugonjwa huu, pamoja na kusaidia katika udhibiti wake. Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe kama sehemu ya mkakati muhimu wa kuboresha afya kwa watu wenye changamoto hii, Shirika la afya...
  19. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Leo napenda nitoe Ushauri (unaweza kuuchukua au Kuucha) kuhusu watoto

    Habari za Mwaka Mpya. Vijana wengi wa mwaka (1990 to 1997 kwa wasichana) wana watoto, hakuna mzazi anaependa mtoto wake awe wa mwisho darasani, kila mzazi anapenda mtoto wake amletee "A" kwenye kila somo, tunaona wengine wanavyofurahia matokeo ya watoto wao kwenye mitandao. NAKUSHAURI; kabla...
  20. MR.NOMA

    JamiiForums Tanzania Dada kanifananisha au anataka nimtafune. Ushauri tafadhali

    Wakuu! Heri ya Mwaka 2023. Mwenzenu mwaka Jana umeisha Kwa kufananishwa na dada mmoja mrembo ambaye anauza duka la bidhaa za jumla na rejareja jirani na ninapokaa. Huyu dada siku nimekaa Kwa Hilo duka Kuna ka pub jirani take,na yeye ni mtu asiyetumia kilaji kabisa na amenyooka katika Imani...
Back
Top Bottom