ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njoeni tujadiliane huu ushauri wa Roma tuende nao au tuachane nao

  2. mugah di matheo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali Kutoka Jf,, mapenzi changamoto

    Habari za kwenu wadau. Kuna jamaa moja hivi rafk yangu ameniomba ushauri juu ya Hilo. Alimtongoza demu moja hivi huyo demu akamwambia "Sina shida na hilo but you know that my mom n mchepuko wa mzee wako? Na wamezaa watoto wa wili?".. but yeye demu sio miongoni mwa hao watoto,na kimila kwa kuwa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kusaini hati ya kiwanja

    Mimi niko mkoa mwingine nimetumiwa hati ya kiwanja changu ili niisaini, ninaomba ushauri hivi mahakama ya mwanzo au ya mkoa Baada ya Mimi kusaini ile sehemu ya mwanasheria wanaweza wakanisainia huku niliko? Hata Kama kiwanja kiko mkoa jirani?Ushauri wenu wadau maana Mimi ni mjinga kwenye...
  4. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kumfungulia biashara ya Salon

    Habari wana jukwaa wa jamii forums Niende kwenye mada moja kwa moja nina idea ya kumfungulia dogo salon, nina maana salon ya kiume simple tu wala sio ya gharama. Namchukulia vitu vya kawaida tu kama mashine za kunyolea mbili na vitu vidogo vidogo, kiti ataanza nacho kimoja na kochi la wateja...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Usithubutu kumpa mwanamke mtaji. Kama mke wako mpe biashara aisimamie na usimpeumiliki kwa 100%.

    Habari! Sasa tumechoka kusikia vilio vyenu enyi wanaume wenzetu. Nature ya mwanamke ni kutawaliwa, ndio maana mtawala akiwa mwanamke kwa level yoyote ile lazima ichukuliwe special issue. Binti ukimpa mtaji na akauukuza na akili yake ataikuza kuona vile ambavyo hajaviona kabla ya mtaji kukua na...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Kilimo-Fursa zinazotakiwa kufunguliwa ni za mazao ya biashara sio chakula

    Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato. Nadhani nimeeleweka!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kuhusu kozi ya kusoma katika vyuo hivi

    Habari za majukumu ktk ujenzi wa Taifa? Kati ya Bachelor of Sociology Udom, Bachelor of Sociology SAUT Mwanza na Bachelor of Public Administration Mzumbe Campus ya Dar, na Community & Development Studies Ardhi bora wapi? Ni mtoto wa kike anaomba ushauri aconfirm wapi. Ahsante
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu zangu nimepata taarifa kutoka kwa baadhi ya ma homeboyz kwamba kuna baadhi ya vijana wa panya road wako katika process za kutaka kuikimbia nchi ili waje Kaburu kwa lengo la kukwepa mkono wa...
  9. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania USHAURI: TFF ni muda sasa umewadia wa kuanzisha Reserve league (Professional development league)

    Ahlan wa Sahlan Katika kuzunguka kwangu katika mataifa ya ulaya nimekutana na mfumo huu wa ligi za reserve wengine hupenda kuuita professional development leagues.Ni mfumo wa ligi unaohusisha wachezaji vijana kutoka academies za timu zinazoshiriki ligi kuu za nchi husika,hujumuisha vijana wa...
  10. LUHALI

    JamiiForums Tanzania Nini tiba ya uume unaosinyaa kabla ya tendo?

    Wakuu habari ya wakati huu. Naombeni ushauri au anayejua tiba ya uume kusinyaa kabla ya tendo la ndoa. Limekuwa tatizo ambalo linanipa mawazo sana. Msaada tafadhali
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kama una zaidi ya watoto wanne, na unaishi mjini, kuna ushauri wenu hapa

    Kama wewe ni muajiriwa, na una watoto wanne nakuendelea, na unaishi mjini, fanya yafuatayo:- Tafuta chanzo kingine cha mapato, iwe biashara, udalali n.k Tafuta shamba ulime, au nunua chakula kwa wingi pale kinapokuwa kimeshuka bei na uweke stock, ili kuweza kupata chakula cha kutosha; haya...
  12. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri wa masega

    Gari yangu ni Toyota Kluger, Kuna siku ilileta shida nikapeleka gereji pale kariakoo Kuanzia hapo imeanza kuwa na mlio mbaya, haina nguvu, na consumption ya mafuta imekuwa juu Sana Sasa nikaambiwa masega yameibwa ndio maana Iko hivyo Sasa swali langu Kwa wataalam, Hivi vibuyu ninavyoviona...
  13. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Ushauri KWA Tundu Lisu;-Samehe yote,Rudi nyumbani,ujumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchango wako ni muhimu,Muda wa kukaa ughaibuni umeisha!

    Wazalendo wote popote mlipo!nitumieni ujumbe huu kwa ndugu yetu Tundu lisu,Taifa lako linahitaji uchapakazi wako na taaluma YAKO ya sheria, sahau yote na urudi NYUMBANI ufanye kazi ya kulijenga Taifa lako Tanzania. Team yenye Warioba ndani yake,Tundu Lisu,Mkandala na wadau wengine ni team nzuri...
  14. Amani Ne

    JamiiForums Tanzania SoC02 Visa vya watu kujiua: Sababu kuu na ushauri wa nini kifanyike

    Utangulizi Kwa mujibu wa taarifa ya WHO (2019) ni kwamba kila baada ya sekunde 40 kuna mtu anajiua kwa sababu kadha wa kadha. Tatizo la watu kujiua limekua kwa kasi na linaongezeka kila kukicha na sababu zinazokusanywa za waliojiua hutofautiana kati ya mtu mmoja na mtu mwingine. Nina rafiki...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa PSRS

    Juzi kati ilibidi nigombane na ndugu yangu baada ya kunipigia ghafla akiniomba nauli ya kwenda kwenye usaili wa psrs huko Dar. Kwa kifupi ndugu yangu huyu alinishtukiza na sikua na kitu mfukoni, hivyo ikabidi niingie madeni kwa kumkopea pesa mahali. Ushauri wenyewe ni huu: Nashauri kwamba...
  16. Chomo

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Nahitaji ushauri ni friji aina ipi bora kati hii HISENSE au BRUHM

    Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba ushaur je ipi ni bora kati izo ya izo mbili hapo je zile za condeser nje yaan nyuma ya friji na zile...
  17. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali kuhusu tembo waharibifu

    Jana nimefungua facebook nikaona mkurugenzi mmoja wa wanyama pori ametoa wazo kuwa serikali itoe kibali tembo wanaoharibu mazao kwa sasa wauwawe. Mimi kama mzalendo sikubaliani na wazo hili kwa sababu tutakuwa tunatatua tatizo moja tunaunda lingine.Tutajenga mawazo mabaya kwa majangili kuwa...
  18. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu, ukinunua gari used nenda kabadilishe jina la umiliki

    Kuna jambo moja ambalo watu wengi huwa ni kama wanachukulia poa lakini kiuhalisia lina maana kubwa, jambo hili ni kubadili jina la umiliki wa gari au chombo chochote cha moto Nazungumza haya kwa kuwa nimeona mambo kibao yakitokea huko mitaani na menginie ni kwa watu wangu wa karibu. Unakuta...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu 1995 MITSUBISHI Pajero Y-V26WG BM530139

    Greetings wadau wangu, Please Naomba ushauri sahihi kuhusu gari tajwa hapo juu, Mimi ninahitaji gari SUV ya diesel ambayo Ina reliability ya Hali ya juu, durability ya Hali ya juu, stability ya Hali ya juu, comfortability ya Hali ya juuu barabarani, haitumiii umeme kabisa yaani old school...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri wa Michezo - Andaa watoto kuwa wanamichezo achana na samaki wakavu

    Nimemsikia waziri wa michezo akisema majina makubwa yataachwa kwenye timu ya taifa, na anasema wataenda kijiji kwa kijiji kutafuta wachezaji. ukweli ni kwamba Waziri hata kwa mbinu hiyo hutapata timu. Mpira au mchezo wowote duniani ulishatoka kwenye vipaji. Kanuni ya kupata wanamichezo ni...
Back
Top Bottom