ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Ushauri wangu Tanesco; Wakati huu wa mgao Futeni kwa muda ma group yote ya whatsapp kwa wateja wenu! Mtanishukuru baadae

    Huduma ni pamoja na kujua kuzichanga karata! Cha msingi lengo ni huduma bora! Dakitali mzuri ni yule anaepambana OP room halafu akitoka inje anarudi na jibu la kueleweka kwamba mgonjwa kafa au kapona! Lakini dakitali anaetoka O.P room kila muda kuongea na ndugu kwamba mgonjwa kapiga chafya...
  2. Jumaa Aweso ushauri wangu kwako

    Nimesikia una mpango wa kujenga mabwawa kwa ajili ya kuhifadhi maji ya mvua ili kukabiliana na upungufu wa maji Ushauri wangu kwako, Achana na hiyo mipango ya kizamani na ya kimaskini ambayo haiendani na wakati uliopo. Kwa mabadiliko haya ya hali ya hewa, napenda kukuhakikishia kuwa huo mradi...
  3. Ushauri kwa wachumba wanaotaka kuja kuwa wanandoa

    Leo niwashauri wale ambao hamjaoa au kuolewa ila mpo kwenye mahusiano sijui uchumba au nini: Onyesheni zile tabia zenu halisi, yaani usiigize chochote, kama wewe unakula sana, kula, kama wewe huwa unaoga kwa wiki mara moja tu basi fanya hivyo, kama huwa husalimii watu basi endelea. Yaani kila...
  4. Familia ya Dkt. Rwakatare mtafuteni Mshana Jr wa JamiiForums haraka, ni ushauri wa bure!

    Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi. Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai? Mi nasema mtafuteni mshana...
  5. Ushauri wangu kwa wanasiasa wachanga ndani ya vyama siasa

    Mungu wetu sote na awabariki Kwa nia na madhumuni ya ndoto zenu za kisiasa. Imenipasa kusema haya Kwa kuwa mazingira ya wazi yamezibwa na mnakosa prior visibility Kwa Hazina ya wapiga kura wengi. Hata hivyo Bado zipo fursa ambazo hamzitumii ipasavyo hasa vyombo habari TV, Redio, Blogs, Pamoja...
  6. M

    Mke wangu anataka kuandika jina lake nyumba niliyoijenga

    Habari wadau wa jukwaa hili pendwa, Naomba nienda moja kwa moja kwenye mada. Mimi nimeoa na Mungu amenijalia watoto wawili. Nafanya kazi sekta binafsi na mke wangu sasa ni mama wa nyumbani. Mke wangu kabla sijamuoa alikuwa amenunua kiwanja chake makao makuu ya wilaya na mimi pia nilikuwa...
  7. K

    Ushauri Serikali sitisheni machine za kamari kwa manufaa ya umma

    Nilienda Bagamoyo Kidomole kuangalia shamba langu. Wakati nasubiri wafanyakazi wangu waje njia panda nikaona gari lina park na wachina wawili wakashuka wakaenda kwenye kibanda na kurudi na mfuko. Nilishangaa kuona wachina wako huko. Nilivyo uliza watu wa pale wakasema ni wamiliki wa machine za...
  8. Ushauri nichukue ipi kati ya Onkyo,marantz,Denon na Harman kardon

    Sony home theater bado haijakata kiu yangu katika ulimwengu wa muziki.nataka niruke na moja kati ya hizi music system Onkyo,Klipsch, marantz,Denon na Harman kardon. Nichukue brand ipi iwe alpha na Omega . NB:kwa ajili ya music tu sio movies
  9. L

    Nampenda huyu dada ila hataki kuachana na mpenzi wake

    Mimi ni baba ninafamilia ya watoto 3, lakini mimi na mke wangu hatuishi pamoja kutokana na yeye kufanyia kazi sehemu nyingine. Katika pita pita zangu nikakutana na mwanamke mmoja 'black beauty' nyuma kafungasha (Nacy, lakini siyo jina halisi). Sasa kuna mdada mmoja ni rafiki yangu ninafahamiana...
  10. Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  11. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa). Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
  12. T

    Ushauri: Rais Samia, simama uite viongozi wa dini wamuombe Mungu toba na atuteremshie MVUA zenye manufaa. Hali ni tete kwa Taifa

    Amani iwe nanyi Hali ya ukame na ukosefu wa mvua inayoendelea katika sehemu kubwa ya ardhi ya nchi ya TANZANIA sio ngeni hapa duniani. Ukiperuzi historia utaona kuwa dola nyingi huko nyuma zilikuwa zikipata vipindi ya ukame na uhaba wa chakula unaosababishwa na ukosefu wa mvua. Kwa ambao...
  13. D

    Nipeni ushauri nifanyeje juu ya hili?

    Kwa ambao ntawaudhi kwa hili ntakalolisema mtanisamehe lakini nahisi hapa JF naweza pata ushauri au msaada wa nini cha kufanya kwa hii hali yangu. Mimi ni kijana, umri wagu ni miaka 28 nimetimiza tu mwezi wa tisa mwaka huu. Naishi gongo la mboto, Dar es salaam. Changamoto yangu kubwa ni unene...
  14. T

    USHAURI: Mwakani Simba Sc na Simba Queens tu ndio zikashiriki CAF champions league ili kuepusha aibu kwa taifa

    Ni muda sasa kwa taifa la Tanzania kuamua kuondoa aibu katika mashindano ya kimataifa ya klabu bingwa barani Africa kwa kuruhusu timu mbili tu ziende likaliwakilishe Taifa. Timu hizi si nyingine bali ni Simba sc na Simba Queens. Washiriki wengine wamezidi kulitia aibu taifa.Ni wito wangu kwa...
  15. Kwa watu walio karibu na Joseph Mbilinyi Sugu, wamfikishie ushauri huu wa bure

    Sugu aachane na mambo ya kitoto, kukubalika kwa Sugu Mbeya au popote pale hakuna uhusiano wowote kwamba kwa miaka 10 ya ubunge wake kuna jambo la ajabu au la maana sana amefanya jimboni Mbeya mjini la hasha, Bali ni kazi yake ya Sanaaa ndio imeendelea kumuweka mioyoni mwa watu hasa vijana, hata...
  16. Ushauri: Rwanda iache kufadhili waasi wa M23, Wakongo wameshachoka sasa

    Kuna maandamano kila mahali ya kupinga kitendo cha Rwanda kuwafadhili waasi wa M23 wanaoleta machafuka yasio isha huko DRC. Wakongo wamechoka, Tanzania tumechoka, Afrika mashariki imechoka, Africa imechoka, na hata dunia imeshachoka. Waache sasa. Na sisi Tanzania tujiulize, silaha nzito nzito...
  17. T

    USHAURI: Simba Queens iende kucheza na Club Africain badala ya Yanga

    Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku tukizingatia kuwa nauli ya kutoka Rabat kupitia Algiers mpaka Tunis ni ndogo kuliko ya kutoka Dar mpaka Tunis...
  18. Naombeni ushauri, nyumbani kwangu nifuge mbwa au paka kama pet?

    Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia. Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
  19. Ushauri kununua gari used

    Habari za humu wakuu naombeni ushauri wenu kijana wenu nahitaji kununua gari used kwa mtu bajeti yangu ni 3M to 5M. Gari ambazo nazifikiria ni 1.Toyota Mark II gx 110 cc 2000 2.Toyota passo cc 1300 au cc 1000 3.Nissan march cc 1300 4.Toyota vitz cc 1300 au cc 1000 5. Toyota starlet cc 1300 6...
  20. L

    Hivi ni kweli?!

    AMKA NA HII: Najua kuna kakitu wanawake wanaambiana “Ukitaka kujua kama anakupenda wewe muombe pesa kwanza kama akikupa basi yuko siriasi na wewe!” Hapana, haipo hivyo, hata wale wanaojiuza nao wanaomba pesa na wanapewa tena nyingi tu kuliko hata walioolewa lakini hakuna upendo. Unawapoteza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…