Ally Mayay ateuliwa kuwa Mwakilishi katika Bodi ya Ushauri wa Michezo wa Jumuiya ya Madola

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,355
8,043
IMG-20170808-WA0034.jpg
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Ally Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3.

Ally Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi ya CABOS akiwa Mjumbe Mwakilishi wa Bara la #Afrika.

#CABOS ni Chombo cha kumshauri Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola na Serikali Wanachama kuhakikisha kunakuwa na ushirikishwaji thabiti wa Serikali na Uwakilishi katika maendeleo ya Sera na Utekezaji wake.
 
IMG-20170808-WA0034.jpg
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. #PindiChana amemteua Alli Mayay Tembele kuwa mwakilishi wa Tanzania Katika Bodi ya Ushauri wa Michezo ya Jumuiya ya Madola (CABOS) kwa miaka 3.

Alli Mayay ambaye ni Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini, ataiwakilisha #Tanzania katika Bodi ya CABOS akiwa Mjumbe Mwakilishi wa Bara la #Afrika.

#CABOS ni Chombo cha kumshauri Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola na Serikali Wanachama kuhakikisha kunakuwa na ushirikishwaji thabiti wa Serikali na Uwakilishi katika maendeleo ya Sera na Utekezaji wake.
Hongera zake
 
Shule ipo?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwani ali mayai anashule gani yeye na kitenge walipata zero mmoja form six mwingine form 4 labda kama ali re sit mtihani ila kiemba hajajiendeleza sana japo anasoma short course niliona juzi kati alienda marekani kwenye mafunzo akimaliza atakuwa mtu sahihi kwenye soka letu.
 
Ally Mayai ana shahada nadhani ya issue za marketing!

Hata hivyo huna sababu ya kum- disqualify Ally kisa unampenda Kiemba.
 
Ally Mayai ana shahada nadhani ya issue za marketing!

Hata hivyo huna sababu ya kum- disqualify Ally kisa unampenda Kiemba.
Hapana anza kusoma comment yangu ya kwanza sija mdisqualify nimetoa tu mtazamo wangu
 
Amri kiemba naona ana maono ya mpira kuliko mtu yoyote anayeishi Tanzania sema kila mtu na bahati yake
Kwamba akina Edgar Tenga, Nkamia, MO, Hersi, nk hawaoni ndani?

Hata ukimuweka kwa waandishi wenzie bado ana mambo ya kujifunza kutoka kwa akina Dauda, Jemedari, Maestro nk ambao licha ya kuucheza , kuuongea wameutumikia ktk nafasi mbalimbali za kiuongozi.

Kiemba theoretically yuko vizuri, ila practically anahitaji muda zaidi.
 
Ally mayai ni kijana smart na intelligence

Back
Top Bottom