Nina Upper Second GPA, nisome Masters gani?

Masaki road

Member
Jul 16, 2020
35
62
Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
 
Kwanza hauna gpa ya kufundisha vyuo vikuu vya serikali.

Pili hauko tayari kusoma masters!
 
Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
Kwa baadhi ya vyuo unaweza pata maana wanachukua kuanzia 3.5 chuo kama Open University wanakupokea.
 
Lecturer vyuo vikuu vya serikali undergraduate degree GPA ni 3.8 kwenda juu
nani kakwambia sio vyuo vyote undergraduate ni 3.8 inategemeana na kozi mfano iyo education physics vyuo vingne ni 3.5
 
Lecturer vyuo vikuu vya serikali undergraduate degree GPA ni 3.8 kwenda juu
acha kukalili angalia hili tangazo lipo PSRS gpa ngapi wanataka
Screenshot_20230312-003853.jpg
 
Yaani mtu hadi unamaliza Bachelor bado hujui unapaswa usomee nini? Dah! Tumetofautiana sana akili.
 
SOMA
Mimi ni mwalimu miaka mitatu kazini Nimesoma Bachelor of Education in Science (Physics) nilitoka na GPA 3.7 nataka nijiendeleze kusoma NISOME kozi gani masters kwa soko la kuwa lecturer au nisome kozi gani kwa soko la kiutumishi katika kada ya Elimu.
MA (ECONOMICS & STATISTICS)
 
acha kukalili angalia hili tangazo lipo PSRS gpa ngapi wanatakaView attachment 2546817
Hiyo IAA siyo university..
Ili kuwa lecturer chuo kikuu, lazima GPA yako ya degree ya kwanza iwe at least 3,8.

Tutorial Assistant:
Applicants for the post of Tutorial Assistant must possess
a Bachelor degree with a minimum GPA of 3.8 from an internationally reputable
higher learning institution.
 
Back
Top Bottom