Wadau ushauri

May 28, 2023
55
63
[6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie:

Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya.

Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata nini. Tumeishi miaka 9 lakini cha kushangaza amekuja kuondoka bila sababu maalum ya kueleweka, akaficha na sehemu alipofikia kwa miezi mitano nimekuja kujua alipo nikamkuta ana kitanda godoro, na vitu vingine anadai amenunua vya kwake na hakutoa maelezo ya kutosha kuhusu ununuzi huo.

Nilimwacha mpaka leo.
Shida sasa nampenda hadi jina lake.

Nimechoka kuvumilia nimebembeleza sana mpaka Sasa miezi sita ila haeleweki, mpaka simu kafunga hapatikani nahisi ana namba nyingine ambayo sina anatumia. Wazo nililonalo nitafute mwanamke kama yeye mwenye jina kama lake. Sasa

1.Je atakubali kulea watoto wangu wawili?
2.Je atakubali vipi kuolewa nami na mimi nilishawahi kuoa?
3. Je nitamsahau mkewangu ambae huwa namkumbuka kila siku na najitahidi kutompenda nashindwa?
4. Je akitaka kurudi mkewangu nitaweza kumkana na kumkataa?
5 Ni njia gani sahihi zaidi natakiwa niifanye ili nimwache kabisa bila kuumia kila siku?
Naomba msaada wako kwani sikuwa na tegemeo la kuwa na mwanamke wa namna hii mpaka natamani labda asingenizalia watoto pengine ingekuwa nafuu kwani sitaki hata kuja kuonana nae eti kwenye sherehe ya mwanetu, kikao au jambo lolote.
[6/17, 17:34] Steven Simon Lyimo: Pia nina upendo wa dhati sana kwa mwanamke nikimpenda mwanamke nampenda kweli
 
hayo maswali unatakiwa ujiulize then ujijibu mwenywe ukitegemea ushauri hautakusaidia maana wew ndo mweny shida
 
Dah mapenz haya🥲 pole sana jaman

fyddell usije jaribu kuniacha😭si wajua venye nakupenda, I cant imagine a life without you My baby man😍😍
 
Nianziewap kukuacha mchuchi wangu?😋 Wewe ndiwe ujuaye ninavyotakaga, wewe ndiwe ujuaye jinsi gani yakukata kiu yangu. Wewe ndiwe ujuaye jinsi yakuninyanyua when I feel down. Daima nitakuwa nawe mpenzi wangu🥰🥰
 
Aaaawwww jaman tangu nikutanishwe nawewe nahisi kama niko peke yangu kwenye huu ulimwengu, you complete me in many ways, you point a smile in my life😍😍nitakupenda mpaka iitwayo milele My only Man😍
 
[6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie:

Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya.

Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata nini. Tumeishi miaka 9 lakini cha kushangaza amekuja kuondoka bila sababu maalum ya kueleweka, akaficha na sehemu alipofikia kwa miezi mitano nimekuja kujua alipo nikamkuta ana kitanda godoro, na vitu vingine anadai amenunua vya kwake na hakutoa maelezo ya kutosha kuhusu ununuzi huo.

Nilimwacha mpaka leo.
Shida sasa nampenda hadi jina lake.

Nimechoka kuvumilia nimebembeleza sana mpaka Sasa miezi sita ila haeleweki, mpaka simu kafunga hapatikani nahisi ana namba nyingine ambayo sina anatumia. Wazo nililonalo nitafute mwanamke kama yeye mwenye jina kama lake. Sasa

1.Je atakubali kulea watoto wangu wawili?
2.Je atakubali vipi kuolewa nami na mimi nilishawahi kuoa?
3. Je nitamsahau mkewangu ambae huwa namkumbuka kila siku na najitahidi kutompenda nashindwa?
4. Je akitaka kurudi mkewangu nitaweza kumkana na kumkataa?
5 Ni njia gani sahihi zaidi natakiwa niifanye ili nimwache kabisa bila kuumia kila siku?
Naomba msaada wako kwani sikuwa na tegemeo la kuwa na mwanamke wa namna hii mpaka natamani labda asingenizalia watoto pengine ingekuwa nafuu kwani sitaki hata kuja kuonana nae eti kwenye sherehe ya mwanetu, kikao au jambo lolote.
[6/17, 17:34] Steven Simon Lyimo: Pia nina upendo wa dhati sana kwa mwanamke nikimpenda mwanamke nampenda kweli
Sasa wewe mpaka unabembeleza hivyo, kwanini kwanza usijisumbue kujua nini hasa kilichomkimbiza kwako? Yaani mpaka kaamua kulala juu ya kigodoro kwenye kachumba tu na kwako kaacha kila kitu?🤔 There must be something big with you that has been upsetting her all that time na amevumilia miaka yote hiyo lakini hakuona mabadiriko yoyote juu yako. Jichunguze bro
 
You nailed it My one and only😍😍
 
Aaaawwww jaman tangu nikutanishwe nawewe nahisi kama niko peke yangu kwenye huu ulimwengu, you complete me in many ways, you point a smile in my life😍😍nitakupenda mpaka iitwayo milele My only Man😍
I'll always call you my own, my lover my everything b'cse you're the one who knows how to run my world baby wangu Loviee🥰
I believe in what we have been sharing all this time until panapoitwa dahali.......
 
[6/17, 17:32] Steven Simon Lyimo: Najiuliza samahani naomba unisaidie:

Kuna mwanamke ambae nilioa nikaachana nae kurokana na tabia yake ya umalaya.

Mimi nimekuwa ktk malezi mazuri ya kidini, niliridhika kwa asilimia zote kwamba nimepata wangu kumbe niliingia ktk mwanamke ambae sijui kilimpata nini. Tumeishi miaka 9 lakini cha kushangaza amekuja kuondoka bila sababu maalum ya kueleweka, akaficha na sehemu alipofikia kwa miezi mitano nimekuja kujua alipo nikamkuta ana kitanda godoro, na vitu vingine anadai amenunua vya kwake na hakutoa maelezo ya kutosha kuhusu ununuzi huo.

Nilimwacha mpaka leo.
Shida sasa nampenda hadi jina lake.

Nimechoka kuvumilia nimebembeleza sana mpaka Sasa miezi sita ila haeleweki, mpaka simu kafunga hapatikani nahisi ana namba nyingine ambayo sina anatumia. Wazo nililonalo nitafute mwanamke kama yeye mwenye jina kama lake. Sasa

1.Je atakubali kulea watoto wangu wawili?
2.Je atakubali vipi kuolewa nami na mimi nilishawahi kuoa?
3. Je nitamsahau mkewangu ambae huwa namkumbuka kila siku na najitahidi kutompenda nashindwa?
4. Je akitaka kurudi mkewangu nitaweza kumkana na kumkataa?
5 Ni njia gani sahihi zaidi natakiwa niifanye ili nimwache kabisa bila kuumia kila siku?
Naomba msaada wako kwani sikuwa na tegemeo la kuwa na mwanamke wa namna hii mpaka natamani labda asingenizalia watoto pengine ingekuwa nafuu kwani sitaki hata kuja kuonana nae eti kwenye sherehe ya mwanetu, kikao au jambo lolote.
[6/17, 17:34] Steven Simon Lyimo: Pia nina upendo wa dhati sana kwa mwanamke nikimpenda mwanamke nampenda kweli

Dont jump kwenye relationship moya kabla huja recover. Utaenda umiza mtoto wa watu plus utaingia ukiwa na expectation kuwa atamzidi yule ukizikosa upendo unaisha.

Hama hapo ulipo, ondoka nenda sehem ambayo unajua huto kutana nae. jichanganye na jamii ya tofauti hayo maumivu yataisha.

Usibembeleze mtu alie kuacha, analuona huna option zaidi yake,dharau zinazidi kuongezeka
 
I'll always call you my own, my lover my everything b'cse you're the one who knows how to run my world baby wangu Loviee🥰
I believe in what we have been sharing all this time until panapoitwa dahali.......
fyddell yaan unanimaliza kabisa My man what else should I add😭 I feel like am the most blessed woman all over the entire😍😍
 
Back
Top Bottom