Nichague kozi ipi kati ya hizi?

Kuhusu kati ya kozi ya Procurement and Logistics Management na Business Administration nichague ipi?

Na faida nitakazopata baada ya kuhitimu na ipi ni rahisi kupata ajira?
Unataka usome hizo kozi kwa ngazi ya Diploma au degree??

In short kama ni Degree soma course yoyote kati ya hizo na ujiandae kuwa Dalali, MC au motivational speaker pindi utakapomaliza Chuo.

Na kama ni Diploma kasome Procurement. Soko lake ni kubwa sana maana Kila sehemu kuna manunuzi na ugavi si Halmashauri, si mashirika binafsi, si mashirika ya Serikali n.k

Olu ze besiti oni yua niu ejukesheni jane!
 
NYIE VIP TOKA 2013 SIJAONA HIO PROCURE
 
Back
Top Bottom