Naombeni ushauri

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Habari kwenu Wana bodi,

Mimi ni Kijana wa kitanzania pia mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu sayansi moja ya Chuo Kikuu hapa Tanzania.

Na malengo ya kuanzisha shirikisho la walimu wa masomo ya sayansi. Lengo langu ni nataka chombo hiki kitetee maslahi ya walimu hasa wa sayansi.

Naombeni ushauri. Je, mawazo yangu ni sahihi, na kama ni sahihi taratibu za usajili zipo vipi.

Asanteni sana, Mungu awabariki.
 
Iko chama kitaendeshwa kwa Fedha ya nani tujue kwanza.
 
Back
Top Bottom